Kuna wahuni wako peace sana ila ukijichanganya kwenye 18 zake tu....... maake hapo kwanza ncheke
Akimind huwaga Kombania inachakaaa hatarii kuna siku Mpaka Captain flani alikuja kutuombea msamaha yani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bravo Coy Mgambo kuna afande alikuwa anaitwa Kabea tall sana jamaa alikuwa anatupa tano za kulalia mgongo sana yani akitoa nusu saa unahisi ni mwakaaa... Mwana sana yule Afande sema msimuuzi
Mkuu tulikuwa wote Bravo Coy, me platoon 1 section 2 , afande kabeya,Natalya,wame ,Husna , benja,ibra na wengine kibao kina Bruno nawakumbuka.Afande Beatrice pisi Kali
 
Jamaa alikua tall halafu combat inamkaa fresh kinoma , tulipata bahati kanole alikua anamuuguza mkewe alipata ajali ya gari kama kumbukumbu zangu zipo sawa !!! Nilikua Bravo !
 
Mkuu tulikuwa wote Bravo Coy, me platoon 1 section 2 , afande kabeya,Natalya,wame ,Husna , benja,ibra na wengine kibao kina Bruno nawakumbuka.Afande Beatrice pisi Kali
Yaah mkuu tulikuwa wote hujakosea kabisa umesahau Yule mmoja Pisi nyeupe mrefu zamu yake haji utasikia ngurutu mtaimba chenja saa nne mkalaleee[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Jamaa alikua tall halafu combat inamkaa fresh kinoma , tulipata bahati kanole alikua anamuuguza mkewe alipata ajali ya gari kama kumbukumbu zangu zipo sawa !!! Nilikua Bravo !
Jamaa nlisikia ameenda kusoma sijui...!! James ukimuona ndo utajua wanajeshi wanatakiwa waweje yani noma sana.. Sisi yule manzi wa Danger kusema alitongozwa yule hasan kuomba msamaha mbele ya ngurutu ndo tuliponzekaa
 
Mkuu tulikuwa wote Bravo Coy, me platoon 1 section 2 , afande kabeya,Natalya,wame ,Husna , benja,ibra na wengine kibao kina Bruno nawakumbuka.Afande Beatrice pisi Kali
Daaah huyo Wame ,kijamaa kidogo kidogo kilikua kinatupigisha doso balaa [emoji3][emoji3][emoji3] Bruno masihara sana
 
Jamaa nlisikia ameenda kusoma sijui...!! James ukimuona ndo utajua wanajeshi wanatakiwa waweje yani noma sana.. Sisi yule manzi wa Danger kusema alitongozwa yule hasan kuomba msamaha mbele ya ngurutu ndo tuliponzekaa
Halafu yule jamaa alikua sifa sana [emoji3][emoji3][emoji3] kuna siku katukuta kwenye foleni ya msosi kaanza kutupiga na kofia aseee kofia inauma !!!
 
leta uzi sasa eheee
Mzee nimejikuta natongozwa na sugar mummy aloo,nikamla kimasihara mzee Ila ndomu kwa mara kwanza nilitumia..
Nikamuuliza primary reason ya kunipendea ni Nini eti upole wangu tu nilivokuwa nao maana nilikuwa nasikiaga tu vijana now wanafuatwa na aged women Sasa hence prooved!!..Ila nimempelekea moto hawezi nisahau
 
we jamaa ni malaya umbwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yan umetoa mbinu zangu hiziiii kabsaaa
 
Achana na Bite kuna Mnyaturu flani hivi zamu zake maafande wa kiume hasa Eriki alikuwa anamshkia au matalia maana ni mdananda kinoma..
Erick si ndo alikua na meno kama watu wa Chuga hivi , sitasahau siku ya kumaliza week za mkesha mvua ilitugonga toka saa mbili usiku mpaka kunakucha !! Yan ile mchakamchaka wa asubuhi mpaka miguu inagoma kujikunja [emoji3][emoji3][emoji3]
 
hapo kuna stori nzuri ila sasa una haraka mno..leta uzi bhana wewe ilikuajee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…