Mambo ya Walawi 20:10 - Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa
 
Inaendelea......

Sasa nikamuuliza kwann tusingeongea huku huku barabarani akaniambia tunatembea tutaeleawana kweli? Nikamwambia tunatembea slow tutaelewana tu akanijibu kwamba mume wake hayupo so nisijali, aisee nilishangaa sana[emoji16]

Tumefika home mim nikaingia room kwangu yeye akaenda kwake maana watoto wake walikuwa sijui wanaangalia tamthilia na kengine kalikuwa ni kadogo kanahitaji kula kalale.

Me nipo naandaa mazaga yangu mixer nimeweka na kamovie kakuzugia[emoji16] nasikia mlango unagongwa, nikaenda kufungua nakuta ni yule bibie nikamwambia karibu akaingia. Ameingia ananiuliza ndo unataka kupika sasa hivi? Nikamwambia yess.. akasema acha kwanza tuongee tukimaliza nitakupikia.

Ah nikaona nimsikilize. Sasa tukaanza kuongea, haikupita hata nusu saa naona bibie anaongea huku ananishika mapaja(maana nilikuwa nimevaa kibukta) akaanza kunisogelea mara anajifanya kama amemaindi, sasa pale ndo akawa anonekana mbovu si unajua age go wakiwa wanajibebisha[emoji16]

Basi nikamuuliza veeepe[emoji16] akaanza mara ooooh me nakupenda mara sijui hivi mara vile. Nilivyoona hivyo tu nikakamata mkono, nikamsogelea nikapiga kiss shingoni naona ananishika kama anikumbatia, ikabidi nivute kanga hiii kucheki amevaa kipensi, yaan sikugusa kile kipensi, nikaona anafungua kifungo anakifungua.

Kuvua kile kipensi, hahaha ni amevaa bikini ya blue. Wakuu aliliwa kwa staili hiyo.

Mpaka sasa ninavyoandika huu uzi, nimenuniwa kwasababu eti namchunia simjibu text na nikimuona nampotezea.

Sasa mimi kosa langu liko wapi? Mwenye mali yake karudi na sitaki mchizi ajue me na bibie tuna mazoea kwasababu hakuacha hivyo.

Naomba kuwasilisha[emoji120][emoji120]
 
Kwa mwanaume ambaye UNAMUINGILIA MWANAMKE AU MWANAUME MWENZIO KINYUME NA MAUMBILE AU BASI USHAWAHI KUFANYA HIVO LAKINI UMEACHA. Basi tubu, tubu,tubu. Kwa nifatilie kwa ufupi tu,

Hiyo ni Roho ambayo umeiridhi kuna mtu kwenye ukoo wako alifanya hayo haijarishi ww ni kizaz cha 50 Shetani ni Yule yule Jana na leo. Miaka 1000 ni siku 1 kiroho.

Tubu maana ni Roho hiyo ambayo itakwenda pengine kuridhi kwa Mwanao. Sikia huta Penda kusikia mwanao yupo shule kalawitiwa au kalawiti mtoto wa Mtu. Usitafute mchawi maana mchawi ni tabia za ukoo wako. Apandacho mtu atavuna.

Lakini kupitia Toba ya kweli na Maombi kaka haya yanaondoka. Nasema hivi sbb tunaenda kwenye kesi hizi za ulawiti kwa wale walio chini ya miaka 18 hawafungwi ukiwaombea yanatoka mapepo makali sana na yana nguvu mtoto mdogo mtu mmoja hamshiki. Wanadamu wanaonewa sana na huyu kenge shetani. Roho ya ushoga imeshamir watoto wana liwa kimasihara kwenye njia za haja kubwa. Taifa limeharibika. Omba tu hata kama huoni hilo maana hujui kesho.

Mtoto akiwa kashaliwa mpeleke ikavunjwe hiyo roho ya ushoga ambayo inasababishwa na wewe unaingilia watu kinyume.

Neema ya Mungu ikusaidie eeh mpendwa katika bwana.
 
Anza kufanya mchakato wa kuhama hapo. Mchizi wake atajua tu labda kama unammudu vinginevyo jiandae kwa lo lote...

Kula mke wa mtu tena mpangaji mwenzio ni extremely risky! Hujatumia busara na hii itaku-cost kwa namna moja au nyingine!
 
Oya mkuu hama hapo mapema sana ..
Bila hvyo ndugu yangu anuan yako ya makazi ipo hatarin sana.
 
Neno la Mungu Lina sehemu zake,kila sehemu ina maudhui yake.Maisha bila utaratibu ni vurugu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…