Lazima mtu akikuomba msaada umle?? U ain't gentleman dude
 
Bingwa wa kula kimasihara nimerudi ungana nami...!! [emoji116][emoji116]

01/11/2022 nimeenda mikocheni saluni nyuma ya jengo la clouds kunyoa
Midaa ya saa 9 jioni,pembeni kuna saluni la kike
Kuna mdada wa makamo tu round 18, or 22 anasuka rasta ndefu,gentlemen mimi nikazama saluni ya mwana ambae ni muhusika wangu, kwa kuwa kuna kifoleni
Nikawa mpole kusikilizia time ifike,kidgo luku ikawa imekata pale kwa dharura ikabd wale wateja walionyolewa tyr jamaa awapele pale, saluni ya kike kuna umeme

Baba ako na mimi nikaenda pale kucheki mazingira jamaa akafanikiwa kuwanyoa wote ikbk zamu yangu, nikamwambia weka umeme turudi kwenye ofisi yako mm ni mtu mwenye aibu mbele ya wadada wazuri (aaaah wapi huo ni mtego tuuu[emoji3][emoji3][emoji3] toka lini nikawa nina aibu??) yule dada anayesukwa kusikia vile akacheka sana akaacha smile, muhuni nika note down kitu,wataalam wa cuba tuna code zetu
Yule demu akasema we mkaka kinyozi naomba umnyoe hapa hapa tuone km ana aibu "mimi sasa moyoni najisemea huyu dada angenijua huko mtaani naitwa AZIZ KI yani nafunga sana nje ya 18.

Nikamaliza kunyoa pale nikaosha nywele safiii nikarudi kuwa mpya ukija gafla waweza sema umekutana na Shaddy moss yani "Lil Bow Bow" yule wa 2010 [emoji3]

Nikaropoka kitu kwa yule anayesukwa
Mm nmemaliza kunyoa lkn bado nipo nipo nataka nikuone vzuri ukishasukwa na hyo style yko ni km 'ALICIA KEYS' maskini huyu dada wa sio mtu wa miziki hamjui mama Egypt ilivyo kuwa pisi wakat huo inamegwa na USHER RAYMOND...

naendelea.....[emoji116][emoji116][emoji116]naenda kukojoa mara 1.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo uliyempata kupitia jf story yake usiilete, hapa jf we don't kiss and tell.
 
Kukojoa mkojo gani? Maana tuko kwenye kimasihara kuna mikojo yake

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Nazipenda sana situation kama hizi
 
Ilaa watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji119]
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…