Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,760
- 6,320
Miaka kadhaa iliyopita nilifahamiana na binti mmoja hivi ambae nilimuelewa sana. Baada ya kumfuatilia niligundua huyu ananifaa kuwa mke. Baasi nikaenda na nia ya kumuoa. Alikataa kwa 100% na akaniambia ana mtu tayari. Sikuwahi hata kuomba mbususu kabisa. Kweli baada ya miezi kadhaa aliolewa na tulipotezana jumla. Wiki kadhaa zilizopita nikaona napigiwa simu kuuliza nani akaniambia fulani, upo wapi sehemu fulani ambayo kimsingi palikuwa karibu sana. Nikaomba tuonane akakubali. Ndani ya saa moja tukawa tumeonana na hapo ilikuwa kwenye hotel moja hivi Kinondoni. Nikamwambia hapa sipo comfortable sana naomba nichukue room tukapige story ndani. Alikataa but nikafanya kumforce baadae akasema sawa ila kwa masharti nikakubali. Baasi tukaenda room tukaagiza vyakula na mastory kibao tukapiga baadaye story ziliisha nikaanza touch za hapa na pale mwishowe akalegea. Kiulweli nilipiga show ya kibabe sana kwakuwa nilijiandaa nikijua huyu leo si muachi. Nikasema huyu hakufaa kuwa mke kwakuwa tayari amesaliti leo. Alikolea halafu nikaachana naye na hakuna mawasiliano tena. Kiukweli amepoteza mvuto fulani comparing na kipindi alivyokuwa awali. Sasa sijui hayo ni masihara au la?



