Mtwara Smart
JF-Expert Member
- Jun 6, 2019
- 666
- 1,505
Huyu PATIGOOMkuu asante sana
Ila ungeleta hiyo story ya kuliwa kimasihara tuu...! Hizi zingine hatuko interested nazo..[emoji41]
Kaamua Kurudi Hivi Kafungua AC Jana.
Huyu PATIGOOMkuu asante sana
Ila ungeleta hiyo story ya kuliwa kimasihara tuu...! Hizi zingine hatuko interested nazo..[emoji41]
SijawahiSema bhana...[emoji23][emoji23]
Ipi hiyoMama Naa si useme hata kwa ile ID yako ingine..[emoji23][emoji23]
Shule za bording zinahusika mkuuHakuna ushabiki ndo uhalisia na nyinyi ndo chanzo cha mashoga wengi
Hawafanyi anayoyasema mtoa madaAwapeleke wapi?
Umejuaje ni uongo..au we ni Mungu upo kila sehem?Unajua maneno ya uongo huumba kweli ila mtoa uzi kaongopa inabidi tumsahihishe mkuu kwan dhambi kusema
Anaseam yule hakuwa chizi ni "kipepeo" wa idara...kasema amecpigwa stop kuendeleza mada ile!kuna yule jamaa alitafuna chizi akaweka ahadi ataleta muendelelezo!
bado tunamsubiria[emoji23][emoji23]
Heheheehh karudi na stori zake za kuogopesha Kama mikanda ya sarafina au anodi jini[emoji1787][emoji1787][emoji2]I'd mpya but memba wa zamani. Unatafuta attention mkuu patigo
Kajq kututisha kama jini shumileta , au jini kabula ...PATIACO ,acha hizo bwana mabaharia tupo kaziniHeheheehh karudi na stori zake za kuogopesha Kama mikanda ya sarafina au anodi jini[emoji1787][emoji1787][emoji2]