Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Sema ni story tu umeamua kuitunga, huu mwandiko wa dume kabisa aisee.

Mtajashikwa kalio.
 
Na nukuu " kusema ukweli mm ni mrembo Sana (umbo la kibantu nywele, rangi na sura ya kiarabu) "


Hapa ndipo ulipo haribu kila kitu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mwandiko unafanana na wa mtu fulani humu ila yote kheri utajijua mwenyewe...
 
Huu ni mfano halisi jinsi Dada zangu mnapoteza furaha ya ndoa zenu, kujibidisha na kazi za vipato. Na kuacha mume ahudumiwe na wadada wa kazin.
 
Back
Top Bottom