Sasa huyo kinembene anatolea wapi mzee [emoji38][emoji38] sema ulisugua mbupu ya mwenzko
Sema umejitahidi kupika story
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Namkumbuka huyo si ndio kipere kafupi fupi?Nilikuwa alpha coy,,,A coy....na kina kitereja jamaa fulani hivi marafiki mnafiki hivi,kukugeuka dk,
Wanatuuzia chaiHadi leo nashangaa waliopata Nyege wakiwa jeshini walizitoa wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie yale maovyoovyo sikudindisha miezi mitatu sijuii
We dogo ulikuwa oparesheni ganiBravo Coy Mgambo kuna afande alikuwa anaitwa Kabea tall sana jamaa alikuwa anatupa tano za kulalia mgongo sana yani akitoa nusu saa unahisi ni mwakaaa... Mwana sana yule Afande sema msimuuzi
Mwanamke mzuri alikuwa ni MP alafu alikuwa analiwa na mshikaji flani wa kujitolea ambaye alikuwa doja maarufuOP muungano,afande kanole anasema" Sisi hatuwatengenezi kuwa wa mujibu wa sheria,ila tunawatengeneza kama askari wa akina,likitokea la kutokea si tuna no.zenu tunawakurupua tu"..Nikiwasimulia sekeseke la mgambo mujibu wa sasa hvi wanahisi ni movie au nawapiga kamba,
Kulikuwa na luten mmoja wa kike mzuri kinyama sijui alikuwa anaitwa nani?,Yule captain sikuwa kumuona kuonyesha kuridhishwa hata siku moja,akija utasikia kuruti ndo kitu gni mnafanya....daaa
😄Jamaa nlisikia ameenda kusoma sijui...!! James ukimuona ndo utajua wanajeshi wanatakiwa waweje yani noma sana.. Sisi yule manzi wa Danger kusema alitongozwa yule hasan kuomba msamaha mbele ya ngurutu ndo tuliponzekaa
Sasa tusemaje mkuu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]jf is never boring
Atakua ni number ten uyo[emoji1]
Afande Hasan yule mwembamba? Jamaa ana roho mbaya yuleee, hivi kashoka hamkukuta?? Private tu ila alikuwa anaogopwa kikosi kizima
😄😄😄😄😄KIMASIHARA IMEHAMIA KWENYE UKURUTU?
Kishoka anatia makofii ovyoo yani hata kama umenyoaa anapitaa anapiga makofii... kingine alikuwa kipindi tumepata posho anaanza kusearch rasket za ngurutu anachukua karanga..sijui juice soda yani ovyoo sana[emoji1]
Afande Hasan yule mwembamba? Jamaa ana roho mbaya yuleee, hivi kashoka hamkukuta?? Private tu ila alikuwa anaogopwa kikosi kizima
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leten habari za matunda mambo ya jkt yakafunguliwe uzi wake huko
Hali ya hewa inaruhusu
Yanii[emoji119]Chai nyingi humu mpaka vitafunio vinaisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Yani umenikumbusha mbali sana kamanda wangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu Kwata Wengne Tulipunguzwa tukaona Bora u KO tu siku ya shabaha si kwata wala KO wote walifanya hamna[emoji23][emoji23][emoji23]