nyanyantole
JF-Expert Member
- Jun 22, 2015
- 676
- 1,064
Sema nini ba'mjoli nyanyantole, kuna mwana mmoja wa kuitwa sepema kaweka uzi wake eti anaomba ushauri afanyaje ili baba ake aachane na mchepuko wake?, me nikaona sio kweli mbona huku MMU kuna mjuba anatoa speech kwa watu waliodevela na mapenzi!? Nikasema nije nikuite ka'mkubwa ukampe neno kidogo.
Alafu kuna mwingine tena wa kuitwa winnerian eti nae kaweka uzi anauliza m/ke kupiga kelele wakati wa tendo ni ishara ya kuridhika? Dah! Nikashangaa nikasema mbona vijana wanadevela kiasi hiki! Nikasema sio kweli mbona kuna mzee wa neno yupo huku [emoji3] ngoja nikakuitie aje akupe speech kidogo!.
Pia ba'mjoli nyanyantole ukipata nafasi pita na kule kwenye jukwaa la "love connect" ukawape neno kidogo jinsi gani mke na mme mwema wanavyopatikana. Ila huku waache kidogo wazee wa masihara watambae na ukali wao usije kuwaharibia uzi wao!.
YANGU NI HAYO TU BA' MJOLI
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ndio maana nakuambia huna ethics za kitumishi cha kwanza. Pili acha kushobokea watu .. Mie una nihusisha. na punyeto na uhanithi.. Bao lilo kuzaa bora angelinywa mama yako.. sio kwa hasara hii
Tuna haribu uzi wa watu.. Una upeo mdogo bro
Achana naewewe kijana kijana hujui unachozungumza na hujui unae chart nae..
wewe kijana kijana hujui unachozungumza na hujui unae chart nae..
Kijana nita ku block huto kaa ukaamini, usimchezee kila mtu, na Mungu wako atakuambia kabisa kuwa umeingia cha kike.. naweza kukupa nafasi kama una Roho alie active muulize unae chart nae ni nani
@Kelsea mwache ahuburi neno la Mungu,,, kama anavyowiwa kutoka ndani ya moyo wake. Maana neno la Mungu linahubiriwa mahali popote na Kwa watu wowote... Kama huna interest na hicho kitu, mnyamazie tuu. Ataongeaaaa akimaliza ataacha. But yule mwenye kusikia atasikia akitaka... Sema hatakiwi kuforce mtu kufanya anachotaka yeye,,, Bali pale mtu anapobadilika mwenyewe kutoka ndani ya moyo wake. Maana hapa hatujuani matendo yetu ni yepi. Mtu aweza akawa anaandika hapa lakini nyuma ya keyboard ni mtu mwema na matendo yake ni bora... Anatakiwa kuhubiri na mwenye kusikia atasikia, maana hiyo ni moja ya wajibu wake kutangaza sifa za Yesu,,, huwez jua kupitia yeye Kuna mtu 1 alikuwa anasuburiwa kubadilika Kwa sababu ya huyu mtu. Mpotezee tu.
Ndio maana nakuambia wewe huna utumishi wowote, huenda nampigia nyeto matakoni mama yako hapo sawa. ila kama simpigii nyeto mama yako basi ujue sipigi nyeto.. nikitoka bao kwa dk 2 . ndio sababu ya nyeto au roho wako kakuambia [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] utashikishwa ukuta fala wewe
Ebu tupe kimasihara yako kwanzaKaka hamna sehemu nimesema mimi ni Mtumishi wa Mungu ni wewe na mapenzi yako kwangu. Nadhani vizuri kufata wenzio wamekwambia uachana nami ntaongea ntachoka ntaenda. Lakini umejaa vitu vya ajabu tu. Unajua hata majini yaani mapepo yanapokuwa yanakemewa kwa jina la Mwokozi Yesu huwa yule mtu anagalagazwa chini maana yana Nguvu lazima uanguke. Unaonaje Ndio wewe. Sasa kosa langu nn. Mimi ukweli au. Mala mama yangu mala sijui nini. Hayo yote ni maneno ya Mtu ambae ukweli unamuuma.
Baba akurehemu, akupe nguvu usimame tena mkuu Yeye ni Pendo na atupenda hivo hivo ulivyo kinywa kichafu basi Yeye atakusafisha si wewe tu. Bali na familia yako. Usiufanye Moyo wako kuwa Mgumu. Mwite nae atakuitikia Yeremia 33:3
acha nikupuuze shoga wewe
Ebu tupe kimasihara yako kwanza
We jamaa unajiweza asee!! Ligi yako si mchezo, wenzako walicheua ruti lakin wew unakomaa adi wajuba wanakukatia tamaa, sijui wamekudharau unayoyasema au wamekuelewa au lah wamekosa Cha kukujibu[emoji119][emoji23][emoji23]Sina boss
MwanagobeShemu [emoji15]View attachment 2276167
mrejesho vip nduguWakuu nawasalimu kwa jina la kula tunda kimasihara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wafuska wenzangu mm sina kimasihara ila nataka njia ya Kui kula hii pisi ki masihara ... iko iv hii pis bana tuna ushkaj sana tu ila mm nampango wankumkula Asa kuna siku nilimwambia Unavaa chup Size gan Nipo sehem nikununulie akasema yeye anavaa Size kubwa (Kwasababu ana mwili kidogo) basi nikamchukulia chup pale nikanunua na nyingine ndogo iv (Hii n kwasababu ya dem wangu Ana mwili mdogo) asa kila siku alikuwa ananiambia anakuja kuchukua ila ratiba zikawa zinatofautiana mpaka kuna siku ikaja dem nyingine geto katika kupekua akaiona iyo chup akataka kuleta mzozo kuwa chup mpya ni za nani ikabid nimwambie nimemnunulia yeye (sababu pia na yeye ana mwili kidogo Kwaiyo nilijua zitamtosha)basi yule dem akanielewa kishngo upande ..Asa shida hii manzi leo imenipgia sin asubuh et anafwata mzigo wake nikamjibu Poa nikamwambia njoo unipkie pilau maana nina ham ya kula msos mzir wa hom akasema Poa ninunue kila kitu anakuja .....Asa wafuska wenzangu nataka mnipe njia nzur ya kumla kimasihara uyu rafk angu maana (ASA APA SHIDA CHUP ZISHACHUKULIWA NA MWINGINE NA KUTOKA APA NILIPO MPAKA TOWN KUNA UMBAL KIDOGO ASA NAWAZA NAMLAJE UYU RAFK ANGU JAMN [emoji1][emoji1])
Na kweli, maana anachofanya ni sawa na kuwaambia MODS kuwe na jukwaa la dini tu..!!! Na shida nyingine ni kule kumjibu.. Kila akimwacha atachokaHuyu jamaa wa kuitwa nyanyantole anaharibu uzi wa watu kwa kutafuta sifa. Unakuta uzi umekimbia lakini kontenti haziendani na uzi. Uliona wapi mahubiri ya nyuma ya kiibodi?
Mods tafadhali anzisheni utaratibu wa kuwapiga ban watu wanaoharibu mijadala ya wenzao makusudi kwa kutafuta kiki.
Na kweli, maana anachofanya ni sawa na kuwaambia MODS kuwe na jukwaa la dini tu..!!! Na shida nyingine ni kule kumjibu.. Kila akimwacha atachoka