Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Daah!! Ouyaaa Wee. Pombe sio Poa.

Nina VISA vingi sana yaani sanaa maana sijui hata nielezee kipi niache kipi lakini kuna kimoja hicho sitakisahau Maisha.

Kipindi flani miaka ya nyuma sana nlikua Vijijini, Mkoani huko Kikazi. Sasa mimi ni yule mtu wa kujichanganya sana alafu siwezagi kunywa mwenyewe hata nikienda sehemu naweza kuanza mwenyewe lakini baada ya muda tu nakuwa nimeshazoeana na nliowakuta kisha tunaendelea kuenjoy mdogomdogo.

One day wikiendi hivi Saturday flani hivi imetulia. Nikatoka Ofisini mapema maana ni nusu siku nikaeda home nikaoga fresh nikachange Mkanda nje nikatupia T-Shirt na Jeans nikaenda Road.

Nikaenda kutulia Bar moja kubwa hivi ina Counter 1 barabarani huku nje na ndani mwisho kabisa kuna Counter ya 2 hapo katikati ndiyo watu wanakaa. Mimi nikawa nimetulia counter ya barabarani huku nakula vyedi (Safari) huku nacheki Magari yanapita, mengine yanaingia Bar, na mengine yanatoka napata burdani tosha kabisa.

Mpaka inafika saa 1 nshakula vyedi kama 6 hivi nikaona kama sielewi nikamchombeza Dada wa Counter amuite mtu wa Jikon alafu alivyorudi nikamzingua... Aaf kama vipi anipe K nichachue kama Maskhara vile nlikula Mvua za Matusi pale kejeli na kubinuliwa mdomo alinisema sana na kuniambia mimi namdhalilisha na kumuona Malaya mara yeye hajiuzi maneno mengi yakamtoka; nikaona isiwe kesi nikamwambia Sorry basi kunywa Bia na mimi nipe Bia nimeshakuelewa... Am sorry. Akapoa na mda huo nshamugiza Jamaa Mbavu Portion 2 na Ndizi 4.

Wakati naendelea na chupa zangu akawa anahudumia wateja wengine na wahudumu wanakuja pale counter kuchukua vinywaji lakini ananiangalia kwa hasira alafu anatikisha kichwa kama anasikitika hivi, mimi kwakua nshaharibu nikawa sina habari nampiga kijicho pembe nampotezea tu. Mara muda sio mrefu msosi ukaja mixer kachumbari nini Ndizi zimeremba sahani ya Bati ile pembe kwa pembe nikanawa nikamwambia jamaa amnawishe na yeye aje kula ila aongeze kwanza Bia 2 kama mwanzo mimi na yeye aikua anakunywa Eagle(Ndege) alafu ndiyo tuendelee. Akaniangalia Akatabasam huku anasikitika kama hataki vile.

Wakati tunaendelea kula pale yeye yuko ndani mimi niko nje viti virefu akaniangalia tena ila sasahivi akanikazia macho hivi nikamuuliza vipi umekabwa au akacheka akaniuliza Uko Serious, Kweli!!? Mimi nikatabasamu nikapiga funda kumezea nyama nikamjibu Ndiyo au ulijua nakuzingua!!? Tukaendelea kudonoa menu.

Tukiwa tunakribia kumaliza, nikamwachia sahani akae nayo ndan kule amalizia kabisa, namuona anakenua tu, Jamaa akaja nikanawa nikalipa nikaendelea kula Mma.

Ghafla naona napewa kirisit nikatahamaki vipi tena nikamuangalia na kumuuliza kwani nimekuomba Bill? Akaniambia kwa ishara Fungua usome... Daah!! Nikafungua nakuta ameandika "...Asa ntakupea wapi, tunafunga saa 10 leo." Nikacheka... Nikakichanachana kile kirisitk nkakitupa. Nikatulia. Mule Kaunta akanza kuhaha Mara atoke aingie ananifanyia Ishara ya Mikono akimaanish VIPI SASA!!? Nikamjibu Niongezee Bia alafu uje.

Akaongeza aaf, akanisogelea nikamwambia; "WEWE MTU MZIMA, UNANIULIZAJE MASWALI YA KITOTO HIVO." Nikaendelea na vyupa vyangu nakula monde tu... Akang'ata kidole akaendelea kuwahudumia wengine. Mara akakaa kwenye kiti chake pale ndani akawazaa alafu akatoka kisha akarudi akandika kirisit kingine; "... Ukiona amekuja mhudumu counter humu na mimi nimetoka basi uje ChaKike mwisho kabisa." Akanipa nikakisoma Chap nikamuoneshe Ngumi yenye Dole Gumba nikimaanisha Fresh! nimekusoma.

~ Itaendelea~

Lakini palepale Counter wakati Jamaa wa jikoni ananinawisha baada ya kumaliza kuna Mwamba alikuja akasalimia akakaa juu pale Kaunta nikawa katika kuongea nae na kumdodosa nikagundua ni Wajina yaani wakuitwa jina langu basi katika storystory nikamwambia Dada muongezee Bia ingiza bill yangu; Mwamba alikua anakunywa Plisner(Bia inanukaga Vibaya hii) fresh tukaendelea na story kama Mabest tunaojuana kumbe tumekutana palepale tena night hiyo hiyo.

Huku na huku Mwamba akanipanga kuna Mama Ntilie mmoja bonge wemepanga wakutane hapo ila kama fresh amchek aje na Msaidizi wake ili na mimi nisiwe mnyonge nikamwambia fresh utakua umenifaa aisee!! Tukacheka... Akampandia hewani na ile nokia six button akampanga aje na yule aliyemuhudumia yeye Mchana alivyoenda kula pale. Bonge akakubali. Baada tu ya kumaliza kuongea nae akaanza kumsifia huyo Msaidizi na kuniambia ni yaani Chombo ya Kwenda Aaf hata yeye ndiyo alikua anamtaka sema nini Big kampenda mwenyewe tu kwahiyo wacha aishi nae kwanza. Daah!! Kwa jinsi Mwamba alivyonipanga nikamwambia Dada wa Counter amuongeze Plisner ingine maana amenifurahisha Mwamba akawa ana Bia ya 3 Mpya ya pili iko nusu na ya kwanza keshamaliza.

Naomba niconclude(Nachoka kuandika): Nlijikuta nimekula Madem wote wa3 kizembe sana kwasababu yule wa Kaunta kule Toi nlienda nikapiga kimoja cha Mkwezi kirefu cha kishujaa cha kushika ukuta alafu pale hatukukaa sana walivyokuja wale Bonge na Msaidizi kumbe ni mtu na Shangazi yake tukawapiga bia kadhaa kila mtu tu nikalipa Bill yangu na jamaa akalipa yake tukaondoka Mwamba akatupeleka Kilabuni moja hivi Mashambani sio mbali na pale wanauza Pombe kwenye Makopo ya Chooni yale sema Makubwa na Madogo kama yale ya kuuzia Mbege. Alafu sijui ilikua Pombe gani ile ipo kama Mbege sema inarangj ya Maziwa na Mafuta kwa juu (kama uhudumiwe Maziwa ya Moto yenye Cream alafu yaanze kupoa kwenye Kikombe) ule utando sasa na machicha kidogo kwa juu kama uchafu hivi umechanganyika na mafuta unapuliza unakunywa.

Haina kushea kila mtu na mtuwe, Mwamba akaagiza Kubwa 2 mimi nikatoa Buku 2 na Mwamba akatoa Buku Jero kumbe Lile kopo Dogo ni Buku na lile Kubwa Ni Buku Jero; Mimi nimebigwa na Butwaa lakini sielewi wale wenzangu inaonekaga ndiyo Pigo zao kwasababu Bi Mkubwa( Hawa ni wale waMama wanakuuzia huku wamevaa Kanga/ Vitenge viwili tu kiunoni na kifuani tu. Aaf, wanakuaga aidha Mnene Sana au Mwembamba sana kisha Ni weusiii kama Mkaa sijawi ona Mweupe mimi) alivyoleta nini mixer wanaongea Kilugha mara onja ndiyo unipe mara ya leo mbona kama kali sijui machicha yamefanyaje ivoo yaani. Asa kwasababu pale Bar hawakuwa wamekunywa kivilee kama sisi waliyafakamia yale Mapombe pale mixer yule Bonge akaongezaa na Kopo dogo lile la Buku tukiwa tumekaa upenuni kwenye Benchi hivi tumezunguka duara tukifuatana na Mabenji mengine.

Mwamba alizima pale pale ikabidi mimi niondoke nao wote wawili mpaka kwangu njia nzima tunaimba nyimbo za kilugha mimi nafanya kuitikia tu. Asubuhi, Bonge alitapika Uvunguni sijui hata sina kumbukumbu yaani alitapikaje Uvunguni ambako hakufikiki hata, huku Chumba kizima kinanuka puya la Pombe za Kienyeji aaf yule Shangazi yake na yeye alikua hataki kuondoka... Eti kapapenda ghetto. Mimi sasa ndiyo sifai Kichwa Kinauma, Naskia Kiu kishenzi na huku Mdomoni sasa sijui nlikua najiskiaje ni chefuchefu sio kichefuchefu, machicha kama nimekula Mchanga vile na uso unang'aa kama nimeoga Mafuta. Mimi nimeamka na Boxer na wao kila mmoja ana Pensi lake kubwa lina mifuko yenye zipu huku Vifua wazi hivi nikawatoa hela kidogo wakaondoka, Siwajui na wao hawanijui mpka leo maana walitaka wapike Chai na mimi nlikua sina Chombo chochote ndani basi walivyotoka saa 5 hiyo kweupe kabisa Majirani na wapangaji wengine kama vile waliambiana Wageni rasmi wanatoka wakawa wamejipanga nje wawaone... Daah!! Aibu ile sitaisahau kamwe.
Popote ulipo agiza pepsi baridii Mwamba,

Kunamazingira nilikua nayatengeneza kwenye mawazo nikiwa na soma hii post, Nimejikuta nacheka kwa nguvu sana
 
Leo na mm niongeze moja , 2020 hio nipo geto mkoa wa Kilimanjaro wilaya X nikapigiwa simu y dalali kutoka mkoa wa tabora kua kuna mtu ana shida na mawe ya kujengea, akauliza vp yale ya site naweza uza maana yamekaa muda sana ,

mfukoni nipo chafu pozi afu nina muda kidogo sija shika pesa mingi kiasi y nlichotangaziwa , Nika mwambia achukue trip mbili cash atume , basi km dkk 15 cash ikaingia nikaambiwa hzo trip wata hamisha kesho so ntakua updated

Basi mwenyew nikaingia kuoga chap nikasema niende wilaya jiran pale kwa geto la brother nikashinde kule na dogo mmoja ambae n km msimamiz wa geto na maliza broo , nikasepa km dkk 30 nishatimba, kufika pale ndo first time namkuta jamaa anapika afu vyungu kibao, nikamuuliza vp akasema Nina wageni basi nikasema poa me nikapitiliza ndan nakuanza kucheck movie

Baada km y dkk 20 mshakaj akasema naenda wapokea so mazingira niweke sawa maana ni mademu heee! nikakurupuka na kuanza kuweka mazingira sawa , baadae wakafika na kutambulishana pale kumbe ni rafiki zake bhana hata hakua na Mali pale

Zikaanza story mara misosi sasa tumeshiba nikajichetua akil nikasema shemej (moja Kati ya zile pisi mbili zilizo kuja Ila hii ndo ilikua pini kuliko mwenzie ) naomba ruksa tupate hata k vant moja , akacheka na kusema sawa Ila mimi sio shemej yako huyu ni rafiki angu, nikasema baridi kazi utaiona leo

Nikawauliza wanatumia nn wakajibu mnachotumia ninyi na sisi hicho hicho hahahaa , nikasema fresh nikajitungua na k vant kubwa moja na bia kama kumi hv Serengeti za kupozea

Watoto wanafakamia Serengeti tu nikawa nawaonjesha na vant mara Ile pisi inamtaka ule dogo wacheze mziki dogo anajivuta vuta me nikainuka nikaanza unganae mpaka ule demu mwingine nae kaanza zungusha kiuno km feni nikahama nikenda bambia kule

Nika mpanga dogo mi nataka hii pisi niipige pumbu akasema furesh ngoja afuate na ganja ndo aje nae akamate ilo baki, nikasema baridi , nikarudi kudance na ile pisi kali nakuanza kula lita mipapaso ya ela yote na kuanza pima oil mara karegea anaomba nishikirie had chooni akakojoe

Nikasema huyu tayar nikazama chumban nikavuta ndom nika mrudia hadi chooni akafanya yake Nika mwambia ioshe kabisa nataka isabah akafuata maelekezo nikaibandua

Tukarudi had sebulen tukarudi kudance nikahamia kwa ule mwenzake alikua bonge mixer kujitapa n mtanga nikasema barid Nika komaa nae anakata kiuno utazan sio bonge mazee nikakomaa nae mara akaketa ulimi romance ikaanza Nika mkoleza had rum nae nika inandua sema huyu alikua fundi had Nika zimika Yan nikaanza mng'ang'ani nimpige chapili akasema siku nyingine ngoja warudi hm maana usiku ushakua mkubwa afu wenyew wameolewa

Nikasema ***** hii Noma wakaaga pale dogo nae yupo anakula msuba watoto hatak tukawasindikiza had kituon hao wakasepa nikadaka namba ya bonge ili match irudiwe .
Umeweka vijiko vingapi vya sukar kwenye hii chai?
 
watoto serious wanaharibika, nakushauri kama umepanga kwenda kuishi IFAKARA usijaribu, hamna serikali kule naamini kwa 90% vitoto darasa la TANO tu vina mambo makubwa hatari,,, ukiomba unapewa
Ifakara ni balaaa unaeza kuhisi ni jamhuri ingine ile
 
Alikiwashaje mkuu lete story hiyo tuenjoy
Nilikuwa nimeenda bagamoyo kwenye semina Kama siku tatu,wakti huo yeye alikuwa anasoma chuo Cha ualim X.

Mimi kwa hiyana yangu baada ya kumaliza semina nikampogia simu majira ya kumi na moja jioni nikimuomba nimsalimie nimuachie pokert moyen as if my sister,sasa wakti anakuja nilikuwa maeneo flani pale bagamoyo panaitwa msalabani na nilikuwa na mfanyakazi mwenzangu ambae ni wakike Tena tumekaa kawaida tuu huku tukimwagilia moyo.

Akaja akatusalimia na nikamtambulisha ni dada yangu anasomea ualimu, basi yeye hakukaa Sana nichukua Kama 50k nikamkabidhi, sasa wakti anaondoka nikawa namsindikiza basi njiani analeta maneno Kama ya wivu ila sikumjali, nikajuwa ananitania tuu kumbe alichofanya nikupiga simu kwa wifi yake nyumabni na kuambia Ile hali ya pale.

Sina hili Wala lire narudi safari mke kanuna, Mimi kubembeleza Sana mbovu basii mke kanuna kaondoka kaenda kwao akisubili niendee nikajishushe, nikampogia simu mwl kwanini umemuambia Mambo Kama Yale wife anaishia kuchekacheka tuu, bahati nzuri akajileta field yake huku niliko basi akawa mke tuu ndani, sasa alivyosikia mother house akaja kukiwasha mbaya, basi ndio ikawa mwisho wa Mimi na mother house, ila huyu mwl kwasasa andoa yake na maisha yanaenda.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom