Firauni unasimulia kabisa kama vile uko proud. Naomba hata hiyo PEP isifanye kazi maana kwa jinsi ulivyochubuka virusi sasa hivi vitakuwa vimejificha kwenye ini vinapeana hi tu na kusherehekea 🤸🏿🤸🏿🤸🏿

Acheni kudhalilisha watoto wa watu jamani. Kwa nini umfire binti wa mwenzio hata kama amekukubalia? Tofauti yenu na mabasha ni nini? Nyinyi ndiyo mnafanya mpaka bandari zetu zinauzwa maana mnaleta laana!

Hovyo kabisa!
 
😅😅😅 Piga PEP zako utulie , huwezi kupata kirahirahisi namna hiyo
 
Hivi kama uyu Frida kama yupo umu Jamii forum anajisikiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…