Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Kutokujua sheria za Nchi ya Tanzania chini ya Rais wa Tanzania [emoji1241] haimaanishi kwamba ukienda kinyume na SHERIA hizo na TARATIBU za nchi ambapo imejipangia kutazuia wewe kukutana na HUKUMU kwa Mujibu wa sheria.wakati mwingine na kifungo ama una nyongwa mpaka ufe.

Ni vile vile pia katika Ulimwengu huu wa macho na ule wa Roho kwa maana ya Tupo chini ya SHERIA,HUKUMU,AMRI NA MAAGIZO YA MUNGU ALIYEKUUMBA WW HAPO NA MIMI KWA MFANO WAKE KWA MAANA YA ROHO MAANA MUNGU NI ROHO.

Nehemiah : 1 : 7 - Tumetenda maovu mengi juu yako, wala hatukuzishika amri, wala sheria, wala hukumu, ulizomwamuru Musa, mtumishi wako.

UZINZI UPO KWENYE AMRI na UASHERATI upo kwenye sheria. Mzinzi ni Yule aliyeoa anamuacha mkewe na rafiki yake ni yule anaeanza mapenzi kabla ya ndoa. Hakuna NUTRO katika hivi usipotubu unakufa. Ama na ajar sikutishi ama na kulogwa ama na vyovyote sbb wewe si Mali ya Mungu ila umeumbwa nae.Lakini ukifanya hivo hata mara 1000 kwamba unakula mzigo unatubu yeye anakujua atakusaidia kuacha.

Nipo hapa kukukumbusha tu. Kama unavyo kumbuka condom maana unaogopa kufa basi kumbuka na kutubu maana umekwisha kufa Kiroho na kimwili ndivyo unavyodhibitisha kwa hayo matendo. WEWE NI MFU HAKUNA MBINGU YA WAFU.

Yesu alilijua hilo akaja ili Usife nami Nipo hapa maana ni mapenzi yake Mungu tukumbushane na huu Ndio hasa UPENDO.
Mwenye masikio na asikie Bwana alivo waambia Watu wa hii Thread. Kwamba anawapenda
Wow!!. Afwadhali umerudi. Ulikuwa kimya Sana Mtumishi.
 
Wakuu! Nmekuwa na urafiki na mdada wa kiislamu ni mtoto wa sheikh na amekuwa ni mtu wa swala nyingi sana...

Sasa leo anadai anakuja kunitembelea nyumbani kwangu kwa sababu nilimwambia j3 nitakuwa na safari kaniambia nisiondoke bila kuonana nae na anakuja nyumbani kuniona [emoji848]

Na kwa hali ya Daslamu saivi anakuja tu kunitembelea kweli au ndio kula kwa masihara kunafatia [emoji848].

Ushauri wenu wakuu
 
Ila mwamba unajua kupindua meza za wahuni.. hahahahaba. MUNGU AKUBARIKI. WACHA TUKAMILISHE ULE USEMI MUNGU HAPENDI VUGU VUGU. WANA WAMEAMJA KUFANYA UZINZI..

KAZI YAKO WEWE KUWAKUMBUSHA.. ILA UWE NA KIASI

Kiasi maanake nin
 
Wakuu! Nmekuwa na urafiki na mdada wa kiislamu ni mtoto wa sheikh na amekuwa ni mtu wa swala nyingi sana...

Sasa leo anadai anakuja kunitembelea nyumbani kwangu kwa sababu nilimwambia j3 nitakuwa na safari kaniambia nisiondoke bila kuonana nae na anakuja nyumbani kuniona [emoji848]

Na kwa hali ya Daslamu saivi anakuja tu kunitembelea kweli au ndio kula kwa masihara kunafatia [emoji848].

Ushauri wenu wakuu
Nyanyantore msaada hapa
 
[emoji1][emoji1] si kitu rahisi mkuu... Humu bado watu tunaendelea kuchukua kozi. Amini nakuambia, siku Neema ya Mungu ikikushukia utabadilika tu, Kwa njia yoyote ile hata kama ni ngumu. Kila mtu ana wakati wake sahihi. Lkn bila Neema lol!!. Yataingilia sikio la kulia na kutokea la kushoto. Na wengine watakuwa km zile mbegu zilizopandwa kwenye miiba, udongo wenye rutuba, mchanga, kwenye mawe [emoji13]. Ila wakati ukifika,,, unabadilika tuu.
Na ww leo umekuwa mhubiri
 
Back
Top Bottom