shusha madini mtumishi nyanyantole
[emoji23][emoji23].

iweje wawe wanakula mbususu hovyo,huku ndo kuna dhambi kwahyo shusha mafundisho

Sent from my SM-M307F using JamiiForums mobile app
 
hii chai imeletwa huku

Sent from my SM-M307F using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 2017 nilikuwa sina mishe ya kueleweka...si unajua tena kizungu zungu cha ajira za magu.
Basi ndugu yangu wa kike akasikia kuna mishe za kuuza bidhaa mbalimbali kwenye wilaya na vijiji vya mkoa wa mtwara kipindi cha mauzo ya korosho maana muda huo wanakijiji wanakuwa wana hela za kutosha na huwa zinalipa sana (huu mwaka magu alikuwa hajaharibu mfumo wa manunuzi ya korosho).
Basi tukapita kariakoo nikamsaidia kufanya manunuzi ya bidhaa zake sisi haoo tukakamata maning nice hadi mtwara mjini then tukakamata kibasi hadi tandahimba.
Romani tuliyopewa ilikuwa ni kuzunguka na watu wa mnada ambao kila siku wakimaliza mauzo basi wanahamia kijiji/kata/ au mji mwingine kwa ajili ya mnada wa siku unaofuata.
Siku tuliyofika mnada ulikuwa kesho yake ni tarehe ya tandahimba.
Basi sisi tukatengeneza mazingira tukawaona viongozi wakatusaidia kupata maeneo ya kupanga bidhaa zetu. Tulibahatika kupewa kaupenyo na kiongozi mstaafu wa mnada (huu mnada una viongozi kabisa...na umechukua makabila karibia yote tanzania nzima...ni kuna watu wengi sana sana). So tukawa tunapata viupendeleo hivi na vile.
Mnada wa tandahimba ukaisha tukasafiri usiku usiku kuelekea kitama ambako tulilala nje kwenye kibaraza cha nyumba moja iliyoko karibu na uwanja wa mnada wa kitama. Basi kitama ikaenda poa ...tukauza...kesho yake tukaelekea mnada wa nanyamba....then tukaona mbona kama inatuchosha so tukaamua tukae tu kijiji cha mtimbwilimbwi tuwe tunazunguka lakini kituo cha kulala kiwe hiko. Basi tukaweka kambi tukawa tunamwaga mzigo kwenye center wateja wanakuja. Tukatafuta na mtu wa bike tukawa tunamlipa anatuuzia jioni analeta hesabu tunamlipa. Mtimbwilimbwi tilipajua kupitia jamaa aliyemuuzia ndugu yangu hii Ramani ya bisnes ya msimu ao ndo alikuwa mwenyeji wetu na makazi yake yakikuwa hapa mtimbwilimbwi. Yeye kazi yake ilikuwa kununua korosho kwa wakulima ambao hawakuwa na uwezo wa kwenda bank na hawana hata hizo account number za malipo.
Basi hapo mtimbwilimbwi kuna kakijana kamoja kalikuwa kanauza duka la ujenzi la baba yake...
Inaendelea mechoka kuandika napumzika kwanza mzabzab

Post imedhaminiwa jaman...
 
We Nakadori fanya uje umalizie story, huyo kijana wa hardware alifanyaje, ikawaje..we're tuned hapa hapa!!
 
Mtachoka sana kama ndo hivo mana Nipo sana. Najua Najibiwa na mashetani yaliowafunga lakini niseme tu ninyi mlio na Nyama hamna kosa. Nipo kuwaponya hutaki dawa unakaa pembeni utaitaka hata mwakani.
Nakuelewa mtumishi 😃😀
 
Kitama 1 au kitama 2?
 
Nimerudi sasa tuendelee....
Kama mjuavyo wageni wanapoingia kijijini lazima wajulikane.....watu mbalimbali walijenga mazoea na sisi akiwemo yule kijana (hasa mimi). Nikienda mgahawani kula chakula nakuta naambiwa kimelipwa, nikienda dukani kununua maji ya kunywa pia maana hapa duka lilikuwa karibu na hardware yao pia naambiwa rajab amelipa.
Sasa akaomba tukutane tuongee me bila hiyana nikakutana nae...akatuma mistari yake paleee me nkamwambia sijamuelewa...
Akaendelea na udhamini lakini me moyoni najua si naondoka tu mda wowote hatanipata. Na kweli week hiyo nkaamua kurudi zangu dar. Basi mchana wake nkamwambia kwamba me ntaenda kulala mtwara ili kesho yake niwepo dar nimepata dharura.

Mda ukafika me nkapanda zangu gari hadi mtwara mjini nkachukua Lodge...mida ya jioni nimepoa si akapiga simu ..eti yupo njiani anakuja mtwara Town nimwambie nilipo ili tuagane tu yeye arudi kijijini. Nkataka kumwambia asije lakini ashasema yuko njiani. Basi nkasema kwakuwa amesema anarudi jioni ile ile ukute hatataka mengi....
Kweli akafika nikampokea tukakaa nje kwenye hyo Lodge kuna bar kwa nje tukakaa tukapiga story mbili tatu huku tunakunywa soda .
Basi akasema yeye anataka kurudi ila anataka aone room kwangu tuu... 🤣🤣🤣🤣

Tukaenda room....kumbe ilikuwa mbinu yeye alishaipanga na kweli ikasaidia akaanza uchokoziii wake hadi akashinda kula tunda...
Hii siku nilisikitika sana asee
Pale ninapojua nimeondoka kijijini salama na nimeshinda vishawishi vya wakaka wengi tu huko sokoni nkaja kutua mikononi mwa haka kakijana kijiiingaaa
 
Lakini si kakijana kalijitahidi kupeleka moto hadi ukakaa vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…