Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 597
- 1,278
Tupia kisa bidada visa vyenu adim sanaHivi watakatifu mnafata nini kwa mashetani...acheni unaafiki baasi kila mtu aishi kwa anavoona yuko sahihi kuna majukwaa mengi jf na nyuzi kibao..si muende huko mkaangalie...
Hii nchi huru, humu watu wazima wanajielewa..!!ukiona hapakufai pita uignore..!!
Acheni wengine tusome tupunguze stress za kutafuta hela...
Siwi mnaafiki huu Uzi naufatilia haswaa...nafurahi tu vituko vya walimwengu!!!