TAU 1
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 597
- 410
Huendi mbiguni Mkuu inabidi utubu
Duuh hapa namuona joni sins kabisa aisee...[emoji16][emoji16]
Duuh hapa namuona joni sins kabisa aisee...[emoji16][emoji16]
Mdau ushafeli
Mwanzo umesema jina kapuni halafu baadae umemtaja jina live kabisa tena mawili hujamfanyia fair
Edit comment yako kabla mod hawajaleta unoko humu maana Wana unoko Sana siku hizi
Hilo jina la Lightness ni lake au la kutunga, maana mwanzoni ulisema jina "kapuni"
Huu ujasiri wa kuramba huko mwautoa wapii??
BTW story nzuri though sijawahi kula hiki chakula kinachoitwa Ubwanwa..
We nawe dishi limeyumbaPole sana dogo fukara, huna hela maskini bado unatukana nyuma ya keyboard
Pole sana mdogo wangu,
Mkuu mbona kama safari yetu ni moja hebu tuongozane kwenye kitubioHuendi mbiguni Mkuu inabidi utubu
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]wazee wa self tunataka picha halisi na siyo zisizo na evidence, hatupendagi kuupa kazi ubongo kutafakari sana..[emoji23][emoji23]***** watu mnakosoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mungu ni fundi sanaUsijaribu kusoma ukiwa kwenye daladala au ofisi ya watu wengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Utaingia aibuuu
we jamaa unaboa na vimaswali vyako Kwan aliyekuambia rice cooker linahitaji uangalizi wa moto ni nani???UNAIVA, na vp kuhusu ule moto ulikosa waangalizi? kwa namna yeyote ile kazima uunguze msosi!
Unazingua mzazi. Futa hii comment yakofuta hata sasa hv me nimeshasoma hahahahahahaha natania
Watu wanatofautiana tabia hata ujasiri, hivyo usikatae aseemim nimesoma UD... kiuhalisia hakuna mwanafunzi mwaka wa pili anaweza (au kuwa na ujasiri wa) kufanya kama ulivyomuelezea.. at least ungesema mwaka wa tatu au wa nne
Jamaa kasha ku qoute [emoji1787] kazingua SanaMzee unazingua
Umefeli kiongozi mimi nimeisoma muda huu saa 6. Endelea kutupa maujuziUnazingua mzazi. Futa hii comment yako
No mbona nimedelete? Au umeisoma kwa walioniquote?Umefeli kiongozi mimi nimeisoma muda huu saa 6. Endelea kutupa maujuzi