Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,165
- 5,641
Daah hii chai yenye ndimu kali ....ngoja nisubiri half cakeMUENDELEZO: NILIVYOWALA PIA KIMASIHARA MARIKI ZAKE JASMIN.
Ni asubuhi na mapema, ninashtuka usingizini nikiwa na uchovu mwingi. Kiuno kimechoka huku mikono na magoti vimechoka. Upande wangu wa kulia mwanadada mwembamba mrefu amenilalia kifuani wakati upande wa kushoto, binti mwenye unene kiasi, mfupi kiasi na nywele zake kazitia dawa na kuwa blonde amenilalia. Wote wapo ktk usingizi mzito.