Aisee,ulikutana na shoga,aliwezaje kuigiza sauti ya kike na usigundue
Aisee hii pia ikishanitokea kabisa, na lilikula vihela vya vocha kama siku 5 ivi,, nilipokomaa kula mzigo, ndo likaniambia ukwel kua linatumia picha ya mdogo wake, ila kama nataka kupiga nyuma lipo tayari, Mwanza Ghana, kmmke yule msenge alikua na sauti nzuri balaa, baada ya kuniambia ivyo nikafuta na Namba yake kabisa dadeki.
 
Wahuni wanampelekea moto sana,, nilimwambia lazmaa nikasimulie dunia,,, ili wadau wawe makini
Kwenye uchakataji,,
Vip mkuu,, unaish nae kalibu nini, au na wew yalikukuta ya kukuta

[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
 
Amna siwezi,,awe tu amani uko aliko

Ila buku uliichukua na tukio ilo kweli limetokea jana na leo kapata msiba wa ndugu yake na hili akiliona atachanganikiwa zaidi

Ila dont judge person ila next time be care
 
Carlos The Jackal punguza utoto usidhani wewe unaishi dunia yako nachoona hujiheshimu na huwaheshimu hao wanawake au ni wale wanawake wasiojielewa kwa mujibu ya sms zako.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hamjajua huyo, mkimjua hatawasumbua.

Wanao mjua wala hawasumbui. Afu anatumia nguvu kubwa sanaa, watu wana mchoraa tyuuh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa gay anatumia njia hyo kushawishi si ashaishiwa had akili ya kuendesha mambo yakee.

Hata hyo story sio ya kweli, hakuna GAY anaweza fanya huo ujinga wa kutake risk lol.
 
Sasa gay anatumia njia hyo kushawishi si ashaishiwa had akili ya kuendesha mambo yakee.

Hata hyo story sio ya kweli, hakuna GAY anaweza fanya huo ujinga wa kutake risk lol.
Oya coca tulia, ukitaka ushahidi upo,, unataka kusemaje kwanza,, kwamba gays ni smart kiasi hiko,.

Wenyee kumjua washa mjua na wamenifata pm nimkaushie uyo mchicha mwibal..

Ila mnaroho ngumu, sana.. Ila furesh kuish kuchagua
 
Sasa gay anatumia njia hyo kushawishi si ashaishiwa had akili ya kuendesha mambo yakee.

Hata hyo story sio ya kweli, hakuna GAY anaweza fanya huo ujinga wa kutake risk lol.
[emoji16][emoji16][emoji28]we mngoni wa songeaa umewafahamiaa wapiii gays?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeishia kuchekaaa.
Hivi hao gays mnao kumbana nao straight, ni kwamba wameishiwa mabasha au??

Hata siamini, naonaga story za kuchangamsha vijiwee tyuuh. Khaaah
Ni washamba tu, wengi... Sio kwamba hana wanao mpelekea moto wapo sana tu,, mrongo vangu ujovi kiki penye apaaaa!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…