Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Bila Shaka Mmeamka Salama wapendwa. Mshukuru Mungu kwa ajir Yako na familia yako. Omba Rehema na omba ulinzi wa Mungu weka familia yako wakfu. Mabaya hayatakupa ndivyo Mungu anataka.

Jaribu kufikir wangap wanakufa ghafla, wangapi hawarud nyumban leo wanahamia hospital usiwe wewe kwa kufanya hayo mazoezi mafupi ya Dk 3. Ikiwa wengine wanatumia Dkk 5 kupiz na wanajuta kwa nn wamefanya tumia dkk hizo hizo kumuambia Baba asante.

Mungu anapenda Mtu mwenye shukrani. Fikiri Baba yako akikupa pesa ya matumizi si ulisema Asante Baba. Au mwanao ukimpa 100-500 ya mihogo shule je asipo Sema asante si utamshangaa utamfundisha. Basi Mungu Baba ni zaidi. Mshukuru ata wewe ni mzima haijarishi unamkosea sana usiwaze atakuwezesha utashinda. Mshukuru kwa ajiri ya familia yako
Huko ni kutishana sasa, usimwamini mungu kwa kuogopa ukifa utachomwa moto mwamini kwa sababu unampenda na mwamini sababu ni sehem ya maisha yako kuishi hivo so relax mdogo wangu acha watu tule dunia
 
Isac ingekuwa busara uangalie mazingira ya kuhubiri. Nafahamu ni muhubiri mzuri japo sijafuatilia kama upo kibaha kwa baba yako au dar, ingefaaa basi kama unapenda kuhubiri humu utengeneze andiko zuri moja badala ya kubishana nao. Humu ndugu kama ni mgeni watu wanajiita wazinzi, wa motoni, wa shetani, wahuni n.k na wamelizika kuwa hivyo. ndio maana wanakwambia kuwa wanauwezo wa kukuhubilia.

Nakushauri Acha kuingilia watu kwenye nchi yao nzuri kwao ya masihara waliyoiunda na kumjengea sanamu rickboy wao. Kama kusema umesema mwenyesikio na Asikie Kitu Roho anawaambia wanamasihara
Si sawa kumuhuzisha Mungu na uchafu. Ni heri kutubu na ufanye mambo yako ila usimuhusishe Mungu. Ghadhabu yake ni kubwa sana. Unaweza kuiacha paso yako wakaendesha wengine. Nipo hapa kukukumbusha juu ya kutubu kwa hilo kuhusu kimasihara uamuzi ni wak
 
Mtizame NYOKA huyu mdudu.
Ukimuona Jirani yako jinsi Mwili unavo Jiskia. Ndivyo unavyopaswa kuyaogopa matendo maovu. Ndivyo Mungu aliumba hivyo. Umuogope Mungu kama unavo muogopa nyoka.

Ukimkuta Nyoka chumbani kwako ni wazi hutolala mpaka umuue hutokuwa na Amani. Sikia mpendwa Wangu hiyo ni kimwili kabisa.

Yohana 4:24 - Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.

Kumbe hatupaswi kumwabudu Mungu kimwili. Maana katika Roho tumefanyika kuwa Hekalu la Mungu ama la Ibilisi maana Yeye nae Ni Roho tofauti tu Yeye ibilisi si mkweli na hana nafasi mbinguni. Wanadamu tunayo nafasi. Kwann tuitupe?usiitupe Mungu anakupenda.

Kama sisi tu hekalu basi sisi ni Nyumba kama nilivosema pale juu.Je ni sahihi kulala kwenye nyumba ikiwa umemwona Nyoka. Kama huwezi kulala kimwili basi usiweze kiroho maana Nyoka ni ishara ya Shetani. Kwamba umetenda maovu yaani umeyakaribisha Nyumbani kwako hayo maovu Kwann basi usihakikishi umetubu ili Mungu ayaondoe hayo mauvu Ndipo ulale mpendwa wangu. Nifuraha kiasi gani kulala ukiwa umempendeza Mungu yaani msafi wa Roho na Mwili maana mwili unapokea tu kutoka ktk Roho.

Jaribu tu. Umetoka kula kimasihara sawa fanya nlivokuambia kimasihara itaenda inaisha. Kimasihara huwezi kufanya hadharani utajificha Mke/Mume asikuone,kama ni housegirl utahakikisha nyumbani hamna Mtu. Lakini Baba yangu anakuona maana Yeye huona ndani ya Nafsi yako kunawaza nini. Kama ni ya halali fanya na wengine wapo. Ukikamatwa unasema Shetani alinipitia sa si ungemwambia hauendi. Sema wewe ni mpumbafu na Mjinga unapotubu mbele za Mungu hapa anaelewa. Lakin ukiangalia za shetan alinipitia basi na kesho atakupitia Mungu hahangaiki na wewe kukuwekea ulinzi.

Pokea Busu takatifu kutoka kwangu hapo ulipo
 
Isac ingekuwa busara uangalie mazingira ya kuhubiri. Nafahamu ni muhubiri mzuri japo sijafuatilia kama upo kibaha kwa baba yako au dar, ingefaaa basi kama unapenda kuhubiri humu utengeneze andiko zuri moja badala ya kubishana nao. Humu ndugu kama ni mgeni watu wanajiita wazinzi, wa motoni, wa shetani, wahuni n.k na wamelizika kuwa hivyo. ndio maana wanakwambia kuwa wanauwezo wa kukuhubilia.

Nakushauri Acha kuingilia watu kwenye nchi yao nzuri kwao ya masihara waliyoiunda na kumjengea sanamu rickboy wao. Kama kusema umesema mwenyesikio na Asikie Kitu Roho anawaambia wanamasihara
Nakazia hapo kwenye Wisdom.. Kama mtumishi akikosa hekima hakuna huduma atafanya ikafanikiwa. Apostle Paul alijifanya mjinga alipokutana na wajinga ( alibadirika kutokana na watu alio kuwa akiwahudumia ). Huyu kijana wako hana wisdom hana understanding ya kuwakilisha injili kwa makundi tofauti ya watu.
 
Mtizame NYOKA huyu mdudu.
Ukimuona Jirani yako jinsi Mwili unavo Jiskia. Ndivyo unavyopaswa kuyaogopa matendo maovu. Ndivyo Mungu aliumba hivyo. Umuogope Mungu kama unavo muogopa nyoka.

Ukimkuta Nyoka chumbani kwako ni wazi hutolala mpaka umuue hutokuwa na Amani. Sikia mpendwa Wangu hiyo ni kimwili kabisa.

Yohana 4:24 - Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.

Kumbe hatupaswi kumwabudu Mungu kimwili. Maana katika Roho tumefanyika kuwa Hekalu la Mungu ama la Ibilisi maana Yeye nae Ni Roho tofauti tu Yeye ibilisi si mkweli na hana nafasi mbinguni. Wanadamu tunayo nafasi. Kwann tuitupe?usiitupe Mungu anakupenda.

Kama sisi tu hekalu basi sisi ni Nyumba kama nilivosema pale juu.Je ni sahihi kulala kwenye nyumba ikiwa umemwona Nyoka. Kama huwezi kulala kimwili basi usiweze kiroho maana Nyoka ni ishara ya Shetani. Kwamba umetenda maovu yaani umeyakaribisha Nyumbani kwako hayo maovu Kwann basi usihakikishi umetubu ili Mungu ayaondoe hayo mauvu Ndipo ulale mpendwa wangu. Nifuraha kiasi gani kulala ukiwa umempendeza Mungu yaani msafi wa Roho na Mwili maana mwili unapokea tu kutoka ktk Roho.

Jaribu tu. Umetoka kula kimasihara sawa fanya nlivokuambia kimasihara itaenda inaisha. Kimasihara huwezi kufanya hadharani utajificha Mke/Mume asikuone,kama ni housegirl utahakikisha nyumbani hamna Mtu. Lakini Baba yangu anakuona maana Yeye huona ndani ya Nafsi yako kunawaza nini. Kama ni ya halali fanya na wengine wapo. Ukikamatwa unasema Shetani alinipitia sa si ungemwambia hauendi. Sema wewe ni mpumbafu na Mjinga unapotubu mbele za Mungu hapa anaelewa. Lakin ukiangalia za shetan alinipitia basi na kesho atakupitia Mungu hahangaiki na wewe kukuwekea ulinzi.

Pokea Busu takatifu kutoka kwangu hapo ulipo
Wewe jamaa , muombe Mungu wako akupe hekima , ufahamu na maarifa. Unachokifanya si njia ya muhubiri yoyote.

kaa chini nikupe lecture kidogo kwanza ..

Why kuna nyaraka mbali mbali katika biblia ?

Nyaraka zile, zilikuwa zikilenga jamii fulani ( eneo husika ), huwezi tatua tatizo la Efeso kwa kutumia case za Korinto. Unavyo hubiri kanisani si sawa na utavyo kuja hubiri hapa. Lazima utumie hekima na maarifa kuvuna watu kutokana na eneo husika.. kuwa flexible.. hata Yesu Alikaa na makahaba alitumia wisdom na maarifa na ufahamu katika kufikisha neno..

Acha kutisha, Ulinzi wa Mungu 100%, uwe umefanya dhambi na uwe ujafanya dhambi.. Yeye huwanyeshea mvua wote wema na wabaya.. Your Guardian angel kila siku yupo na wewe hata uwe mdhambi kiasia gani, mission yake inakuwa aborted pale tu unapokufa.. Rudi ukajifunze namna ya kueneza injili na kuifisha injili kwa makundi mbali mbali ya watu na sio kutishana
 
Usituletee mambo yako mkuu, hivi wewe unaijua dini au unababisha. Mm najua sana ukristo kuliko wewe, nimejifunza mambo mengi sana kuliko wewe and baadae nikagundua duniani hakuna dini inaitwa ya mungu ila mwamini mungu toa sadaka kwa wahitaji hiyo ndio dini ila sio kwenda kanisani ama msikitini

Mimi sina Dini na Mungu hana dini hivo ugunduzi wako ni Mzuri tu maana hata Yesu aliingia mpaka misikitini, kwa wasabato, wa Roma na kote alikataliwa ndo maana alichagua wanafunzi wake hao wakaeneza Habari. Hivo tulia kama hupendi yupo atakae Penda
 
Maisha matamu lakini mafupi. Kwamba naombea watu afu nagonga wake za watu basi ufalme wa shetan umefitinika. Shetan amtoa shetan mwenzie kwa Maombi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaan Yesu atusaidie unakuta hapo una degree. Ndio maana haya mambo hayasomewi. Unakuta mtu kaenda kusomea bibilia ati aje afundishe watu na watu wanamtunza[emoji16][emoji16]. Neno la Mungu halisomewi hakuna Elimu ya Bible Mwl ni Roho mtakatifu yeye humfunulia amtakae

Luka 24:45 - Ndipo akawafunulia akili zao wapate kuelewa na maandiko.
Aliwafunulia wakinanan? Ni wanafunzi wake kumbe lazima uwe mwanafunzi wake ndo akufunulie. Ungekuwa bas ungetambua usingesema TUACHE wewe na nan kwamba mmekuwa familia ya kimasihara[emoji16].

Sihukumu Mtu mimi kwamba mzizi maana hata mimi nilikuwa Mzinzi pengine kuliko wewe. Maana usije ukadanganywa Mbegu haioti isipooza kwanza. Nami nilioza badae nikaota nikazaa matunda lakini Yesu alininyeshea Mvua ili niote(Maji) kwa nini basi NIKUDHARAU WEWE UNAE OZA SASA MKUU WANGU EEH. Nipo hapa kupalilia MAGUGU ILI UOTE VIZURI MWANANGU NIKUWEKEE NA MBOLEA WADOGOWANE NAKUPENDA NDUGU KWA AMANI TU KITAMBO KIDOGO HUTOYAONA HAYA HUMU UTAJIPIMIA MWENYEWE JE ULIDONDOKA KWENYE UDONGO MZURI, AU MIIBA IMEKUSONGA NI WEWE SASA. Pokea Busu takatifu mwaaaaah
[emoji2][emoji2] wengi lazima kwanza huwe umepita kwenye moto hasaa. Kama ni mzinzi basi ulikuwa ni mzinzi haswaaa, kama ni mlevi basi ni mlevi haswaa. Kama ni ugonjwa umeumwa Mpk unakaribia kufa.... Hii yote, mwsho wa siku ukisimama kuutukuza utukufu wa Mungu basi una hushuhuda mkali haswaa. Watumishi wengi wakubwa wakubwa ukisikiliza historia zao, [emoji28][emoji28] unaweza ukasisimka. Mwingine ata alikuwa jambazi.
 
Kwa hiyo ngoja na sie tuwe wazinzi kweli kweli ndio tutaanza kutubu. Yeye wakati wa kumrudia Mungu umefika, sisi badobado kidogo. Mwenyewe nasoma hapo anasema "wakuu kimasihara ziendelee"...
 
Wewe jamaa , muombe Mungu wako akupe hekima , ufahamu na maarifa. Unachokifanya si njia ya muhubiri yoyote.

kaa chini nikupe lecture kidogo kwanza ..

Why kuna nyaraka mbali mbali katika biblia ?

Nyaraka zile, zilikuwa zikilenga jamii fulani ( eneo husika ), huwezi tatua tatizo la Efeso kwa kutumia case za Korinto. Unavyo hubiri kanisani si sawa na utavyo kuja hubiri hapa. Lazima utumie hekima na maarifa kuvuna watu kutokana na eneo husika.. kuwa flexible.. hata Yesu Alikaa na makahaba alitumia wisdom na maarifa na ufahamu katika kufikisha neno..

Acha kutisha, Ulinzi wa Mungu 100%, uwe umefanya dhambi na uwe ujafanya dhambi.. Yeye huwanyeshea mvua wote wema na wabaya.. Your Guardian angel kila siku yupo na wewe hata uwe mdhambi kiasia gani, mission yake inakuwa aborted pale tu unapokufa.. Rudi ukajifunze namna ya kueneza injili na kuifisha injili kwa makundi mbali mbali ya watu na sio kutishana

Kwanza nafurahi walau una consider wadau wameshauri nipuuzwe hujadhubutu hivo asante. Nakushukuru kwa ushauri wako.

Yesu alisema Yeye ni mwana kondoo. Ndo hizo hekima unazotaka na busara hizo ambazobwatu wamezoea kupewa huko makanisani za kubembelezwa. Yaan ni kubembeleze juu ya safar nayo amini ni ya mbinguni nina kichaa. Mimi nakuombea nakuambia nimemaliza kazi yake Yesu ni kukuvuna wewe sio mimi nikuvune wewe Ndio Maana watakao amini watapokea uzima kumbe wapo wasioamini ya Nini kulazimisha watu mda wao bado ukifika safi usipofika mapenzi ni ya Mungu. Mpendwa nipo hapa kuku kumbusha.

Alipoona shetani anatumia hekima kama unazotaka kuleta alisema YEYE NI SIMBA KABILA LA YUDA. Yeye ni kondoo, Yeye ni Simba nikurejeshe agano La kale Nuhu alipo Ambiwa achukue Wanyama wa kila Aina aweke kwenye safina. Usidhani walikuwa wanyama hao unaofuga bali walikuwa watu wa tabia mbalimbali. Yesu anajiita mwana kondoo na simba sisi je. Ukiweka wewe Mkristo na upo humu kuleta masihara wewe si wa kristo mpaka mda wako utakapofika maana kondoo ni mpole na mnyenyekevu. Hivo Humu kuna mbwa,vitoto vya Nyoka, kondoo,mbuzi, samaki, Nguruwe, mbweha kama herode fisi na Wanyama wote maana Nuhu alichukua ili Mungu ajipatie mbegu zote.

Kama ulinzi wa Mungu ni 100 waganga wa kienyeji wasingekuwa na Wateja mkuu hili nalo halihitaji degree Nipo hapa kukupa Elimu mpya.

Unaambiwa uende kwa amani wakati unavifungo. We huvioni na kiongozi wako haoni kipofu. Na mimi Sio Isack
 
Kwenda kwa mganga wa kienyeji ni kuchagua kama mtu anavyoweza kuchagua kufanya dhambi na kuto kufanya na sio kwamba ulinzi wa Mungu haupo.

Mkuu injili utayo enda kuhubiri kwa doctor sio sawa na utayo enda hubiri kwa jambazi.. na utayo enda hubiri ikulu sio utayo enda hubiro casino ?

Na haya ndio yalimkuta Yohana Mbatizaji akaliwa kichwa, haijalishi una upako kiasia gani, but lazima uheshimu wenye mamlaka na mfumo wao.. fungua mlango kwao wape option ya ndio na yes sio unakalipia watu, sio njia ya injili
 
Baba yangu alikuwa na Mijibu ya mkato na ya maudhi kwa sbb alijua mioyo ya alokuwa akiwajibu. Nyoka

Alikaa na makahaba na wenye dhambi aliwaambia wasitende dhambi tena walisikia. Ninyi nimekaa na nyie humu mmenitukana[emoji16] nimewaambia si ninyi bali vifungo. Nashuhurika na hivo vifungo kwa maombi. Mungu akikupenda utaacha ni Yeye sio mimi. Mimi sina uwezo bali Yesu ndani yangu.

Mmenifukuza, mmeita adi Moderator mnasema sijui nitolewe utadhan ninyi mpo kihalali kwenye jukwaa. Jukwaa ni MAPENZI,URAFIKI SIO STAIL ZA KUFANYA.

Bora tuvumiliane nasema ukweli wa Mungu walio wa Mungu wataelewa. Wote tumeumbwa na Mungu hata shetan lakini si wote ni wa Mungu. Wengine washakataliwa Ndio ukweli mchungu sitishi mtu mimi bali nimeyasoma kwenye Bibilia. Na wakati mwingine unaenda kuombea mtu unaambiwa achana nae nimemkataa.

Basi Mungu asingechagua. Maana wote tumechaguliwa. Nlipo soma kimasihara mwanzo hadi mwisho. Nligundua kuna taifa la Mungu humu limekamatwa. Nipo kwa ajir ya hilo wapendwa.

Tupendane nawapenda lakin siwabembelezi msadiki nayo yasema.

MUNGU SI WA KORINTO, EFESO WALA WA MATHAYO,SIJUI LUKA AU TIMOTHEO. BALI MUNGU NI WA WALIO HAI KTK ROHO.
Hata mbingu si YA WAFU BALI NI YA WALIO HAI
NIPO HAPA KUWAFANYA WALIO WAFU WAWE HAI TWENDE MBINGUNI KWA BABA KABLA SAFINA HALIJAFINGWA.

NAWAPENDA SANA POKEENI BUSU LANGU WAPENDWA MWAAAAAAH[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
Kwenda kwa mganga wa kienyeji ni kuchagua kama mtu anavyoweza kuchagua kufanya dhambi na kuto kufanya na sio kwamba ulinzi wa Mungu haupo.

Mkuu injili utayo enda kuhubiri kwa doctor sio sawa na utayo enda hubiri kwa jambazi.. na utayo enda hubiri ikulu sio utayo enda hubiro casino ?

Na haya ndio yalimkuta Yohana Mbatizaji akaliwa kichwa, haijalishi una upako kiasia gani, but lazima uheshimu wenye mamlaka na mfumo wao.. fungua mlango kwao wape option ya ndio na yes sio unakalipia watu, sio njia ya injili

Yohana mbatizaji ni Elisha ambae alienda mbinguni kwa farasi wa Moto na mwili hauna nafasi mbingun bali roho ilibid azaliwe upya ili afe Roho iende mbinguni. Jisomee afu usinipangie nisemeje imenichukua mda kuomba kwa ajir ya hili usidhan nimejileta subir nimalize niende. Kama unaweza kuungana na uchafu unawezaje kuniambia juu ya kuuondoa uchafu nitumie njia gani.

Shetani alimdanganya Daudi awahesabu wana wa israel akapigwa na Mungu. Kwa hiyo NIPISHE NIPITE
 
Back
Top Bottom