Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

I'm social and charming na mazingira ya kazi yangu nakutana sana na washkaji
Though kama hutaki ujalazimishwa kusoma. Watu kibao manakuja pm mnataka niendelee hvy I promise nitajitahid nimalizie
wewe si umesema ulibadili namba ya simu sasa baba p aliwezaje kukupigia kwenye namba mpya?
 
Sikia nikwambie sina shida ndgo ndgo wala kutaka attention ya watu nimeamua nishare story yang baada ya kusoma za wengine.
Wengi wanataka niendelee hvy ngoja niwape ubuyu
Brina achananna wahuni binafsi nataman usgushe mzigo mzima.usisahau kutuambia mafanikio ulopata. Ila kama wewe ndo ulikuwa na product ya pilipili please please chonde chonde njoo pm,

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom