Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,116
- 6,873
kweli BHANGE mbaya sana[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mabaharia hii story ni ya kweli tukio lilitokea 2017 nakumbuka vizuri kila nikadithia wahuni wananishangaa sana kutafuna makaburini wakati kuna watu wanatafunana kwenye masinagogii hapo story tunatoa za kweli ili watu wajifunze wapate maujanja
basi tukiendelea na story yetu zile tochi kumbe zilikuwa ni sungusungu siunajua mambo ya ulinzi shirikishi maana walishtukizia baada ya kuskia miguno wakawa hawana uhakika ndo wakaja wakafuma nimemuinamisha mtoto juu ya kaburi lilotandikwa mgololo vizuri mashada ya maua yamewekwa pembeni aisee nilikula kichapo maana Kwanzaa walijua ni mwizi wa misalaba kama hii ishu ya kuibiwaga misalaba mshawahi kuuisikiaga pia kutokana na ujinga nliofanya ila manzi walimchapa makofi wakamuachia ilibidi nibonge nao nikaenda nao hadi home nikawatoa mpunga kidogo kesi ikaisha
baadae nitakuja na moja jinsi nilivotafuna kimasihara beach ya raskazone swimming club nlivokuwa tanga ndo maana wakajaga na ile sheria hakuna kufundisha mtu kuogelea sjui kama sahivi IPO