ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,754
- 7,307
Kenya talk wako huru sana,,.
Umaskini umetuathiri sana. Yaani forum za huko nje watu wanatiririka na ku-share life experience bila matatizo ila huku tumejivika unafiki wa kidini sana.