kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,125
Huu uzi unanisapoti sana na foleni zeru za jiji la bar shite. Nikiwa njiani nakua na muda mzuri wa kupitia updates.Akati kabla ya kulala anangalia update

Watu wamevurugwaKuna watu wanaudhi na wanapenda kiki za ajabu sana mtu kwenye hii uzi analeta masuala ya ukimwi sijui kwani jukwaa la JF doctor hajaliona ni+oko sana mb***wa nyie

yaaaniYani kuna watu wana kiele ele anazan kuna mtt hum fffffck offff

Line aliifungua kisha akanipatia pesa zangu zote ila akaniambia line naiacha coz mwenye nayo ndio ataikuta na sio mimi tena.Vipi ulifanikiwa kupata pesa zako za uwakala na laini nyingine?
mkuu nini tatizo??Kichwa kinaniuma
mkuu nini tatizo??
Nimetubu mkuu maana ile dhambi shetani alinikana kuwa hakunishwishi niifanye.Hahahajananjajajana khaaa ushatuubu mkuuu
Stori yako ni konki...Naombeni nimalize PART 3 ya KULA TUNDA KIMASIHARA.
likizo yangu ilikuwa na furaha sana baada ya kufahamu afya yangu. Nikarudi chuo wanasema TAMAA MBELE MAUTI NYUMA, Kimasihara nikala lile lidemu lenye shape kali kwa KAVU KAVU kwa kutumia SPRAY ili nilikomoe. Nilishadithia hiyo story ipo huko nyuma.
Katikati ya show demu akiwa anapata mautamu akaropoka NIMETEMBEA NA WANAUME WENGI HAKUNA ALIYENIPA PENZI TAMU KAMA LAKO, hiyo kauli ya wanaume wengi ikaninyong'onyesha sana moyoni nikasema mwezi hata hujaisha tangu nipime afya niko NEGATIVE ghafla nahamia POSITIVE.
Nikamaliza chuo kwa mwendo ule ule wa mawazo ya ngoma. Nikaenda nyanda za juu kusini kutafuta fursa za kibiashara.
Bwana bwana siku moja naingia kasupermaket flani nakutana na demu kisu baraa anauza pale. Akili ilivurugika nikasema moyoni huyu lazima nile mzigo. Nikawa naenda pale kununua vitu uongo na kweli tukazoeana kiana.
Siku moja mida ya saa 4 usiku nikapita hapo kumsalimia KIMASIHARA nikamwambia leo njoo lala kwangu akasema fresh nipe namba yako ya simu nikampatia.
Nikasepa getho kichwani nasema huyu hawezi kuja. Bwana bwana mida ya saa 6 nasikia simu inaita kucheki namba ngeni, hello hello NDIO NAFUNGA OFISI NACHUKUA TAX NAKUJA KWAKO NIELEKEZE.
Nikamwelekeza. Fasta nikakimbilia kwenye bag nikatoa SPRAY nikapulizia mboo fasta dakika o demu huyu hapa. Akaingia ndani akavua nguo fasta bafuni kuoga. Bonge la baridi demu fasta akapanda kitandani.
Hakuna longolongo nikaanza kukamua KAVU KAVU kibabe nioshe jina. Show ilikuwa tamu sana.
Zikapita kama wiki 2 nikiwa nimekaa na washikaji mahali demu akakatiza. Wshikaji wakasema aisee yule demu alikubali kusex na jamaa flani HIV POSITIVE tajiri wa mbao, kisa tajiri alimuhonga milioni 1.
Mbaya zaidi yule tajiri nilishamfahamu na nilishawahi kukaa naye kibiashara katika stori zake tajiri alishawahi kutamka NITAHAKIKISHA NITAONDOKA NA WENGI.
Zile stori za washikaji hazikuwa rafiki kwangu nikasepa yale maeneo nikarudi getho nikajilaumu sana nikailaumu SPRAY. Nilikasirika ile spray nikaichukua nikaweka mfukoni nikaenda kuitupilia mashambani.
KICHEKESHO:- Nikatafuta vile vidude vya kupima HIV. Nikarudi getho nikajichoma kidoleni weka tone la damu nikaacha hapo kisome. Nikatoka nje.
Nikiwa nje natafakari maisha yangu baada ya majibu yakiwa POSITIVE. Aisee nikarudi ndani kabla ya kwenda kwenye kipimo nikachukua shuka bila kuangalia kipimo nikakifunika na shuka sikutaka kufahamu majibu, nikaingiza mkono ndani nikakishika nikakiweka mfukoni nikaenda kukitupa mashambani.
Nikahamia mkoa mwingine kibiashara MCHUMIA JANGA HULIA NA NDUGUYE nikaenda kununua SPRAY tena. Show zikaendelea kama kawaida, nikiumwa naenda hosptal nakuta malaria, typhoid kichwani nasema ipo siku lile BOMU la HIV litalipuka.
Nikaamua kutangaza kuoa, hapo nafuatilia maisha ya yule demu supermaket kule nyanda za juu yuko HAI AU AMEKUFA. Naambiwa yuko hai anahali gani kiafya? Najibiwa kama kapunguapungua vile.
Nikafunga ndoa bila KUPIMA HIV, na ikawa mwisho wa kutumia SPRAY na wife aliniamini niko good kiafya. HAKUNA MAREFU YASIOKUWA NA NCHA, wife ujauzito huu hapa nikamsindikiza kliniki, nimkabidhi pale nisepe bwana bwana Nurse akasema kabla hajaanza kliniki ni vema tupime afya zetu wote.
Nilikuwa nimekaa kwenye kitu nilitamani ardhi ipasuke niingie au litokee giza la ghafla nikimbie. Vipimo vikaja wakati huo nawaza KAVU KAVU zote za hatare lipisi la chuo, demu wa supermaket nyanda za juu na wengine baada ya huyo. Mwisho nikamwangalia wife nikamuonea huruma, yeye ANATABASAMU TUU.
Vipimo vikachukuliwa nurse akaviweka hapo mezani visome huku anajaza form. Akaviangalia vile vipimo halafu akatuangalia machoni. Mimi nimeishiwa nguvu. Then Akaangalia kipimo cha wife then akaangalia changu.
Akasema HONGERENI SANA WOTE MNA AFYA NJEMA. Aisee sikutaka kuonyesha furaha pale nisionekane nilikuwa fuska. Nikamuaga wife nikawapigia simu washikaji nyanda za juu leo nimepima HIV niko safi kwa TAARIFA YENU NILIKULA YULE DEMU WA SUPERMAKET. Washikaji walishikwa na butwaa hawakuamini kumbe nilikuwa kwenye chain.
Mwisho kama Mungu hajakuandikia hutapata HIV kweli hutapata hata usex katikati ya milima ishuhudie umalaya wako. Lakini kama umeandikiwa utapata HIV utapata tuu hata kama ni mara yako ya kwanza kusex.
Tangu nimeoa ni miaka 4 imepita sijamsaliti wife wala staki kula demu nje nisije nikamuuzi Mungu akasema hili lifuska nimelinusuru kote huko linaendeleza umalaya wacha lipate ngoma sasa.
Mtoto yuko bomba halafu mshamba mmoja anakuja kula kimasihara tu
Nadhani ziliungwa nyuzi...Hata Mimi nimeshangaa komenti zake zimefikaje huku
Huyu mdau mkubwa
Hahahaaa kwanini mkuu?Kichwa kinaniuma
Ni uvivu wako wa kusoma tu.Ndefu inaboa nimeishia kati kusoma au uandishi nao dah
Story safi...imeeleweka....Mkuu nina walakini na seminary yako.Hawa vijana wa seminary wanakuaga bright sana hadi kwenye uandishi.Ona sasa stori nzuri mpangilio mbovu sana.
We jamaa hujui jukwaa la jf doctor ??Kuna magonjwa mengi tofauti ya zinaa, lakini yale ambayo yameenea sana ni Kisonono, Kaswende, Klamdia, Kankroidi, Utando mweupe, Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Shida kubwa ya magonjwa mengi ya zinaa ni kwamba dalili zake hazionekani kwa urahisi na kama yasipotibiwa kikamilifu yanaweza kuleta madhara makubwa.
Maelezo kuhusu magonjwa ya zinaa yaliyoenea sana ni kama yafuatayo:
Kisonono
Huchukua muda wa siku 1 hadi 14 tangu kuambukizwa mpaka kuonyesha dalili za kuumwa. Kwa wanawake dalili za kisonono ni maumivu chini ya tumbo ambayo yanaweza kuambatana na homa na kutokwa uchafu ukeni. Wapo wanawake wengine ambao hawaoni dalili zozote. Kwa wanaume dalili ni kutokwa na usaha uumeni na kupata maumivu wakati wa kukojoa.
Athari yake kwa mwanamke ni kuziba mirija ya kupitisha mayai na mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi, na vilevile ugumba. Kwa mtoto aliye tumboni mwa mama mjamzito kisonono cha mama yake kinaweza kusababisha upofu. Kwa mwanaume athari yake ni kuziba mirija ya kupitisha mkojo.
Kaswende
Dalili ya Kaswende kwa mwanamke ni vidonda sehemu za siri hasa kwenye mashavu ya uke na sehemu ya njia ya haja kubwa, pamoja na sundosundo sehemu ya siri. Kwa mwanaume dalili ni vidonda.
Mara nyingi kimoja kwenye kichwa cha uume, kwenye kishina cha uume na kuzunguka njia ya haja kubwa.
Pia mwanaume anaweza kupata sundosundo sehemu za siri. Ugonjwa huu husababisha matatizo ya moyo, na kuharibu ubongo na kuzaa watoto walemavu.
Klamdia
Dalili yake kwa mwanamke mara nyingi siyo rahisi kuonekana. Kwa mwanaume dalili ni kupata maumivu wakati wa kukojoa, na kukojoa mara kwa mara. Athari kwa mwanamke ni kuziba kwa mirija ya kupitisha mayai na mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.
Mimba hizi kuhatarisha maisha ya mama na kuleta ugumba vinaweza kutokea. Kwa mwanaume athari ni kuziba mirija ya kupitisha mbegu na utasa.
Kankroidi
Dalili yake ni vidonda sehemu za siri vinavyokuwa na maumivu makali, maumivu wakati mkojo unapopita kwenye vidonda na kuvimba tezi sehemu za siri. Tezi huweza kupasuka na kutoa uchafu na maumivu makali.
Utando mweupe
Dalili kwa mwanamke ni kutokwa na uchafu ukeni (kama maziwa yaliyoganda), kuwashwa na kuwa na michubuko sehemu za siri. Kwa mwanaume ni kuwashwa sehemu za siri na kusikia maumivu wakati wa kukojoa. Athari ni maumivu wakati wa kujamiiana.
Virusi vya UKIMWI
Katika hatua ya mwanzo baada ya kuambukizwa hakuna dalili maalum. Hatua hii inaweza kuchukua mpaka miaka kumi. Lakini mara mtu anapoanza kuugua UKIMWI dalili zinakuwa nyingi.
Pamoja na kupungua kinga ya mwili, kupungua uzito na kuumwa mara kwa mara. Matokeo ya kuugua UKIMWI baada ya muda fulani ni kifo.
Hiyo paragraph ya mwisho nimecheka sana mkuuNaombeni nimalize PART 3 ya KULA TUNDA KIMASIHARA.
likizo yangu ilikuwa na furaha sana baada ya kufahamu afya yangu. Nikarudi chuo wanasema TAMAA MBELE MAUTI NYUMA, Kimasihara nikala lile lidemu lenye shape kali kwa KAVU KAVU kwa kutumia SPRAY ili nilikomoe. Nilishadithia hiyo story ipo huko nyuma.
Katikati ya show demu akiwa anapata mautamu akaropoka NIMETEMBEA NA WANAUME WENGI HAKUNA ALIYENIPA PENZI TAMU KAMA LAKO, hiyo kauli ya wanaume wengi ikaninyong'onyesha sana moyoni nikasema mwezi hata hujaisha tangu nipime afya niko NEGATIVE ghafla nahamia POSITIVE.
Nikamaliza chuo kwa mwendo ule ule wa mawazo ya ngoma. Nikaenda nyanda za juu kusini kutafuta fursa za kibiashara.
Bwana bwana siku moja naingia kasupermaket flani nakutana na demu kisu baraa anauza pale. Akili ilivurugika nikasema moyoni huyu lazima nile mzigo. Nikawa naenda pale kununua vitu uongo na kweli tukazoeana kiana.
Siku moja mida ya saa 4 usiku nikapita hapo kumsalimia KIMASIHARA nikamwambia leo njoo lala kwangu akasema fresh nipe namba yako ya simu nikampatia.
Nikasepa getho kichwani nasema huyu hawezi kuja. Bwana bwana mida ya saa 6 nasikia simu inaita kucheki namba ngeni, hello hello NDIO NAFUNGA OFISI NACHUKUA TAX NAKUJA KWAKO NIELEKEZE.
Nikamwelekeza. Fasta nikakimbilia kwenye bag nikatoa SPRAY nikapulizia mboo fasta dakika o demu huyu hapa. Akaingia ndani akavua nguo fasta bafuni kuoga. Bonge la baridi demu fasta akapanda kitandani.
Hakuna longolongo nikaanza kukamua KAVU KAVU kibabe nioshe jina. Show ilikuwa tamu sana.
Zikapita kama wiki 2 nikiwa nimekaa na washikaji mahali demu akakatiza. Wshikaji wakasema aisee yule demu alikubali kusex na jamaa flani HIV POSITIVE tajiri wa mbao, kisa tajiri alimuhonga milioni 1.
Mbaya zaidi yule tajiri nilishamfahamu na nilishawahi kukaa naye kibiashara katika stori zake tajiri alishawahi kutamka NITAHAKIKISHA NITAONDOKA NA WENGI.
Zile stori za washikaji hazikuwa rafiki kwangu nikasepa yale maeneo nikarudi getho nikajilaumu sana nikailaumu SPRAY. Nilikasirika ile spray nikaichukua nikaweka mfukoni nikaenda kuitupilia mashambani.
KICHEKESHO:- Nikatafuta vile vidude vya kupima HIV. Nikarudi getho nikajichoma kidoleni weka tone la damu nikaacha hapo kisome. Nikatoka nje.
Nikiwa nje natafakari maisha yangu baada ya majibu yakiwa POSITIVE. Aisee nikarudi ndani kabla ya kwenda kwenye kipimo nikachukua shuka bila kuangalia kipimo nikakifunika na shuka sikutaka kufahamu majibu, nikaingiza mkono ndani nikakishika nikakiweka mfukoni nikaenda kukitupa mashambani.
Nikahamia mkoa mwingine kibiashara MCHUMIA JANGA HULIA NA NDUGUYE nikaenda kununua SPRAY tena. Show zikaendelea kama kawaida, nikiumwa naenda hosptal nakuta malaria, typhoid kichwani nasema ipo siku lile BOMU la HIV litalipuka.
Nikaamua kutangaza kuoa, hapo nafuatilia maisha ya yule demu supermaket kule nyanda za juu yuko HAI AU AMEKUFA. Naambiwa yuko hai anahali gani kiafya? Najibiwa kama kapunguapungua vile.
Nikafunga ndoa bila KUPIMA HIV, na ikawa mwisho wa kutumia SPRAY na wife aliniamini niko good kiafya. HAKUNA MAREFU YASIOKUWA NA NCHA, wife ujauzito huu hapa nikamsindikiza kliniki, nimkabidhi pale nisepe bwana bwana Nurse akasema kabla hajaanza kliniki ni vema tupime afya zetu wote.
Nilikuwa nimekaa kwenye kitu nilitamani ardhi ipasuke niingie au litokee giza la ghafla nikimbie. Vipimo vikaja wakati huo nawaza KAVU KAVU zote za hatare lipisi la chuo, demu wa supermaket nyanda za juu na wengine baada ya huyo. Mwisho nikamwangalia wife nikamuonea huruma, yeye ANATABASAMU TUU.
Vipimo vikachukuliwa nurse akaviweka hapo mezani visome huku anajaza form. Akaviangalia vile vipimo halafu akatuangalia machoni. Mimi nimeishiwa nguvu. Then Akaangalia kipimo cha wife then akaangalia changu.
Akasema HONGERENI SANA WOTE MNA AFYA NJEMA. Aisee sikutaka kuonyesha furaha pale nisionekane nilikuwa fuska. Nikamuaga wife nikawapigia simu washikaji nyanda za juu leo nimepima HIV niko safi kwa TAARIFA YENU NILIKULA YULE DEMU WA SUPERMAKET. Washikaji walishikwa na butwaa hawakuamini kumbe nilikuwa kwenye chain.
Mwisho kama Mungu hajakuandikia hutapata HIV kweli hutapata hata usex katikati ya milima ishuhudie umalaya wako. Lakini kama umeandikiwa utapata HIV utapata tuu hata kama ni mara yako ya kwanza kusex.
Tangu nimeoa ni miaka 4 imepita sijamsaliti wife wala staki kula demu nje nisije nikamuuzi Mungu akasema hili lifuska nimelinusuru kote huko linaendeleza umalaya wacha lipate ngoma sasa.
ni sawa ila mahala hapa sio salama sana kwa hiki ulicho kiandika, ushauri wangu ungepeleka huu ujumbe wako ktk jukwaa husika naamini ingependeza sana.. arafu nikukumbushe tu kuwa mchuma janga hula na wa kwao kwa hiyo hauna haja ya kujisumbua kiasi hiki...
AMA MNASEMAJE WADAU![]()