Hahaha very funny
 
Mimi sina Dini na Mungu hana dini hivo ugunduzi wako ni Mzuri tu maana hata Yesu aliingia mpaka misikitini, kwa wasabato, wa Roma na kote alikataliwa ndo maana alichagua wanafunzi wake hao wakaeneza Habari. Hivo tulia kama hupendi yupo atakae Penda
Tumia reference za quraan ,halafu uje na refer za kibudha,kihindi,Krishna,kiafrika Mana hauna dini.
Umeambiwa kutombane ndio ubaya
 
Kimasihara nilikula beki tatu mbele ya mtoto ww bosi wake daah! Najuta sana nikikumbuka.
 
Asee huyu jaa anayehubiri eti ataenda motoni.... Daah... kweli maisha hayatabiriki....
 
Achana na mke wa mtu mkuu
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ mkuu wale hawaeleweki, unaweza sema uende kitandani akabadirisha mawazo, au ufate ndom ukakuta kabadirika. Touch za pale pale ili kusababisha utelezi, mgeuza kidogo shusha chini, ngoma ikatambaa na wavu
🀣🀣
 

Umenikumbusha nilivyompelekea moto mtoto mmoja kutoka Kampala, Uganda. Tulionana nae Samaki Samaki ya Masaki, alikuja kwa ajili ya jamaa yake bongo ambaye walifahamiana kupitia dating site moja halafu bahati mbaya mshikaji akaingia mitini baada ya demu kufika nchini.

Zilikuwa siku tatu za majonjo kwa kufurahia utelezi wa toto toka Uganda.

Nikitulia nitaleta kisa hiki humu ndani.
 
Duh....ilikuangukia yenyewe
 
[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hiii kali
 
Kaka wewe hao ni malaya wa hapa mjini!! Ila pole ndio ujanja wao siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…