Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,115
- 55,076
Hamna bn namtania tu usichukulie serious kila tunachokiandika, 2015šungejua nlikuwa wapi!Umepita u mzima?
Kiafya npo vzr
Hamna bn namtania tu usichukulie serious kila tunachokiandika, 2015šungejua nlikuwa wapi!Umepita u mzima?
Usiogope niambie tu mimi dada yakoššHamna bn namtania tu usichukulie serious kila tunachokiandika, 2015šungejua nlikuwa wapi!
Kiafya npo vzr
š¤£š¤£Apana siwezi fanya hvo yaan mtu awe na changamoto kama hyo afu mi nitumie hyo fursa kumtafuna apana aisee, nakuaga na huruma na hawa mabinti wanapopitia changamoto flan flan mi nadeal na hawa hawa born town tuonajuana na kukutana kila sikuUsiogope niambie tu mimi dada yakošš
Kama hivyo sawaš¤£š¤£Apana siwezi fanya hvo yaan mtu awe na changamoto kama hyo afu mi nitumie hyo fursa kumtafuna apana aisee, nakuaga na huruma na hawa mabinti wanapopitia changamoto flan flan mi nadeal na hawa hawa born town tuonajuana na kukutana kila siku
We ukiona mwenyeji wako haeleweki/hapatikani nicheki namba ni zle zle takuja kukuchukua ukale mema ya duniaKama hivyo sawa
Shida mimi sio mzurulaji, sidhani kama naweza kukutana na shida kama hizoWe ukiona mwenyeji wako haeleweki/hapatikani nicheki namba ni zle zle takuja kukuchukua ukale mema ya dunia
Ngoja uanze harakati za utafutaji Kwa wiki unashangaaa umepita mikoa mitatu š¤sema Sasa Kwa saiv kua na mwenyeji sio Jambo baya lkn sioni haja ya mwenyeji kama ukiandaa bajeti vzr mambo yako yataenda vzr tuš¤ 15k-30k unapata guest nzuri ya kulala, 4k-10k unakula chakula muzuri kbsShida mimi sio mzurulaji, sidhani kama naweza kukutana na shida kama hizo
Hayo maisha mimi siyaweziNgoja uanze harakati za utafutaji Kwa wiki unashangaaa umepita mikoa mitatu š¤sema Sasa Kwa saiv kua na mwenyeji sio Jambo baya lkn sioni haja ya mwenyeji kama ukiandaa bajeti vzr mambo yako yataenda vzr tuš¤ 15k-30k unapata guest nzuri ya kulala, 4k-10k unakula chakula muzuri kbs
Kama hupajui sehemu unarequest Uber, bolt & farasi etc
Alibaki na nguo alizovaa tu. Hadi nguo zake manzi alipakia.Aa asee mwangwi maana yake hakuna hata kijiko
[emoji3][emoji3][emoji3]yan mwangwi maana akiongea anajiskia mwenyewe daah[emoji1]Mwenzio aliokota hivohivo, Akapeleka Geto.
Week ya kwanza, ya pili, ya tatu mara mwezi
Mwezi wa kwanza, wa pili, wa tatu akamuamini yule mlupo akawa anamwacha geto anakuta demu kapika,kafua, kadeki.
Mwezi wa nne jamaa yuko zake mishe demu akakodi kirikuu akasomba mazaga yote geto akatokomea kusiko julikana.
Jamaa kufika geto alikutana na mwangwi.
Ndio zao hapo inatokea hiyo hana ata pa kuanzia anabaki anaumia[emoji1787]Mwenzio aliokota hivohivo, Akapeleka Geto.
Week ya kwanza, ya pili, ya tatu mara mwezi
Mwezi wa kwanza, wa pili, wa tatu akamuamini yule mlupo akawa anamwacha geto anakuta demu kapika,kafua, kadeki.
Mwezi wa nne jamaa yuko zake mishe demu akakodi kirikuu akasomba mazaga yote geto akatokomea kusiko julikana.
Jamaa kufika geto alikutana na mwangwi.
[emoji16][emoji16][emoji16]Mwenzio aliokota hivohivo, Akapeleka Geto.
Week ya kwanza, ya pili, ya tatu mara mwezi
Mwezi wa kwanza, wa pili, wa tatu akamuamini yule mlupo akawa anamwacha geto anakuta demu kapika,kafua, kadeki.
Mwezi wa nne jamaa yuko zake mishe demu akakodi kirikuu akasomba mazaga yote geto akatokomea kusiko julikana.
Jamaa kufika geto alikutana na mwangwi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwamba mwangwi...akasema hiiiii mwangwi ukajibu tena hiii
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aa asee mwangwi maana yake hakuna hata kijiko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oyaa broo mkuu,, mi watu wa songea wote nawajua muulize jina lake na kijijichake isije kuwa binamu yangu mana sisi wote huku ndugu, ili nianze kukudai posa