Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Baada ya kimasihara
20220704_094728.jpg
 
Maswali yanakuwa meeeengi kwa msimuliaji hadi inamsababishia ukakasi kiasi cha kutokuwa na hamu ya kuhadithia kimasikhara nyingine (kama anayo).

Vijimaswali vyenyewe ni upuuzi tu na ujingaujinga , utoto mwingiiiiiii (kidish), hopeless, horrible, hovyooooooooooooo!
Kuna wanavulana wanazingua sana yani! Yani dem akileta masihara wanashoboka nayo mpaka wanaboa sasa!! Maswali kibao ambayo hayana ulazima🤮
 
Back
Top Bottom