Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Wakuu kumekuwa na visa vingi Sana vya jinsi watu walivyokula kimasiara Sana kule kwenye Uzi wa rikiboy Sasa hapa tumegeukia Upande wa pili wa shilingi tushare jinsi mission ya kula kimasiara ilivyofeli na kupata fedheha

Changu Mimi , Alikuwa beki tatu mmoja hivi mtanga anaitwa jazila baada ya kusoma Uzi wa Riki boy kushuhudia jinsi wahuni walivyokula kimasiara na kunifanya nione kumbe kula mbushsu ni easy and cheap nikajipiga kifua na kusema it's was time aseeee

Picha linaanza first time kuonana nae nikawa na confidence kupitiliza juu yake kumbuka hapo previously nilikuwaga bonge la fisi lkn nilipania na kujikaza baada ya kupata motivation kutoka kwa Uzi wa Riki.Nikamwomba tuonane fresh akakubali kwa shart anaharaka sana nikasena fresh nikajikoki pale how to attack nikaenda na mechanisms yangu ni kuforce mashambulizi From Beginning . Mtoto akafika fresh kumbuka hapo ndo first meeting alafu muuni najitoa ufaham kaja guests pale hapo kapo macho juuu kana presha .Mm nikaanza pale mara hug kiss binti ananishangaa mara nimestop nafanya tafakari niwapi nimetoka Boko mbona sioni reaction kama walizokuwa wanasema wahuni kwenye Uzi wa Riki
Demu ananishangaa we Kaka vp mbona sikuelewi umesema tuonane tuongee lakini naona kilichotuleta lkn naona sio


Ebwana eehh nilipewa maneno ya shombo kejeli fedheha mno nilijiona fala Sana nikajishusha Thamani mno .Nikawalaumu San Wana JF wote waliokwenye Uzi wa kula tunda kimasiara .Share na ww jinsi kisa cha kula kimasiara kilivyofeli
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ulikuwa unatafuta inspiration kwenye stories za watu.

Wakati mwingine nahisi sio wachangiaji wote wanasema kweli. Ndo maana ukifuata nyayo yatakupata[emoji23]
 
Hapa ndipo ule usemi kwamba mwanamke haijulikani anachotaka unatumia. Unaweza kufanya kila kitu kwa bidii ila huwezi kumridhisha kwa kila kitu. Lazima tu apigwe!
niliendelea for almost two years...then shit happened and we went separate ways..
 
Back
Top Bottom