Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Kuna dem nimekutana nae aisee ana bonge la tako daah noma sana! Katika kumfatilia nyumanyuma nijue anaelekea wap kumbe kuna miamba miwili nayo inamfatilia mmoja akawa anamuomba namba lakini hajafanikiwa! Me kanipatia ntawapa mrejesho! Ila ase tako lina nguvu huyu manzi njia nzima alkuwa anaangaliwa yeye tu😂😂😂
 
YESU KRISTO alikuja duniani kwa ajili ya wale waliopotea na siyo kwa ajili ya wenye haki.

Na mimi nimeingia kwenye huu uzi kwa ajili ya kuwahubiria ninyi "wazinzi" na "waasherati" habari Njema ya Ufalme wa MUNGU.

BABA MUNGU anawapenda sana na ndiyo maana alimtoa Mwanae YESU KRISTO afe kifo cha aibu na mateso kwa ajili yenu ninyi. MUNGU anawapenda sana, wala hawachukii. Mnachotakiwa kufanya ni kubadilisha tu mitazamo yenu na kuacha uchafu huu na kuwa WATIIFU kwake.
MUNGU anataka kuwapa ninyi wazinzi na waasherati ufalme wake wa mbinguni lakini hawezi kuwapa ikiwa hamtaacha tabia zenu chafu.

Jamani, ikimbieni zinaa maana wazinzi na waasherati hawatauona kamwe ufalme wa MUNGU. Lakini mkitubu na kuacha hakika mtasamehewa kabisa na kukaribishwa kwenye ufalme wa MUNGU.
Mchungaji mbona kama unatembea sana na huu uzi hatua kwa hatua?
Mchungaji mbona una ID FAKE kama hawa unaowaita wazinzi na waesherati?
Mchungaji mbona una maneno makali yasiyo staha kwa ajili ya kuwafungisha mataifa?

Tuanzie hapo kwanza mchungaji maana naona unaenenda sawa na wazinzi na waesherati kwa maneno yasiyo na hofu na upole huku kila kona ya kimasihara uko nayo, sa kama leo ni jpili we umeamukia huku kondoo utawarudisha zizini salama kweli?

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
 
Nani kakudanganya kuwa Jumapili ndiyo siku ya kuwakusanya kondoo?

Una mengi ya kujifunza lakini kwa sasa nakuomba utubu maovu yako na uache kabisa zinaa na uasherati. MUNGU anakupenda sana na atakusamehe kila kosa ulilofanya ikiwa tu utaacha kwa dhati.
 
YESU KRISTO alikuja duniani kwa ajili ya wale waliopotea na siyo kwa ajili ya wenye haki.

Na mimi nimeingia kwenye huu uzi kwa ajili ya kuwahubiria ninyi "wazinzi" na "waasherati" habari Njema ya Ufalme wa MUNGU.

BABA MUNGU anawapenda sana na ndiyo maana alimtoa Mwanae YESU KRISTO afe kifo cha aibu na mateso kwa ajili yenu ninyi. MUNGU anawapenda sana, wala hawachukii. Mnachotakiwa kufanya ni kubadilisha tu mitazamo yenu na kuacha uchafu huu na kuwa WATIIFU kwake.
MUNGU anataka kuwapa ninyi wazinzi na waasherati ufalme wake wa mbinguni lakini hawezi kuwapa ikiwa hamtaacha tabia zenu chafu.

Jamani, ikimbieni zinaa maana wazinzi na waasherati hawatauona kamwe ufalme wa MUNGU. Lakini mkitubu na kuacha hakika mtasamehewa kabisa na kukaribishwa kwenye ufalme w
 
YESU KRISTO alikuja duniani kwa ajili ya wale waliopotea na siyo kwa ajili ya wenye haki.

Na mimi nimeingia kwenye huu uzi kwa ajili ya kuwahubiria ninyi "wazinzi" na "waasherati" habari Njema ya Ufalme wa MUNGU.

BABA MUNGU anawapenda sana na ndiyo maana alimtoa Mwanae YESU KRISTO afe kifo cha aibu na mateso kwa ajili yenu ninyi. MUNGU anawapenda sana, wala hawachukii. Mnachotakiwa kufanya ni kubadilisha tu mitazamo yenu na kuacha uchafu huu na kuwa WATIIFU kwake.
MUNGU anataka kuwapa ninyi wazinzi na waasherati ufalme wake wa mbinguni lakini hawezi kuwapa ikiwa hamtaacha tabia zenu chafu.

Jamani, ikimbieni zinaa maana wazinzi na waasherati hawatauona kamwe ufalme wa MUNGU. Lakini mkitubu na kuacha hakika mtasamehewa kabisa na kukaribishwa kwenye ufalme wa MUNGU.
tupe kisa chako cha kula mwijilisti kimasihara basi mtakatifu
 
Eeeehh Uwe na heshima bhana uwe na heshima ndugu kuwa na heshima nakuomba
Hakuna mtu wa JF unaemshikiaga miguu kitandani au umemzaa mpaka tufikie hatua ya kuitana Waasherati na wazinzi....jiheshim maana naona kama watu wanakuchukulia poa sana
Na umejuaje kuna uasherati huku kama na wewe husomi
Narudia tena uwe na heshima
Wee vipi bwana......
 
Nilishaacha huo uovu na nikatubu dhambi zangu na BABA MUNGU akanisamehe kabisa.

Kwakuwa nilitubu na kuacha sioni tena fahari kusimulia jinsi nilivyofanya uzinzi na uasherati. Nikifanya hivyo nitakuwa nampatia Shetani umaarufu.

Hata wewe ukitubu na kuacha, MUNGU atakusamehe pia.
 
Eeeehh Uwe na heshima bhana uwe na heshima ndugu kuwa na heshima nakuomba
Hakuna mtu wa JF unaemshikiaga miguu kitandani au umemzaa mpaka tufikie hatua ya kuitana Waasherati na wazinzi....jiheshim maana naona kama watu wanakuchukulia poa sana
Na umejuaje kuna uasherati huku kama na wewe husomi
Narudia tena uwe na heshima
Wee vipi bwana......
Kitendo cha "kula tunda kimasihara" ni kitendo cha uzinzi au uasherati.

Huwezi kula tunda la Mkeo kimasihara bali la yule ambaye siyo Mkeo hivyo hicho kinakuwa ni kitendo cha zinaa na uasherati.

Ndugu yangu ikimbie zinaa. Acha kabisa ufirauni na uasherati. Usiposikia leo na kuacha basi utaiangamiza nafsi yako kwa matendo yako machafu.

MUNGU anakupenda sana na ndiyo maana anakubembeleza utubu na kuacha na yeye atakusamehe kabisa maana hataki nafsi yako iangamie.
 
You Judgemental idiot
Kwanini unaita watu wazinzi na waasherati
Tatizo langu mimi na wewe ndo lipo hapo and hujajiuliza kila unapo post kila mtu anakukosoa wewe
Ng'ombe kumpeleka mtoni ni wajibu wako ila kunywa maji ni hiyari yake mwenyewe
Tusiitane wazinzi na waasherati and on top of that tusiharibiane Siku

Cheers
 
Ni mwishoni MWA mwaka Jana siku ya jumapili nikiwa natokea Moro kuja Dom,. Kawaida kuna washkaji tunakuwaga tunakutana jioni Kwa ajili ya kubadilishana mawazo. Nikawapigia simu kujua location waliyopo, wakanijuza, nikasogea. Nikawakuta wako na warembo wawili wakila bia. Kati ya Wale walembo wawili mmoja alikuwa WA mshikaji so alikuja na mwenzie. Tukaliendeleza Kula bia mpaka mida ya SAA nne usiku mwamba akasepa na demu wake, akatuacha na Yule demu mwingine na mshikaji tunaendeleza Kula bia. Sijui kama mshikaji alikuwa kamtongoza demu mwingine ama VP. Ila wakati jamaa anaondoka na demu wake nikamwambia kama VP anisubiri anisogeze mitaa ya home akasema huyo shemeji yangu (Yule demu) atakupeleka home maana ana gari. Baada ya muda muda mshikaji mwingine akasepa akaniacha na demu. Tukaendelea kupiga bia mpaka SAA sita kasoro. Nikamwambia nipeleke home nitalipa mafuta, akakubali. Tumeingia maskani akaishia nje nikamwambia ingia ghetto upaone next time utakuja, akasema hawezi ingia strange person. Nikamwambia basi sawa nikazama ghetto nikafikia kitandani nikazuga nimelala yeye yupo nje. Akakaa baadae akagonga mlango kuulizia ahadi ya kumpa pesa ya mafuta. Nikamwambia ingia basi ndani uchukue, akaingia akasimama pembeni mlangoni. Nikanyenyuka nikaenda kwenye akiba nikachomoa kiasi cha pesa. Kabla ya kumpa nikamcheki mdada WA watu black beauty kainamia ukuta, nikamshika mkono, ghafla kichwa cha chini kikapigwa short. Nikaanza kubembeleza gemu akawa hataki, nikaomba mate akazuga kugoma. Nikapeleka mkono kwenye ziwa kuliminya nikaona ukelele, nikaendelea kupapasa mpaka kwenye eneo la hazina, miguno ikaongezeka. Nikaona hapa tayari nikarusha kitandani, shusha suruari la mrembo, chezea kitumbua, mtoto kalegea. Nikaanza kuperuzi kila Kona. Aise mrembo kumbe bia zilikuwa zimeshuka chini, ilipigwa mechi hapo. Baadae ndiyo kushtuka SAA Saba akakurupuka kuwahi watoto, nikamwambia tujuzane hata majina basi maana tulikuwa hata majina hatujuani. Mpaka Leo ni mshikaji wangu maana ni mke WA mtu dah.
 
You Judgemental idiot
Kwanini unaita watu wazinzi na waasherati
Tatizo langu mimi na wewe ndo lipo hapo and hujajiuliza kila unapo post kila mtu anakukosoa wewe
Ng'ombe kumpeleka mtoni ni wajibu wako ila kunywa maji ni hiyari yake mwenyewe
Tusiitane wazinzi na waasherati and on top of that tusiharibiane Siku

Cheers
Kama hutaki kuitwa mzinzi na muasherati basi acha "uzinzi" na "uashetati" period.

If you choose to be an adulterer and a fornicator you'll be called as such.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
YESU KRISTO alikuja duniani kwa ajili ya wale waliopotea na siyo kwa ajili ya wenye haki.

Na mimi nimeingia kwenye huu uzi kwa ajili ya kuwahubiria ninyi "wazinzi" na "waasherati" habari Njema ya Ufalme wa MUNGU.

BABA MUNGU anawapenda sana na ndiyo maana alimtoa Mwanae YESU KRISTO afe kifo cha aibu na mateso kwa ajili yenu ninyi. MUNGU anawapenda sana, wala hawachukii. Mnachotakiwa kufanya ni kubadilisha tu mitazamo yenu na kuacha uchafu huu na kuwa WATIIFU kwake.
MUNGU anataka kuwapa ninyi wazinzi na waasherati ufalme wake wa mbinguni lakini hawezi kuwapa ikiwa hamtaacha tabia zenu chafu.

Jamani, ikimbieni zinaa maana wazinzi na waasherati hawatauona kamwe ufalme wa MUNGU. Lakini mkitubu na kuacha hakika mtasamehewa kabisa na kukaribishwa kwenye ufalme wa MUNGU.
Wewe Mchungaji huna msimamo. Wewe ni vuguvugu katika ulimwengu wa roho. Kuwa vuguvugu ni chukizo kwa Mungu.

Soma Ufu 3:15-16

Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.

Haiwezekani kila wakati unahubir baada ya kusoma essays, wakati mwingine unatabasamu kimoyo moyo as well as kudindisha kabisa.

Huwezi kupinga ulevi ukiwa umeweka chupa ya bia mdomoni.
 
Nikiwa Bangarole india masomoni. Kama ujuavyo mhindi kumtongoza hadi akuelewe ni shughuli pevu, kwanza ni racist vibaya sana.
Pia nlikuwa mtanzania pekee ila iulikuwa na waafrica kama 7 hivi clas kwetu, wengine ni waarabu na mataifa mengine ya asia, hakuiuwa na mhindi sababu ilikuwa ni ufadhili ya comonwealth.
Ugwadu ulikuwa mkali ilipofikia miezi 7 ya mwanzo sababu ni kuwa
Nlianza kula biriyani ilipofikia mwezi wa 3 sababu chakula cha mataifa mengine ilikuwa gharama sana kwenye hoteli tulofikia ilikuwa kama elf 15 hivi za kibongo nikaona nawezarudi bila zawadi maana tulilipwa kama rupee 30elf kwa mwezi huku room imelipiwa rupee 2800 kwa siku.
Nikapata wazo la kununua malaya. Ila shida nlikuwa mwoga kutoka hasa usiku sikuwahi kuwa nje ya hoteli kabla ya jua kuzama kwa kuhofia usalama wangu. Nlikuwa hoteli inaitwa trinity isle hotel ipo kwenye kamtaa flani hivi kapo bize hatari kwa madaladala. Hivo nikaamua kwenda google nikasearch escort girls in bangarole, ebwanaeeee walikuja kibao nikasort nikapata mrembo kuliko wote kucheki bei ni 3500 hadi 4000 rupees, anakuja unamfanya chochote utakacho usiku kucha. Nikaona isiwe tabu nikamtumia location kwenye saa mbili hivi mtoto akanipigia kuwa keshafika. Nikashuka down nikamchukua na kuzama naye ndani. Basi mi full kujipigia tu usiku wote uzuri next day ilikuwa weekend hivo kesho yake ndo nlitumia kulala. Sio wezi kwama huku pia wastarabu sana na unahudumiwa kifalme. Nikawa nikiwa na ham namwita tu
Kwahiyo ulikula kimasihara hapa?
 
Nani kakudanganya kuwa Jumapili ndiyo siku ya kuwakusanya kondoo?

Una mengi ya kujifunza lakini kwa sasa nakuomba utubu maovu yako na uache kabisa zinaa na uasherati. MUNGU anakupenda sana na atakusamehe kila kosa ulilofanya ikiwa tu utaacha kwa dhati.
Unachoongea na kuelewa sema huna hekima katika kufikisha ujumbe wako kwa mataifa,tafuta hekima ili tuweze kukusikiliza najua una kitu cha kuturudisha kwa mungu ila huna roho mtakatifu ndio maana neno halipokelewi vizuri hivyo sio mshawishi mzuri

Pili acha kuufutilia huu uzi kwa kuwa na wewe ni walewale tu wazinzi na waesherati

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
 
Wewe Mchungaji huna msimamo. Wewe ni vuguvugu katika ulimwengu wa roho. Kuwa vuguvugu ni chukizo kwa Mungu.

Soma Ufu 3:15-16

Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.

Haiwezekani kila wakati unahubir baada ya kusoma essays, wakati mwingine unatabasamu kimoyo moyo as well as kudindisha kabisa.

Huwezi kupinga ulevi ukiwa umeweka chupa ya bia mdomoni.
Mwacheni huyu jamaa msimjibu maana analeta sifa muulize huo mtaa anaokaa amewashawishi wangapi kuokoka na je mitaa hiyo kuna bar ngapi na amehubiria walevi wangapi kuokoa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

275 Reactions
Reply
Back
Top Bottom