hapa ndio napatakujua wachungaji wakweli....sio mchungaji unaombea wagonjwa kanisani wakati hospitali zipo zimejaa wagojwa sasa mchungaji endelea kutoa neno mpaka uzi ufungwe kwa jina la yesu..

Wanaenda kuomba hata maospitalin. Huwezi kwenda tu isipokuwa kwa maelekezo ya Mungu. Kila kitu ni maelekezo.

Mfano Yesu hakuwahi kufata wagonjwa ila aliletewa wagonjwa akawaponya. Lazima ijulikane ni Mungu ametendabili mtu yule ampe utukufu Mungu. Lakini wanaenda. Na huko kwenye nnyumba za ibada wanapelekewa wagonjwa maana haiwezekani watu wale wale waombewe mara zote means kuna watu wapya hiyo kimwili kabisa.

Mpendwa ukija kiroho sasa maana Mungu ni Roho kuna wengi ambao Sio wagonjwa kimwili bali wagonjwa kiroho.

Ndio kwa Maana ya vifungo. Upofu ni ugonjwa ingawa kimwil unaona, ukoma ni ugonjwa ingawa unakula ugali vizur na una vidole, unaweza kuwa kiziwi wa kiroho husikii sauti ya Mungu. Shetani kaweka gunzi. Kuna vifungo na mafundo shetani kafungia watu kupitia mawakala wake. Waganga na wachawi+washirikina. Kuna pingu za kiroho, kwamba na magereza mfano Mtu mnywaji wa pombe huyu Yumo gerezani utaongea mpaka. Ataishia kukuambia Yesu aligeuza maji kuwa divai sa divai ni pombe sijui ya wap.

Sasa Yesu alikuja ili wasioana waone. Ukiona una zini na kufanya uasherati na unaufurahia uchafu jua bado u kipofu wala usijar maaana HAUTENDI DHAMBI BALI UNATENDA MATENDO YA DUNIA HII NA MTAWALA WA DUNIA HII ATATUPWA NJE NA WATU WAKE huyu amekwisha kuhukumiwa. Lakini toba na wokovu upo kwa ajir yake. Habari njema ipo maana Mungu anampenda anamletea bila kuchoka

Yohana 12:31 - Sasa hukumu ya ulimwengu huu ipo; sasa mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje.

Anae tenda Dhambi ambae ataketi kwenye hukumu ni Yule aliye pokea Wokovu yaani aliyetolewa huo upofu ametambua hii ni dhambi. Maana amefanyika Mwana wa Mungu.

Yohana 9:41 - Yesu akawaambia, Kama mngekuwa vipofu, msingekuwa na dhambi; lakini sasa mwasema, Twaona; basi dhambi yenu inakaa.

Kumbe vizuri kuombeana. Ndugu usikubali kuwa MUUMINI AU MSHIRIKA SEHEMU FULANI TAMANI KUWA MTUMISHI WA MUNGU MAANA KILA MMOJA KUNA KITU CHA KI MUNGU AMEMWEKEA ILA DINI INAZUIA WALA HAKIWEZI KUKUA.

Unamuona sasa mchungaji akaombee watu hospitalini lakini huo ni Wajibu wako vile umepigwa upofu. Sikia ufalme wa Mungu utatekwa na Wenye Nguvu. Moja ya nguvu ni hii ya kujua kuomba. Tamani

Bwana wangu na Mungu wangu Yesu Kristo akutie Nguvu akupe Neema na kibali ewe mpendwa wake sana uweze kusoma Neno la Mungu maana husomi basi likukuze likupe nguvu amina.
 
Sumbawanga hujafika
 
Tukiwa tour mwaka 2003 kuelekea mto maragarasi, usiku tukiwa camp ile ya chap chap, kukiwa na mtoto mkali alikuwa anaitwa Amina, alikuwa anakaa sikonge road tabora hii ilikuwa pisi mwisho wa maneno.. ile ile night tumewasha moto Amina akapita kujisaidia, nikamtishe kiutani kuna wanayama wakali ,😃😃😃 akaanza jamani jamani nyingi nikasema twende nikusogeze hapo.. nikasima hapa nae hapo time anakojoa nikamtania inaonekana una kadogo maana ka mrio ka mkojo kama katundu kadogo akachekaa.. acha utani nikamuambia au nije nikipime , akacheka njoo.. nikaenda nyikani hiyo nilipiga pale pale na tulitumia kama dk 2 nimemaliza 🤣🤣🤣
 
Bwa
Bwana mchungaj kanisa lako liko wap natak nije kusal.... Il nimle kondoo wak kimasihara au kanisa lak lipo hum hum ....😂😂😂😂
 
Huu uzi pale awali ulitaka kuharibiwa na Kurutas, now mchungaji feki wa mchongo anataka kuharibu huu uzi.
 
Maisha bwana...
 
Umewahi kupiga Punyeto au umesimuliwa tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…