Umeandika nini?
 
Na pia makato yalikuwa kwa dakika, hata ukiongea sec 3 charge yake ni dk 1



Nakumbuka kuna sehemu nilikuwaga naenda kupiga simu...Sasa ukitumia labda dakika n sekunde tano wanakucharge dk 2...basi mnalumbana kinoma mwishiwe inabidi nilipe tu.

Kwa hyo ikawa nikitaka kupiga simu naenda Na saa yangu...naongea haraka haraka..ikifika sekunde ya 58 nakata simu...acha Kabisa....eti Leo hii muda wa maongezi unahesabiwa kwa sekunde?????...tumetoka Mbali ujue...
 
Mi nishawahi gombana nao sana mpaka
 
Dakika moja nakumbuka ni shilingi 150
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…