nyanyantole
JF-Expert Member
- Jun 22, 2015
- 676
- 1,064
Wanakua miaka tu lakini akili zao zimedumaa, kuna umuhimu wa kufuatilia kadi zao za kliniki si ajabu grafu haiko sawasawa wapuuzi wakubwa hao.Mbona hawaulizi dada zao wanavyonyanduliwa kama wanakumbuka kutumia ndom?
Hapo bado wale watakatifu hawajaja kuhubiri
Warangi kukupa uchi ni simple sana hawana choyoNikidikiaga demu katiwa Sana na mm nimela huwa najilaumu sanaaa yaaani na nitateseka kumsahau. Lkn nashindwa Khali hyo
Wapo wengi tu kama wewe walikuja kwa huu uzi na wakaondoka wakauacha, ni zama zako na wewe hizi, tamba ila utachoka tu na utauacha uzi ukisonga mbele, ni suala la muda tu.
Acha shobo Mkuu tafuta Demu na wewe ulete kisa hapa[emoji16][emoji16][emoji16] Kwa Mungu Miaka 1000 ni siku 1 tu. Yesu akaja akaenda ni Yeye tu alihubir Habari ya ufunuo na uzima wa Milele. Wanafunzi 11+mathiya akachaguliwa kufikisha 12 baada ya Yule Yuda msaliti kujinyonga.
Yesu akaondoka kimwili akaa ndani yao Kiroho kazi ikapigwa mwanawane. Wakala watu 12 sio 1 tena. Wale 12 wakasababisha Yesu akae kwa Ma 10 elfu, ma milioni na sasa Yesu yupo anatenda kila pande ya dunia hii.
Kweli ntaondoka kama ye aliondoka mi nani lakin maneno yangu yatakaa kwenu na ni utukufu kwa Mungu kwamba damu zenu Mungu hata nidai mimi hapa. Na wale watakao amini Yesu atakaa ndani yao na Ndio makusudi. Si wote wamechaguliwa.
Nuhu aliweka hadi Fisi kwenye safina ili Mungu ajipatie mbegu [emoji16] Hivo relax ntaenda.
Kwamba natamba [emoji15][emoji15] zamu yangu. Mwenyewe nasubir masihara niangalie. Uzi uishi
Acha shobo Mkuu tafuta Demu na wewe ulete kisa hapa
Nimepata wivu mkali sana.Nimerudi sasa tuendelee....
Kama mjuavyo wageni wanapoingia kijijini lazima wajulikane.....watu mbalimbali walijenga mazoea na sisi akiwemo yule kijana (hasa mimi). Nikienda mgahawani kula chakula nakuta naambiwa kimelipwa, nikienda dukani kununua maji ya kunywa pia maana hapa duka lilikuwa karibu na hardware yao pia naambiwa rajab amelipa.
Sasa akaomba tukutane tuongee me bila hiyana nikakutana nae...akatuma mistari yake paleee me nkamwambia sijamuelewa...
Akaendelea na udhamini lakini me moyoni najua si naondoka tu mda wowote hatanipata. Na kweli week hiyo nkaamua kurudi zangu dar. Basi mchana wake nkamwambia kwamba me ntaenda kulala mtwara ili kesho yake niwepo dar nimepata dharura.
Mda ukafika me nkapanda zangu gari hadi mtwara mjini nkachukua Lodge...mida ya jioni nimepoa si akapiga simu ..eti yupo njiani anakuja mtwara Town nimwambie nilipo ili tuagane tu yeye arudi kijijini. Nkataka kumwambia asije lakini ashasema yuko njiani. Basi nkasema kwakuwa amesema anarudi jioni ile ile ukute hatataka mengi....
Kweli akafika nikampokea tukakaa nje kwenye hyo Lodge kuna bar kwa nje tukakaa tukapiga story mbili tatu huku tunakunywa soda .
Basi akasema yeye anataka kurudi ila anataka aone room kwangu tuu... 🤣🤣🤣🤣
Tukaenda room....kumbe ilikuwa mbinu yeye alishaipanga na kweli ikasaidia akaanza uchokoziii wake hadi akashinda kula tunda...
Hii siku nilisikitika sana asee
Pale ninapojua nimeondoka kijijini salama na nimeshinda vishawishi vya wakaka wengi tu huko sokoni nkaja kutua mikononi mwa haka kakijana kijiiingaaa
Waleykum salaam!
Ila Acha shobo
Opgard score ilikuwa chini ya 5 huendaWanakua miaka tu lakini akili zao zimedumaa, kuna umuhimu wa kufuatilia kadi zao za kliniki si ajabu grafu haiko sawasawa wapuuzi wakubwa hao.
Why mkuu?Nimepata wivu mkali sana.
Naye ataka kula tunda jamaniWhy mkuu?
Wanaume wa jf asee mawazo yao ni kulana tuuNaye ataka kula tunda jamani
Ata huko mtaani ni hivyo hivyo mwanaume lazima akuombe mbususu bwana, ebu imagine wee uende wiki nzima bila kutomgozwa sii uataanza kujicheki marabili mbiliWanaume wa jf asee mawazo yao ni kulana tuu
Wakikutafuta 10 ujue 2 tu ndo huwa hawana shida na K ila wengine woote 8 hawana hiyo gut ya kutokuomba tunda
Baada ya kimasihara View attachment 2280535
We jamaa una good stuff[emoji16][emoji16][emoji16][emoji362]
Ohooooo!!!Baada ya kimasihara View attachment 2280535
Kuna wanavulana wanazingua sana yani! Yani dem akileta masihara wanashoboka nayo mpaka wanaboa sasa!! Maswali kibao ambayo hayana ulazima🤮Maswali yanakuwa meeeengi kwa msimuliaji hadi inamsababishia ukakasi kiasi cha kutokuwa na hamu ya kuhadithia kimasikhara nyingine (kama anayo).
Vijimaswali vyenyewe ni upuuzi tu na ujingaujinga , utoto mwingiiiiiii (kidish), hopeless, horrible, hovyooooooooooooo!