Verifier
JF-Expert Member
- Aug 14, 2019
- 457
- 1,541
Baada ya kumaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa, Opereshi Nidhamu, kabla ya kuendelea na masomo ya juu, nilibahatika kufanya kazi katika Benki ya Taifa ya Biashara kabla ya kubinafsishwa. Ilinibidi nitafute kazi ya kujishikiza wakati nikiendelea na mchakato wa kwenda ng'ambo kusoma maana nilipata ufadhili wa nchi moja. Enzi hizo ufadhili wa kusoma nje ulikuwa sio haba na hata kupata kazi kwa mtu aliyemaliza kidato cha sita haikuwa ngumu.
Hapo kazini nilipata marafiki ambao tuliajiriwa pamoja! Nakumbuka mshahara wangu ulikuwa Tsh. 5,250.00 ukiongeza coupon ya chakula pamoja na muda wa ziada nilikuwa napata si chini ya Tsh. 10,000.00. Kwa kipindi hicho ilikuwa ni pesa nyingi sana. Pamoja na wenzangu, tulijenga mazoea ya kila baada ya kazi kupita katika Bar moja hivi "Kumwagilia moyo"! Pesa ilituruhusu ukiongezea ujana na uhuru mkubwa tulioupata. Katika Bar hiyo tulijikuta tukipata umaarufu sana tukapewa jina la VIJANA WA BENKI au VIJANA WA TAI! Akina dada hawakuisha kujipitisha kwetu na kujirahisisha, kujipeleka wenyewe kibra! Mbususu zililiwa japo kwangu nilikuwa muoga sana kwani kipindi hicho ndio UKIMWI ulikuwa umepamba moto!
Mama mmiliki wa Bar alitokea kunipenda sana akidai kuwa mimi ni mpole, mkarimu na ninajiheshimu sana. Alikuwa ananipa offer nyingi za kinywaji na chakula. Wenzangu walianza kuhisi kuwa ninakula mbususu lakini haikuwa hivyo.
Siku moja, kama kawaida yetu, baada ya kufanya balancing ya akaunti za wateja ya mwezi (enzi hizo balancing ilifanyika manually), tulienda kumwagilia moyo. Mara Paap, tukakuta binti mrembo mno mgeni hapo Bar. Kila mmoja akaanza harakati za kumpata maana sio kwa offer hizo..... Kumbe ni mdogo wa Mmiliki wa Bar. Mwenzetu mmoja alimuita aje ashiriki nasi ktk meza yetu, pasipo ajizi yule mrembo alikubali akaja kukaa pembeni ya aliyemuita. Jamani, jamani, binti alikuwa mzuri kwa vigezo vyote vya uzuri. Mate yalinitoka lakini sikuwa na jinsi niliendelea kushangilia uumbaji wa Mungu huku nikimuonea wivu mwenzangu. Baada ya muda, Mama Mmiliki wa Bar aliniita pembeni, akaniuliza, "umemuona mdogo wangu"? Nikamsifia hapo. Akaniambia wewe unajiheshimu sio kama wale wenzako sitaki waje wammpe Ukimwi. Akaendelea...Nimeisha mueleza kila kitu juu yako na hapa leo utaondoka naye, kazi kwako. Hakika sikuamini.
Mida ya saa tano usiku yalitengenezwa mazingira yule binti akaaga kuwa kachoka anaenda kupumzika na mimi baadae kidogo nikawaaga wenzangu. Nilipanga na Dada mtu ampeleke kwenye Bar nyingine jirani ambapo nilimpitia na tukaenda ghetto! Kufupisha, yule binti aliendelea kuwa demu wangu hadi pale nilipoondoka nchini kwenda masomoni. Huyu binti kumbe alikuwa kaolewa lakini alipata matatizo kwa mume wake akawa kaondoka kwa mumewe. Alishika ujauzito wangu lakini alimbambikia muwewe mimba baada ya kurudi kwake. Alijifungua mtoto wa kiume ni CERTIFIED PHOTOCOPY yangu! Nilikuja gundua baadae kuwa mumewe pia alikuwa muajiriwa ktk benki hiyo hiyo japo alikuwa mkoa mwingine. Nilishindwa kumfatilia mtoto wangu kwani niliogopa kuvunja ndoa ya watu na kushikwa ugoni pia! Mtoto tulikuwa tuonaonana kwa Mama yake Mkubwa japo hakutambulishwa! Hakika sijutii kukutana na huyo mrembo.
Wenzangu walikuja kugundua baadae walicheka sana wakasema hakika "SIMBA MWENDA POLE...."