Ogaranya
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 295
- 749
Kushobokewa na vidume humu. 😎Kwa ajili ya nini?
Kwani hujui gia zao wanazotumia
Kushobokewa na vidume humu. 😎Kwa ajili ya nini?
Kumbe bado hawajauza....
Hamna namna nchi ishauzwa hii kilichobaki tugawane.Unashabikia nyuzi kama hizi ziwepo ili kuwarubuni watz wakija kushtuka hata kwenda kupiga picha bandarini ni marufuku 😄.
Ndo yuko anamalizia kutunga next episodeLete ingine![]()
Bandari ishauzwa tipende nini sasa tofauti na hizi mada?Siku hizi JF Mada pendwa ni mizagamuo tuu
Madhara ya shule za kataMbona shule kibao za serikali vyoo vipo humohumo bafuni???
Au shule kubwa kubwabtu ndo meona hyo??
Lyamungo
Umbwe
Moshi technical
Old Moshi
Tupe stoey ulivyoliwa kimasikharaKwann
Mm siliwi kimasihara bana nshakuaTupe stoey ulivyoliwa kimasikhara
Halafu ni Dr. Ndio maana mashoga nchi hii yanaongezeka bro.Unashabikia nyuzi kama hizi ziwepo ili kuwarubuni watz wakija kushtuka hata kwenda kupiga picha bandarini ni marufuku 😄.