Mabaharia wenzangu huu uzi utakuwa umepigwa ambush maana kuna id mpya zinatoa story za kutisha za ngoma wakati baharia never die.. naona sasa wame ingia ki mkakati wa kijasusi zaidi kutokomeza au ku slow down huu uzi.mpaka rikiboy utoke kifungoni sidhani kama huu uzi utakuwa na nguvu tena...God wabariki mabaharia wote duniani.

....Baharia never die....
 
Usiwatishe mabaharia... Sukari haijakolea vizur
 
Ndomuuuu ndomuuu
 
Mungu yupo na huu uzi. Hao washashindwaa
 
Jiwe alikula tunda kimasiala 2015 alipojaribu akasukumwa ikulu.
 
Umeshaonekana muongo unatuletea chai isiyo na sukari na hii bila shaka ni chai.


Sorry ila kiukweli mkuu sijaisoma sijui hata inazungumzia nini!
 
Hahaahahahaa
Unatisha mabaharia humu
 
Sasa huyo ujamla kimasihara huyo ni manzi yako
 
Hahaha!! Mimi mwenyewe alinichanganya sana. Bila shaka hii itakuwa chai..
Duh mzee we noma...utakuwa acrobatic kama wachina,,yani mtoto anakupiga BJ halafu wewe unamlamba masikio sijui ulijikunjaje...props kwako lakn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…