Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Nipo nimejaa tele nipo likizo mm mtendaji wa kijiji
Khaaaa umeoa una roho mbaya hata kadi loooh
Nimerudi siku mingi sana
Ujue nitalia mm wa kunifanyia hivi kweli jaman
Nakuja kesho huko nitakuwa mitaa ya Kibaha
Salama my wangu
Unanikimbia eeeeh
Hahahaha, bora umerudi ,tulimiss maandishi yako ,karibu sana
 
Kuna mkaka wa pale Dodoma mwenye I'd inayoanza na irabu za mwanzo na kuishia na irabu za mwisho

Alichonifanyia pale Dodoma D... m...m Hotel ilikuwa kimasihara,ilikuwa kimasihara kabisa,nahisi alitumia uchawi maana najielewa huwa stoi tunda kimasihara

Nikiwa zangu safarini kutoka Dar kwenda Mwanza,kijana mmoja nilikuwa namwelewa pm,akaniomba nishuke Dom,akaniomba tangu alfajiri kila dakika ananiomba

Nikaona isiwe soo,nikashuka kanipokea kanipeleka hotel yenye jina la mama,nikajikuta ameniroga akanila kimasihara

Karibuni tutambulishane tuliokulana kimasihara humu JF

Jamani PM imejaaa ,usipojibiwa cool down,sasa hivi staliwa kimasihara
Next time mkuu ukipita hii road tufahamishane tunaweza kufanya narejeo ya tukio, nitakuja PM!
 
Yaani JF imechafuka kiasi hiki? Mwisho mtaanza kutajana hadi majina aisee! Nilivyoona wanaume wanawafungukia wanawake wa JF nikajua sasa ipo siku na wanawake watafunguka ya kwao!

Kuna vitu kama hivi ndiyo vinasababisha nisitongoze wanawake wa JF, maana naamini ipo siku JF itakuwa kama FB.
Tunasogea kidogo kidogo tu.
Mkuu nimewahi kuwatongoza wengi sana humu kupitia PM ila kamwe sijawahi kuwapa details zangu kiundani. Shida ya hawa wanawake wengi huwa wanajiachia sana hawaogopi sijui kwanini? Huwa napanga nao miadi ila hata maili 100 kuzunguka eneo la miadi sitokei.
 
Back
Top Bottom