Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,417
Aenziwe RIKBOY.!!Bila ya kupoteza muda haya ndiyo makundi ya watu wanaoongoza kula tunda kimasihara.
1. WAPANGAJI WA KIUME AMBAO HAWAJAOA.
Kundi hili ni la vijana ambao ni mabachela waliopanga kwenye nyumba zenye wabinti wengi ambao ni wake za watu na wale wasio wake za watu. Hawa huongoza kula tunda kimasihara ndani ya nyumba waliyopanga.
2. WALIMU WA MADRASA KWA WANAFUNZI WAO WA KIKE.
Na hawa pia wanaingia kwenye kundi la watu wanye nafasi kubwa sana ya kula tunda kimasihara. Kwani wengi wao huwa na urafiki wa karibu sana na wanafunzi wao wa kike.
3. WAGANGA WA KIENYEJI.
Hawa pengine ndiyo wanaoongoza kula tunda kimasihara. Kwani wanawake wengi huliwa bila kutegemea kipindi wakienda kutafuta tiba kwa waganga wa kienyeji.
4. WAIMBA KWAYA KANISANI.
Ni watu wengine wanaoongoza kula tunda kimasihara. Kwani hawa huzoeana mpaka huanza kutaniani na kuja kushituka mtu ameshariwa.
5. WANACHAMA WA VIKOBA NA SACCOS.
Kupitia marejesho wake za watu wengi sana na mabinti wengi sana hukuta wameliwa tunda kimasihara. Wanachama wa kiume wa hizi taasisi za kifedha hulana sana tunda kimasihara mpaka balaa.
6. WALIMU WANAOKWENDA MARKING.
Walimu wanaokwenda kusahihisha mitihani iwe ya darasa la saba,kidacho cha pili, cha nne au sita hawa nao wakifika huko hurana tunda kimasihara sana. Inaanzaga kama utani mwisho wa siku mtu analiwa kiulaini kabisa.
7. MEMBERS WA GROUP DISCUSSION.
Hii ni kwa wale waliopo vyuo vikuu. Utakuta kimzaa mzaa tu mdada analiwa na jamaa waliopo kundi moja la kudisscuss.
8. MABAHARIA WA KWENYE VIGODORO.
Mabaharia hawa huanza kucheza na kabinti kwenye kidogoro na mwisho wake kabinti hako huliwa kimasihara kabisa kwenye boma au kwenye kichaka.
9. MABAHARIA WA KWENYE MKESHA WA CHRISMASS NA MWAKA MPYA.
Katika mikesha hii watu huliwa matunda kimasihara kabisa. Hasa mikesha ya mwaka mpya wadada ugawa tunda kimasihara mpaka raha.
10. WALEVI WA POMBE.
Hawa pia hulana kimasihara na baadaye huanza kuisingizia pombe ndiyo imewaponza.
Jumapili njema.
Mzee wa Uzi wa masikhara..




