Leo kimasihara imenifikia, miezi kadhaa iliyopita nilienda mkoa flan huko kanda ya samaki.
Nikalala lodge flan nikakaa km wiki pale nikazoeana na mhudumu kiasi kwamba tukawa tunapiga stori tu.
Badaye nikachukua namba nikasepa zangu, sikumtafuta muda wote huo
Sasa juzi nilikua na safari ya kuelekea huko huko, nilimwuliza km bado yuko pale pale.
Akajibu ndiyo, leo nimefika nikamtania nikamwambia nisindikize room basi, amefika room nikamtania, usiku njoo, kimasihara akajibu nunua kondum nitakuja wateja wakiisha
Wakuu, Demu ni namba DA, tall, black umbo la miss....
Niko sasa namsubiri kashanipigia kasema nisifunge...nitawapa majibu