[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inatofautiana na mnavyolelewa...... Me 2018 tu hapo mkuu io kudindisha haikuwepo hadi siku moja nikajiuliza hivi nna mda gani sijadinda,maana ilifika mda hadi nshasahau nikajua uanaume umekwenda hivo😃😃.Ilibidi hiyo siku niibe mda nikaoge nkastua na nyeto kabisa nikakuta mzigo unapoga kazi vizuri tu
Yani vizigo vizigo mda unaopumzika ni kwenye msosi.Kitendo cha kuambiwa haya nawapa tano watu washasinzia na japo unaweza sinsia kwa dakika tatu lakini ukiamshwa ni kama umelala masaa matatu😂😂😂
 
Huyo nae mchepuko gan babe anasafr hapewi taarifa
,madereva unawajua au unawasikia,anaweza kukwambia yupo dar kumbe yupo border,ukifanya ziara ya kushitukuza ndo unakutana na baharia mwingine mlangoni akikusubiri
 
 
Mukoko umejuaje kama basha wao au na wewe ulikuwa kwenye chain?
 
Bambalaga
 
Makurutu walikuwa wanaupunyua/wanalala mpaka chooni
Kylikuwa kuna zoezi la kupandishiana mapaja begani .... mnawekeana mapaja na demu wala hudindishi hata kufikiria ujinga hamna unachowaza ni kupata upenyo wa kwenda kulala
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] et mwanaharam yule, kwahyo ukashindwa kula tunda kimasihara?
 
Hadi leo nashangaa waliopata Nyege wakiwa jeshini walizitoa wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie yale maovyoovyo sikudindisha miezi mitatu sijuii
 
Bravo Coy Mgambo kuna afande alikuwa anaitwa Kabea tall sana jamaa alikuwa anatupa tano za kulalia mgongo sana yani akitoa nusu saa unahisi ni mwakaaa... Mwana sana yule Afande sema msimuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…