Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Umenikumbusha nilivyompelekea moto mtoto mmoja kutoka Kampala, Uganda. Tulionana nae Samaki Samaki ya Masaki, alikuja kwa ajili ya jamaa yake bongo ambaye walifahamiana kupitia dating site moja halafu bahati mbaya mshikaji akaingia mitini baada ya demu kufika nchini.

Zilikuwa siku tatu za majonjo kwa kufurahia utelezi wa toto toka Uganda.

Nikitulia nitaleta kisa hiki humu ndani.
Nasubiri
FB_IMG_16562796629743623.jpg
 
Baada ya kimya kirefu Leo nawaletea kimasihara ya moto kabisa wala haijapoa kwa hisani ya mkoa mmoja maarufu kwa barabara za namba .
Last weekend nilitoka na wafanyakazi wenzangu kuosha macho. Kati yao wawili mie wa watu ndio nilikuwa mwanaume pekee. Sasa baada ya chakula tulisogea kwenye bar mkabala na uwanja wa mpira wenye kibali cha TFF kuchezewa mechi za ligi kuu.
Sasa mie na moja ya staff mwenzangu mwenye jishepu lake mjini hapa tukishamwagilia moyo tunakuwaga na vibe fulani la kucheza mziki hasa wa mbele . Na this time Mr. Dj wala hakutuangusha alikuwa na playlist ya manyimbo ya zamani mfano : I know what you want by Busta rhymes ft Mariah Carey n.k
Kumbe wakati tunacheza pale kuna dada alikaa meza ya chini ( tunapaita shimoni) akawa anatucheck kwa juu na alivutiwa sana na uchezaji wangu. Na ofcourse kucheza najua na mziki it's my passion. Wakati tunatoka nje ( palipooza tukaamua kuhama kwenda club kabisa ) alitufuata kwa nyuma(alikuja kuniambia siku nyingine) ila tukapanda gari so hatukuonana . Jumapili akakutana na moja ya staff mwenzangu akamkumbuka so akamsifia pale to cut the story short walipeana namba na jioni akampigia tukutane sehemu kumwagilia moyo then nilliishia kumla.
ULILIWA MZEE
 
Wanaenda kuomba hata maospitalin. Huwezi kwenda tu isipokuwa kwa maelekezo ya Mungu. Kila kitu ni maelekezo.

Mfano Yesu hakuwahi kufata wagonjwa ila aliletewa wagonjwa akawaponya. Lazima ijulikane ni Mungu ametendabili mtu yule ampe utukufu Mungu. Lakini wanaenda. Na huko kwenye nnyumba za ibada wanapelekewa wagonjwa maana haiwezekani watu wale wale waombewe mara zote means kuna watu wapya hiyo kimwili kabisa.

Mpendwa ukija kiroho sasa maana Mungu ni Roho kuna wengi ambao Sio wagonjwa kimwili bali wagonjwa kiroho.

Ndio kwa Maana ya vifungo. Upofu ni ugonjwa ingawa kimwil unaona, ukoma ni ugonjwa ingawa unakula ugali vizur na una vidole, unaweza kuwa kiziwi wa kiroho husikii sauti ya Mungu. Shetani kaweka gunzi. Kuna vifungo na mafundo shetani kafungia watu kupitia mawakala wake. Waganga na wachawi+washirikina. Kuna pingu za kiroho, kwamba na magereza mfano Mtu mnywaji wa pombe huyu Yumo gerezani utaongea mpaka. Ataishia kukuambia Yesu aligeuza maji kuwa divai sa divai ni pombe sijui ya wap.

Sasa Yesu alikuja ili wasioana waone. Ukiona una zini na kufanya uasherati na unaufurahia uchafu jua bado u kipofu wala usijar maaana HAUTENDI DHAMBI BALI UNATENDA MATENDO YA DUNIA HII NA MTAWALA WA DUNIA HII ATATUPWA NJE NA WATU WAKE huyu amekwisha kuhukumiwa. Lakini toba na wokovu upo kwa ajir yake. Habari njema ipo maana Mungu anampenda anamletea bila kuchoka

Yohana 12:31 - Sasa hukumu ya ulimwengu huu ipo; sasa mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje.

Anae tenda Dhambi ambae ataketi kwenye hukumu ni Yule aliye pokea Wokovu yaani aliyetolewa huo upofu ametambua hii ni dhambi. Maana amefanyika Mwana wa Mungu.

Yohana 9:41 - Yesu akawaambia, Kama mngekuwa vipofu, msingekuwa na dhambi; lakini sasa mwasema, Twaona; basi dhambi yenu inakaa.

Kumbe vizuri kuombeana. Ndugu usikubali kuwa MUUMINI AU MSHIRIKA SEHEMU FULANI TAMANI KUWA MTUMISHI WA MUNGU MAANA KILA MMOJA KUNA KITU CHA KI MUNGU AMEMWEKEA ILA DINI INAZUIA WALA HAKIWEZI KUKUA.

Unamuona sasa mchungaji akaombee watu hospitalini lakini huo ni Wajibu wako vile umepigwa upofu. Sikia ufalme wa Mungu utatekwa na Wenye Nguvu. Moja ya nguvu ni hii ya kujua kuomba. Tamani

Bwana wangu na Mungu wangu Yesu Kristo akutie Nguvu akupe Neema na kibali ewe mpendwa wake sana uweze kusoma Neno la Mungu maana husomi basi likukuze likupe nguvu amina.
UTALIWA JICHO KIMASIHARA SOON unawashwa wewe si bure
 
Hapa Sabasaba kumenoga aiseee. Watoto ni wakali balaa. Mmoja kanasa tumepata nae chakula Cha mchana, saa 11 tukafanye yetu. Cha kushangaza, nimepata hofu ya ndoa. Duuh nafsi inapambana, dk zinakaribia! Tuombeane tu jmn!
Hicho chakula nani kanunua maana Lugumya sizani kama anaweza haribu pesa hivyo
 
Ila Nyanyantole kweli aliharibu hali ya hewa,najiuliza hayo yote alikuwa anawezaje kuyaandika au ni kwa uwezo wa mungu.

Lakin mimi huwa naamini kufanya mapenzi sio dhambi,ni binadamu tu huwa wanapenda kutishana
 
Ingia kwenye huu uzi wa kimasihara ujione wewe ni mtu wa mikosi na nuksi ila baada ya kuufunga basi ya humu yaache humu humu maana ukitoka nayo basi upo mbioni kuamini kuwa wapo watanzania wanaoweza kufufua wafu.
Mkuu, kuna vitu viwili vitatu hivi u need to know

1. U need to know mwanamke akipenda anakuwaje (trust me she can do anything for u, na huwa hawajali kuhusu gharama almradi moyo wake umependa)

2. Date strategically (though kwa mimi huyu ilikuwa by coincidence)she was a supervisor kwa section yake mind u her take home was more than 6 mil, mimi Nilikuwa almost vyeo 2 juu yake (nisingependa kusema my exactly position ili kulinda identity) so u need also to understand that

3. The fact about our orientation, kwa ladies let’s assume anajiuza, trust me ukimkaza vizuri next time atakupa bure (wakongwe wote wa fani wanalijua hili)! This show how much wenzetu huwa wanaguswa na bed stuffs.

Mimi kama mimi, kiukweli huwa sifanyi mzaha napotunukiwa mbususu, huwa nahakikisha nafanya a foreplay nzuri na kufahamu week points za mpinzani wangu, then napoingia kazini huwa nahakikisha mpinzani anafika sometimes up to three times before Mie sijaachia mzigo!

As a matter of fact, sikupenda kuweka wazi yote haya sababu sitafuti appreciation here.

(Kuna mwana JF maarufu sana tulishakulana kimasihara, naamini akisoma hapa she will agree na bandiko hili). Adieu kamanda kindakindaki wa CDM
 
Mkuu, kuna vitu viwili vitatu hivi u need to know
1. U need to know mwanamke akipenda anakuwaje (trust me she can do anything for u, na huwa hawajali kuhusu gharama almradi moyo wake umependa)
2. Date strategically (though kwa mimi huyu ilikuwa by coincidence)she was a supervisor kwa section yake mind u her take home was more than 6 mil, mimi Nilikuwa almost vyeo 2 juu yake (nisingependa kusema my exactly position ili kulinda identity) so u need also to understand that
3. The fact about our orientation, kwa ladies let’s assume anajiuza, trust me ukimkaza vizuri next time atakupa bure (wakongwe wote wa fani wanalijua hili)! This show how much wenzetu huwa wanaguswa na bed stuffs.
Mimi kama mimi, kiukweli huwa sifanyi mzaha napotunukiwa mbususu, huwa nahakikisha nafanya a foreplay nzuri na kufahamu week points za mpinzani wangu, then napoingia kazini huwa nahakikisha mpinzani anafika sometimes up to three times before Mie sijaachia mzigo!
As a matter of fact, sikupenda kuweka wazi yote haya sababu sitafuti appreciation here.

(Kuna mwana JF maarufu sana tulishakulana kimasihara, naamini akisoma hapa she will agree na bandiko hili)
Adieu kamanda kindakindaki wa CDM
Very true!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUNA YULE AMBAE NI SINGLE MAMA. Yaani amepata mtoto kabla ya Ndoa. Wazazi hawakufurahi na hamna mzazi anaefurahia hilo. Nipo hapa namkumbusha kwamba ALIFANYA UASHERATI haijarishi sasa ameolewa ama na Mume huyo au na Mume mwingine.

Mpendwa tubu hujachelewa. Tubu kwa ajir yako na kwa ajiri ya huyo mtoto haijarishi ni mkubwa. Ukiweza shika sadaka hata kama ni 1000.

Ukishatubu Vunja hiyo Roho ni Mafatilizi hata wewe kwenye ukoo wako sio wa kwanza kuzalishwa ukiwa nyumbani. Sasa ivunje Isaya 7:7. Ni hatari sana kwa maana. Hata mwanao ama atapiga mimba kabla ya ndoa ama atazaa nyumbani kabla ya ndoa sbb ya hiyo Roho. Ni wazi hutofurah bali anaefurahia haya ni Nyoka tu na mtoto wake.

Mungu anasamehe hivo usiogope Shuka na Nyenyekea maana ndo mwanzo wa UASHERATI NA UZINZI usipofanya hayo wewe ni chanzo.

Tamani kuvuka katika hili mpendwa wangu. Nakupenda sana na napenda uvushe mwanao maana Yeye ni mzaliwa wa kwanza. Haijarishi yote lakini ndie amefungua tumbo lako. Shetan anamtaka. Mambo haya nakupa dada huwezi yapata hata huko unaenda kujumuika. Kama ni Mwanaume pia omba tu kama nilivosema. Msaidie mwanao na wewe pia. Hii itasaidia kupunguza uasherati yaan ni Maombi tu.

Neema ya Bwana Yesu kristo iwe nanyi. Msikate tamaa
Mama yako umemiambia haya...?
 
We jamaa unajiweza asee!! Ligi yako si mchezo, wenzako walicheua ruti lakin wew unakomaa adi wajuba wanakukatia tamaa, sijui wamekudharau unayoyasema au wamekuelewa au lah wamekosa Cha kukujibu[emoji119][emoji23][emoji23]
Hatusomi tunapita tu. Kutafuta mada tunayoitaka kifupi sio Muungwana angeanzisha mada yake Katika uzi mpya ingekuwa vyema.
 
Kuna miaka ya kati nilisafiri hadi Mkoa mmoja hivi, nikafika Jioni nikapata GUEST nikalala, kwa sababu nilikuwa nimechoka sana nikajisahau kufunga mlango.

Ghafla usiku nikahisi mtu ananitoa shuka na kujilaza pembeni huku akiniita jina ambalo sio langu.... kwa sababu nina IQ kubwa nikajua tayari kimeumana leo.

Nikageuka taratibu huku nikisema liwalo na liwe maana nikagundua ni mwanamke binti akiwa utupu - taa imezimwa nikageuka nikapanda nikala mzigo...

Wakati naanza kula nahisi alishtuka..ila mimi sikumpa nafasi hadi nikautua mzigo woteee hoi - tena na ule uchovu wa safari aisee mwili ukachangamka...

Nikasikia sauti ya upoleee...samahaniii .. nikajibu usijali dada haya ni maisha tu..... akataka kuondoka nikamsihi asiondoke muda huo.... baada ya dk 10 nikashusha mzigo mwingine... nikamruhusu kuondoka.

Asubuhi nikawahi breakfast ili niendelee na misele yangu..ghafla naona kundi la watu kama 20 wanaingia breakfast nacheki namuona na yeye tukakutamisha macho akaangalia chini...

baadaye nikauliza wahudumu akasema hao ni wanakwaya !! kwa alivyokuwa mlimbwende ikabidi niahirishe safari kwa siku 3 tuendeleze libeneke..maana bahati kama hizi hazijagi mara mbili yaani once ni life time.

Nilipozoeana siku ya 2 nikamuuliza kwani ilikuwaje jana ? akaangalia chini kwa smile na aibu kwamba alikosea chumba !! nikajua alikuwa na miadi na mwanakwaya mwenzake !!
Ili Anza Kama chai hivi kidogo nikalete maandazi [emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom