Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,532
Nikajua ni kimasihara nyingine [emoji28]
Hii ni kwa ajili ya mabaharia tu.
Tafuta hiyo apk ya mymessage kwa kwenda google search engine na ukaandika text hide, ukishapakua hiyo utaisajiri kisha utasave huko mishe zako, kisha unaificha hiyo app kwa number ambazo zinaanza na ##.
Yaani hapo hakuna mtu atakayejua mambo zako maana text itakayoingia itakwenda moja kwa moja huko nawe utaletewa notification yenye ujumbe wa kawaida kabisa usiotia mashaka, ukipigiwa simu mara baada ya kukata automatically numbe inafutika kwenye normal call ila ukiifungua app unaikuta.
Ukipakua hiyo inakuelekeza kupakua hiyo app ya txt ya juu yake.
Hii ni kwa wenye magendo tu.View attachment 1267962