Deby mimi nilishabadilika zamani sana..[emoji3]hapa na uzee huu nafurahisha ubongo wangu tu! Kila mtu atabadilika kwa namna yake, asitumie nguvu nyingi huyu mchungaji mla kimasihara..
Safi Sana. Hongera kwa kubadilika mapemaa. Yes haya mambo hayafosiwi Bali huja Kwa Neema.. na ndiyo maana Kuna wengine hufa na dhambi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…