poleISIDINGO
poleISIDINGO
Lazima mtu akikuomba msaada umle?? U ain't gentleman dudeThreads za nyuma nilisema nina visa vinne, nilikula rafiki wa dada yang, kuna demu mmoja nilimsaidia admission chuo nilimla kimasihara kupitia hii hii jf, nyengine demu alieleta vyeti vya kazi magetoni ili nimpelekee ofisini nilimla kimasihara na ya mwisho ni demu niliyemsaidia kufungua account bank apate mkopo
Mimi ni mvivu kuandika napenda kusoma za watu ila siku nikitulia ntaanza na ya rafiki wa dada tuendeleze hili gurudumu ila usiwe rahisi kuuza mechi unaweza koswa na umeme ukapata gono lisilopona mpaka ukafanyiwe culture, nawasilisha.
Mimi ni mtumish wa afya hospital moja mjini hapa ndo mana nimesisitiza umakini muhimu.
[emoji3][emoji3][emoji3]Mwanangu hukumpa hata diko aisee na umemuona amezubaa toka muda mrefu hapo nje[emoji28]
Hii si uongo ni story ya kweli , miaka nane imepita kipindi naish zangu knyama .. mtaa niliokuwa na kaa kulikuwa na kigenge kimoja alikua anauza mdada mmoja wale watu wanawaita andunje au watu wa fupi ... oyaaa mtoto alikua kafungasha balaa sasa mara ya kwa
Kwanza naongea nae nikamtania "aaah mchumbaaaa " akajibu we mtoto sana kazi huiwezi wewe ebu sema nikuudumie nini uende " nikacheka sana nikamwambia " ebu nipe namba yako ya simu ntakupigia ... kama zali akaandika .. hahaha basi nikawa nawaza nipige nisipige , baadae nikamwona kwa mbali kama anakuja unakuja upande napo ishi ilikua usiku , nikampigia nikamuulisha " ushafunga ofisi nikupe show ..
" kama zali akaitikia nipo njiani naondoka sema upo wapi nije .." hii oya ingekuwa wewe ungefanyaje .. aaah nikamwambia " angalia mbele " huju nanyoosha simu kwa juu anione , akaja hadi pale nikampitisha mlango wa uwani akazama hadi.getto .. oyaaa wazee nilipiga show .. kesho akarudi tena .. ikaenda wiki nzima .. baadae baba mwenye nyumba akanipa notice eti naingiza watu wa ajabu kwenye nyumba yake .. na hapo ndo nilipoama siku ktafuta tena
Huyo uliyempata kupitia jf story yake usiilete, hapa jf we don't kiss and tell.Threads za nyuma nilisema nina visa vinne, nilikula rafiki wa dada yang, kuna demu mmoja nilimsaidia admission chuo nilimla kimasihara kupitia hii hii jf, nyengine demu alieleta vyeti vya kazi magetoni ili nimpelekee ofisini nilimla kimasihara na ya mwisho ni demu niliyemsaidia kufungua account bank apate mkopo
Mimi ni mvivu kuandika napenda kusoma za watu ila siku nikitulia ntaanza na ya rafiki wa dada tuendeleze hili gurudumu ila usiwe rahisi kuuza mechi unaweza koswa na umeme ukapata gono lisilopona mpaka ukafanyiwe culture, nawasilisha.
Mimi ni mtumish wa afya hospital moja mjini hapa ndo mana nimesisitiza umakini muhimu.
Kukojoa mkojo gani? Maana tuko kwenye kimasihara kuna mikojo yakeBingwa wa kula kimasihara nimerudi ungana nami...!! [emoji116][emoji116]
01/11/2022 nimeenda mikocheni saluni nyuma ya jengo la clouds kunyoa
Midaa ya saa 9 jioni,pembeni kuna saluni la kike
Kuna mdada wa makamo tu round 18, or 22 anasuka rasta ndefu,gentlemen mimi nikazama saluni ya mwana ambae ni muhusika wangu, kwa kuwa kuna kifoleni
Nikawa mpole kusikilizia time ifike,kidgo luku ikawa imekata pale kwa dharura ikabd wale wateja walionyolewa tyr jamaa awapele pale, saluni ya kike kuna umeme
Baba ako na mimi nikaenda pale kucheki mazingira jamaa akafanikiwa kuwanyoa wote ikbk zamu yangu, nikamwambia weka umeme turudi kwenye ofisi yako mm ni mtu mwenye aibu mbele ya wadada wazuri (aaaah wapi huo ni mtego tuuu[emoji3][emoji3][emoji3] toka lini nikawa nina aibu??) yule dada anayesukwa kusikia vile akacheka sana akaacha smile, muhuni nika note down kitu,wataalam wa cuba tuna code zetu
Yule demu akasema we mkaka kinyozi naomba umnyoe hapa hapa tuone km ana aibu "mimi sasa moyoni najisemea huyu dada angenijua huko mtaani naitwa AZIZ KI yani nafunga sana nje ya 18.
Nikamaliza kunyoa pale nikaosha nywele safiii nikarudi kuwa mpya ukija gafla waweza sema umekutana na Shaddy moss yani "Lil Bow Bow" yule wa 2010 [emoji3]
Nikaropoka kitu kwa yule anayesukwa
Mm nmemaliza kunyoa lkn bado nipo nipo nataka nikuone vzuri ukishasukwa na hyo style yko ni km 'ALICIA KEYS' maskini huyu dada wa sio mtu wa miziki hamjui mama Egypt ilivyo kuwa pisi wakat huo inamegwa na USHER RAYMOND...
naendelea.....[emoji116][emoji116][emoji116]naenda kukojoa mara 1.
Nazipenda sana situation kama hiziWakati nasoma kuna Nyumba ya kupanga nilikuwa naishi wapangaji wengi tulikuwa wakiume na binti mmoja mzuri ambaye alikuwa hana kabisa mazoea na yeyote kati yetu alikuwa Ni mzuri na mwenye maringo sana
Siku moja jioni natoka kwenye mihangaiko yangu nakuta uani kuna kama kikao cha dharula hivi wapangaji wote wanamsema yule binti uwa anachelewa kulipa bill ya maji pale inapotoka na siku hiyo pia hakuwa na pesa cash so akaomba aende bank kutoa hakuna aliyeelewa wakajua ndiyo sounds zake za kila siku
Nilipofika nikauliza nini tatizo wakanieleza nikawaambia hamuoni aibu vidume wote kumsema binti Wa Watu kisa elfu saba? Nikawapa hiyo pesa nikaingia ghetto kwangu
Itaendela......
Ilaa watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji119]Mi nakumbuka utotoni nilishawahi kula tunda kimasihara sana u nikiwa na watoto wenzangu chini ya mwembe kuna embe lilidondoka lenyewe ardhini nikawahi kuliokota nikawa nalila kimasihara huku nikiwacheka wenzangu wanavyolitamani kwa kuwa embe ni tunda na uzi unazungumzia kula tunda kimasihara nikaona nami nishiriki kucoment.Ni hayo tu machache niyaseme kwenye thread hii
Leo kimasihara imenifikia, miezi kadhaa iliyopita nilienda mkoa flan huko kanda ya samaki.
Nikalala lodge flan nikakaa km wiki pale nikazoeana na mhudumu kiasi kwamba tukawa tunapiga stori tu.
Badaye nikachukua namba nikasepa zangu, sikumtafuta muda wote huo
Sasa juzi nilikua na safari ya kuelekea huko huko, nilimwuliza km bado yuko pale pale.
Akajibu ndiyo, leo nimefika nikamtania nikamwambia nisindikize room basi, amefika room nikamtania, usiku njoo, kimasihara akajibu nunua kondum nitakuja wateja wakiisha
Wakuu, Demu ni namba DA, tall, black umbo la miss....
Niko sasa namsubiri kashanipigia kasema nisifunge...nitawapa majibu
😱😂😂😂😂Vitu kama hivi uwe unaweka na connection, kizuri kula na ndugu zako hapa jamvini
Kojo iloNimepeperusha bendera ya kimasihara pande za precision air [emoji23]View attachment 2415486
Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimepeperusha bendera ya kimasihara pande za precision air [emoji23]View attachment 2415486
Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
naona tukio la leo mida ya saa 11 tarehe 13/11/2022Nimepeperusha bendera ya kimasihara pande za precision air [emoji23]View attachment 2415486
Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
Apeperushe vyema bendera ya Makontao.kanaulilia mida hii, kesho kakirudi kwako hakikisha unakafukua mtandao pendwa hapo utakuwa ushindi kwetu mkuu
Ujitaidi kusoma ilikoazia ndio utaelewa.Sijaelewa kimasikhara ipo wapi hapo?
Habari wana ndugu wanaokula tunda kimasihara kila kukicha[emoji23][emoji23]
Juzi kati nimekula Tunda kimasihara la Eng. Wa Taasisi kubwa hapa Bongo.
Ili kuwa ivi.
Huyu Eng. Mara nyingi anakuja kupata huduma za kifedha kwenye ofisi yangu. Na akija ana mkuta dada/mfanya kazi wangu anamuhudumia vizuri mpaka anajisikia fahari kuja hapo ofisini kwangu[emoji23][emoji23]
Huyu Eng. Bado mdogo kiumri niseme around 31 ivi au below. Huyu miss mara nyingi anakuja tunapisha yaani akija ananikosa anahudumiwa na dada. Ingawa kuna siku alikuja akanikuta nikampa huduma na kumtania kidogo then nikampotezea
Sasa bhana, juzi nimeshinda ofisini hapo mpaka mida ya saa tisa ivi mara paa naona gari ya Eng. Inapaki mlangoni mwa ofisi yangu. Nikajiongeza chap na kubuni mbinu ya kuchukua namba ya Eng[emoji23][emoji23]. Nikamwambia dada ebu nenda kachukua maji katoni tano pale tunapochukua[emoji23][emoji23]. Leongo ilikuwa ni dada aende ili mimi nibaki free na eng[emoji28]. Tuna uza na maji na others soft drinks.
Basi bhana Eng. Akaingia ndani nikampa kile alichotaka baada ya kumaliza ile anaondoka tu nikamuita samahani Eng. nikampa simu yangu aniandikie namba yake bila kupapasa macho wala discusion, akapokea simu na kuandika namba nikamwambia shukrani nitakupigia muda si mrefu. Akasepa zake huyo[emoji2093][emoji2093]
Ilipofika muda wa saa kumi na moja jioni nikapaa hewani. Hello Eng habari za wakati huu mimi......akasemaa ahaa nimeshakufahamu. Na kuniuliza nikusaidie nini “Y” nikamuulza kwasasa upo wapi nipo home sehemu gani lakini? Akajibu maeneo ya Goba basi nikamwambia naomba tuonane mida ya saa moja ivi tupate kinywaji na maongezi kidogo. Akasema ngoja atanifahamisha. Nikasema sawa.
Basi mi nikaendelea na majukumu kama kama na kusahau kuwa kuna mtu nimemuahidi kuonana. Ilipofika saa moja na dakika 45 mara hiyo simu inaita kucheki ni Eng. Nikasema safi kabisa. Nikapokea hello Eng. Hello “Y” akasema eehe nambie nikamwambia naomba tukutane six park madale. Akasema pouwa.
Kwa wasiyofahamu hizi chimbo kutoka goba njia nne na madale siyo mbali ni karibu sana. Basi nikajiandaa chapu na kuchukua mkweche wabngu niwahi eneo la tukio kbala ya Eng kutia timu. Nafika tu na yeye huyo katiba na boda safari hii alikuja na boda hakuja na gari lake. Nikajisemea mmh leo hatoki salama jinsi alivyo vaa ivi, alikuwa amevaa gauni fulani ivi nzuri na fupi kidogo. Ila niwe mkweli Eng kabarikiwa kila idara aisee.
Basi bhana tukatafuta engo safi tukakaa na kuangiza vinywaji. Eng aliaza savana mi nikaagiza wine fulani izi huwa naipenda. Vinywaji vikaletwa tukaanza kunywa na kupiga stori mbili tatu. Mara ohoo nionje wine yako nikamwambia ngoja nikuwekee kidogo nikamuwekea yeye akachanganya na savana yake namcheki tu.
Stori ikanoga kushtuka saa tatu hapo sijasema chochote kunywa tu na kuongea tu stori za hapa na pale. Ilipofika saa tatu na nusu akasema anaenda home ahsante kwa kampany yako nimefutahi na kuenjoy kweli kweli. Mi nikamwambia karibu tena na tena wala usichoke kuja. Akasema sawa. Lakini muda huo nimeshampimia yaani kalegea kweli kweli.
Alivyonyanyuka kuanza safari nikamwambia huwezi kwenda mwenyewe twende wote akasema sawa. Nikamuingiza kwenye mkweche. Alivyooingia tu kwenye gari nikapandisha vyoo na kuwasha gari nikamwambia sentensi moja twende home ukapaone ili kesho iwe rahisi kuja. Akaguna tu. Mi nikatoa gear na kuondoka kuelekea home uzuri home siyo mbali na maeneo hayo.
Tumefika home tukaingia ndani. Karibu mgeni jisikie huru. Ahsante “Y”. Nimeshapaona kwako sasa nirudishe kwangu nikamwambia sawa. Alivyomaliza tu kuongea nikamkubatia ile tight kweli kweli aisee. Vup bin vaa tukaangaliana usoni face to face mi nikapeleka mdomo tu ikapokelewa vizuri bila kinyongo tukaanza mambo mara paa tukadondoka kwenye kochi.
Aisee Eng. Alinipa ushirikiano Romance ya maana mwisho tukaanza kuduu[emoji23][emoji23]. Nilipiga pipe za kutosha mpaka saa saba. Nikamrudisha eng kwake nikarudi home nikapiga maji nikalala. Nimeaidiwa papuchi tena kesho kutwa juma tano muda ni ule ule [emoji28]
Ivo ndivyo nilivyomla Eng. Nawasilisha