Mzee baba.... UTI siyo STD, Uti hata mtu ambaye hajawahi kusex anaipata vzr kabisa...

Unaipata as far as upo subjected na bacteria. Tena hao bacteria wanapatika kwenye mwili wako mwenyewe...

Pia mwanamke anaweza kupata UTI kwa urahisi zaidi ukilinganisha na sisi wanaume sababu wao urethra yao ni fupi sana hivyo kupelekea Bacteria kusafiri kwa urahisi zaidi kutoka kwenye K zao hadi kwenye Bladder....

Huwa nafikiria sana kwamba huenda dame wangu aliniacha kwa kufikiria nmemuambukiza UTI...
 
Hahahah... hata mimi niliona chakula kipo motoni mara watu wamekulana hadi saa 6 usiku... labda walilishana mikaa
 
Wazungu wanatucheka kuwa akili zetu zimejikita katika kula tunda tu.
 
Huko nyuma sijui mnakupendea nini... mnakusanya tu UTI for no reason...
 
WAKUU VIPI MBONA MNAPOTEZA NGUVU NYINGI KUBISHANA NA HUYO TAHIRA MMOJA.!WAKATI KUNA OPTION YA KUM BLOCK/IGNORE ..... BASI KAZI KWISHA TUNA ENDELEA NA STORY ZETU ZA KIJIWENI.HUO NDIYO USTAARABU MAKINI.ACHA KUPOTEZA NGUVU NYINGI KUBISHANA NA KICHAA ASIE STAARABIKA.
 
dah mkuu umenikumbusha
 
Mzee ilikula Tx new
 
UNAIVA, na vp kuhusu ule moto ulikosa waangalizi? kwa namna yeyote ile kazima uunguze msosi!
Kumbuka kuna rice cooker (sufuria flan hivi la umeme) yan ukiweka mchele na kila kitu bas we funika nenda katembee utakuta wali umeiva tena fresh tu.
 
We jamaa unatuchosha na magazeti yako, unatuharibia Uzi wetu kila mara na takataka zako hili siyo jukwaa la hizo, peleka JF doctors huko.
 
Wazungu wanatucheka kuwa akili zetu zimejikita katika kula tunda tu.
Dogo unajaribu kusema nini? umekielewa ulichoandika? Kwan umeitwa hapa? Kuna aliyekulazimisha usome na ucomment?.

Achana na huu Uzi wa mabaharia wa kufungia mwaka. Nenda jukwaa la dini huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…