Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Hapo ndio mnafeli mabaharia ebwana tafute wallet mahsusi mtembee na ndomu najua hizi ishu hazikwepeki Ila ndomu muhimu

Mi niliwahi piga demu kimasihara tu na alikuwa mzuri Sana akaniachia UTI nashukuru hakuniachia ngwengwe since then sitaki Tena kuuza mechi na Niko makini Sana
Mzee baba.... UTI siyo STD, Uti hata mtu ambaye hajawahi kusex anaipata vzr kabisa...

Unaipata as far as upo subjected na bacteria. Tena hao bacteria wanapatika kwenye mwili wako mwenyewe...

Pia mwanamke anaweza kupata UTI kwa urahisi zaidi ukilinganisha na sisi wanaume sababu wao urethra yao ni fupi sana hivyo kupelekea Bacteria kusafiri kwa urahisi zaidi kutoka kwenye K zao hadi kwenye Bladder....

Huwa nafikiria sana kwamba huenda dame wangu aliniacha kwa kufikiria nmemuambukiza UTI...
 
Karibu...maskini mmoja wewe ...
Watu wanapigwa na dola milioni moja
Hehehee.Hapa tunakula tunda kimasihara.
Screenshot_20191201-204544.jpeg
 
Hahahah... hata mimi niliona chakula kipo motoni mara watu wamekulana hadi saa 6 usiku... labda walilishana mikaa
Kosa la kwanza umesema jina unaweka kapuni ila ukamtaja[emoji117][emoji117] "kuna demu mmoja hivi wakichaga jina kapuni"[emoji777]

Kosa jingine ni hili hapa[emoji117][emoji117] "ubwaubwa uko jikoni kafunikia kidume nikafatwa kitandani"[emoji777]

Swali langu ni je, uliwezaje kupakuliwa chakula baada ya show ili hali ulidai kuwa dem aliacha chakula jikoni, na hamkuweza achana mpaka saa6 usiku ndio mkala..kwa hiyo mlilishana kunguni??

[emoji117]NAOMBA UFAFANUZI JUU YA HAYA ILI NIWEZE KUELEWA ZAIDI.
 
sitosahau siku ambayo nipo kituo cha kazi hospital flani ivi ghafla wakaja watoto wa field mmoja akawa kisu hatari kila mtu akawa anammendea mm nikiwa kitengo cha CTC( care and treatment clinic ) nikakabidhiwa nimfanyie orientation pale baada ya wiki kupita akaomba namba tuwe tunawasiliana km kuna shida ebwana ee nyege mbaya kuna siku palepale kituo cha kazi wakati anaanda dawa a wagonjwa yy akiwa kasimama mimi nimekaa kwenye kiti nikapitisha mkono kwenye skert flani ilikua fupi nikakutana p*ssy mashavu nikaanzaa kushika hhaaaaaaaaaaaaaa ghafla nikasikia mtu analia anhaaa!!!! anhaaaa!!! kha nilidata kutoa mkono mauterezi kibao kashakojoa nikamwambia akanawe chooni then ajimwagie sprit mikononi ili harufu isitoke maana wagonjwa wangegundua ile harufu ya uterezi.Saa kumi kumi baada ya kutoka kazini tukaenda kula.Baada ya kula nikamwomba anisindikize kwenye site flani yang nikaangalie mafundi km wamefanya kazi kufika pale kama saa kumi na mbili jion ivi nikaaona isiweshida nikaaanza kumshika ebwana yule demu anamaji hata dakika haijapita nguo zote mbichi kalowanisha nikamwinamisha kavukavu kwenye pagale palepale kula **** mpaka ikawa inanukia mishikaki nilipomwaga nikamshawishi tigo hata kimoja aligomama katakata nikampiga chini mpaka leo.Japo wakati anarudi akawa ananilalamikia nimemchubua akikojoa anaungua
Huko nyuma sijui mnakupendea nini... mnakusanya tu UTI for no reason...
 
WAKUU VIPI MBONA MNAPOTEZA NGUVU NYINGI KUBISHANA NA HUYO TAHIRA MMOJA.!WAKATI KUNA OPTION YA KUM BLOCK/IGNORE ..... BASI KAZI KWISHA TUNA ENDELEA NA STORY ZETU ZA KIJIWENI.HUO NDIYO USTAARABU MAKINI.ACHA KUPOTEZA NGUVU NYINGI KUBISHANA NA KICHAA ASIE STAARABIKA.
 
WAKUU VIPI MBONA MNAPOTEZA NGUVU NYINGI KUBISHANA NA HUYO TAHIRA MMOJA.!WAKATI KUNA OPTION YA KUM BLOCK/IGNORE ..... BASI KAZI KWISHA TUNA ENDELEA NA STORY ZETU ZA KIJIWENI.HUO NDIYO USTAARABU MAKINI.ACHA KUPOTEZA NGUVU NYINGI KUBISHANA NA KICHAA ASIE STAARABIKA.
dah mkuu umenikumbusha
 
sitosahau siku ambayo nipo kituo cha kazi hospital flani ivi ghafla wakaja watoto wa field mmoja akawa kisu hatari kila mtu akawa anammendea mm nikiwa kitengo cha CTC( care and treatment clinic ) nikakabidhiwa nimfanyie orientation pale baada ya wiki kupita akaomba namba tuwe tunawasiliana km kuna shida ebwana ee nyege mbaya kuna siku palepale kituo cha kazi wakati anaanda dawa a wagonjwa yy akiwa kasimama mimi nimekaa kwenye kiti nikapitisha mkono kwenye skert flani ilikua fupi nikakutana p*ssy mashavu nikaanzaa kushika hhaaaaaaaaaaaaaa ghafla nikasikia mtu analia anhaaa!!!! anhaaaa!!! kha nilidata kutoa mkono mauterezi kibao kashakojoa nikamwambia akanawe chooni then ajimwagie sprit mikononi ili harufu isitoke maana wagonjwa wangegundua ile harufu ya uterezi.Saa kumi kumi baada ya kutoka kazini tukaenda kula.Baada ya kula nikamwomba anisindikize kwenye site flani yang nikaangalie mafundi km wamefanya kazi kufika pale kama saa kumi na mbili jion ivi nikaaona isiweshida nikaaanza kumshika ebwana yule demu anamaji hata dakika haijapita nguo zote mbichi kalowanisha nikamwinamisha kavukavu kwenye pagale palepale kula **** mpaka ikawa inanukia mishikaki nilipomwaga nikamshawishi tigo hata kimoja aligomama katakata nikampiga chini mpaka leo.Japo wakati anarudi akawa ananilalamikia nimemchubua akikojoa anaungua
Mzee ilikula Tx new
 
UNAIVA, na vp kuhusu ule moto ulikosa waangalizi? kwa namna yeyote ile kazima uunguze msosi!
Kumbuka kuna rice cooker (sufuria flan hivi la umeme) yan ukiweka mchele na kila kitu bas we funika nenda katembee utakuta wali umeiva tena fresh tu.
 
We jamaa unatuchosha na magazeti yako, unatuharibia Uzi wetu kila mara na takataka zako hili siyo jukwaa la hizo, peleka JF doctors huko.
Visababishi vya magonjwa ya zinaa

Vitendo vya ngono kama nilivyoeleza hapo awali

Kuanza vitendo vya ngono mapema au wakati wa umri mdogo

Kuwa na wapenzi wengi

Kufanya mapenzi ambao sio salama

Maambukizi kupitia michibuko au sehemu zilizokatika kwenye ngozi kwa kugusana na majimaji ya aina yoyote yanayotoka kwa mtu mwenye ugonjwa wa zinaa kama damu, shahawa nk. Hii inaweza kutokea bila mtu kujua kwani mara nyingi dalili za magonjwa ya zinaa zinakuwa hazionekani kwa wanawake na hata baadhi ya wanaume.

Watu wengi huhisi kitendo cha kula denda (kissing) ni salama lakini si kama wanavyofikiria kwani baadhi ya magonjwa kama kaswende, herpes nk, yanaweza kuambukizwa kupitia njia hii. Kondomu husaidia kupunguza maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama gono, Chlamydia lakini sio kinga muafaka dhidhi ya magonjwa ya zinaa kama kaswende, genital herpes, genital warts, na magonjwa ya upungufu wa kinga mwilini (AIDS).

Nitaanza kuzungumzia ugonjwa wa gono (gonorrhea) kwa leo na makala zitakazofuata nitakuwa nazungumzia ugonjwa mmoja baada ya mwengine

Kisonono (gonorrhea) ni nini?

Kisonono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukuwa na kuzaliana kwa haraka katika sehemu zenye unyevunyevu na joto mwilini kama kwenye shingo ya kizazi kwa wanawake (cervix), mirija ya kupitisha mkojo au shahawa (urethra), mdomoni na kwenye puru. Maambukizi mengi kwa wanawake hutokea kwenye shingo ya kizazi (cervix). Asilimia 75 ya ugonjwa wa gono hutokea kwa watu wenye umri wa miaka 15 – 29, wanawake walio katika umri wa miaka 15 -19 na wanaume walio katika umri wa miaka 20 – 24 wako kwenye hatari zaidi ya kupata ugonjwa huu.

Ugonjwa huu huambukizwa vipi?

Ugonjwa huu huambukizwa kupitia vitendo vya ngono kupitia uke, njia ya haja kubwa (anus), kupitia mdomoni (oral sex). Ugonjwa unaweza kujitokeza kwenye sehemu za kujamiana, kwenye mdomo na kwenye puru (rectum). Ugonjwa wa gono huonekana sana kwa vijana, watu wenye maisha duni kiuchumi, watu wanaoishi mijini, watu weusi na watumiaji madawa ya kulevya.

Dalili za ugonjwa wa kisonono

Dalili za ugonjwa wa kisonono huanza kujitokeza kuanzia siku ya 2 hadi ya 7 baada ya mtu kupata maambukizi na huweza kuchelewa kwa wanawake. Dalili ni kama zifuatazo

Kwa wanaume

Kuhisi kama kichomi wakati wa kukojoa (burning sensation)

Kutokwa na majimaji ya njano au meupe au ya kijani kutoka kwenye uume yanayoambatana na maumivu makali sana

Wakati mwengine maumivu au kuvimba kwa korodani (swollen testicles)

Maambukizi yakiwa kwenye puru (rectum) huambatana na maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa, kuwashwa sehemu za haja kubwa, na hata haja kubwa inaweza kutoka ikiambatana na damu, hii inatokea kwa wanaume na wanawake.

Kwa wanawake

Dalili kwa wanawake huwa si nyingi lakini wanawake wengi hawaonyeshi dalili zozote

Maumivu au kuhisi kama kichomi wakati wa kukojoa

Kuongezeka kwa kutoka majimaji kutoka kwenye tupu ya mwanamke ambayo ni ya njano au yamechanganyika na damu

Kutokwa na damu kupitia tupu ya mwanamke kabla ya hedhi kufika.

Kutokwa na damu baada ya kujamiana au baada ya tendo la ndoa

Kichefuchefu

Homa (fever)

Kutapika

Vipimo vya ugonjwa wa kisonono

Swab for culture – Kipimo hiki hufanyika maabara kwa kupandikiza bakteria baada ya kufuta sehemu za siri kwa kutumia swab ili kuona kama kuna bakteria wanaosababisha gono.

Polymerase Chain Reaction (PCR) – Kipimo cha kuangalia vina saba (DNA) ya bakteria, ni ghali sana.

Tiba ya ugonjwa wa kisonono ni nini?

Tiba ya gono inahusisha na tiba ya ugonjwa wa Chlamydia kwani mara nyingi magonjwa haya huambatana kwa pamoja.Tiba hutegemea na umri wa mgonjwa na kama mtu ni mjamzito au la. Tiba ya gono ambayo sio sugu iliyo kwenye shingo ya kizazi (cervix), urethra na puru, dawa zinazotumika ni aina za cephalosporin dozi moja pamoja na dawa za aina ya macrolide antibiotics (mfano azithromycin) na za jamii ya penicillin (mfano doxycyclin) ili kutibu ugonjwa wa chlamydia. Mara nyingi kwa wale chini ya miaka 18 na wanawake wajawazito, hutibiwa kwa kuchomwa sindano.

Fuata ushauri wa daktari kabla ya kutumia dawa hizi kwani dawa nyingi zina madhara kwa wajawazito (mfano doxycyclin). Ushauri nasaha hutolewa kwa wapenzi wote wawili na ni vizuri wapenzi wote wawili kutibiwa hata kama mmoja hana dalili za ugonjwa huu.

Madhara ya ugonjwa wa kisonono

Kutoweza kuzaa kwa mwanamke (tasa) au kutoweza kutungisha mimba kwa mwanamume (infertility)

Huweza kuathiri moyo (heart valves), ubongo,ngozi nk ambayo ni hatari sana kwa mtu yoyote.

Madhara kwenye sehemu za maungio au jointi (joint inflammation)

Kwa wanawake wale ambao hawajatibiwa wanaweza kupata ugonjwa wa PID (Pelvic Inflammatory Disease) ambao huongeza asilimia ya mwanamke kuwa tasa.

Wale wanawake ambao ni wajawazito na wameambukizwa gono wako kwenye hatari ya mimba kutoka au kuzaa mapema kabla mimba haijatimiza umri wake (preterm labor).

Kwa wale wanaoambukizwa gono kipindi cha kukaribia kujifungua, wanaweza kuwaambukiza watoto wao na hivyo watoto kupata ugonjwa wa uti wa mgongo (meningitis), kuwa kipofu (blindness), homa ya mapafu (pneumonia) na ugonjwa wa mifupa (septic arthritis).

Kinga ya kisonono

Kutumia kondomu wakati wa kujamiana

Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu

Kuacha vitendo vya ngono kama matumizi ya vifaa vya ngono hasa kwa wanawake mfano vibrators nk.

Kwa wanawake wajawazito – Hakikisha unahudhuria kliniki mapema ili upate kuchunguzwa na kupatiwa tiba muafaka kama utagundulika na ugonjwa wa gono au ugonjwa mwengine wowote.

Wanawake wajawazito wanashauriwa kujifungulia hospitali ili kama mtoto ameathirika na gono apate matibabu ya haraka baada ya kuzaliwa kuepusha kuwa kipofu.

Epuka kufanya ngono na mtu aliyeambukizwa gono.

“Kumbuka ya kwamba hakuna kitu kama ngono salama kwani huwezi kujua kama wewe au mwenzako wakati wa kujamiana ameathirika au la, au una michibuko au umekatika kwenye ngozi au la kwani michibuko mengine inaweza isionekane au kugundulika kwa urahisi. Njia pekee na nzuri ni kuacha au kujikinga na vitendo vya ngono”. Mtu aliyepata gono awali anaweza kupata tena.
 
Wazungu wanatucheka kuwa akili zetu zimejikita katika kula tunda tu.
Dogo unajaribu kusema nini? umekielewa ulichoandika? Kwan umeitwa hapa? Kuna aliyekulazimisha usome na ucomment?.

Achana na huu Uzi wa mabaharia wa kufungia mwaka. Nenda jukwaa la dini huko
 
Back
Top Bottom