Expert Judgement

JF-Expert Member
May 29, 2019
383
1,000
1. Unapaswa kutoa sadaka ya Shukrani umeokoka.
2. Ulijiivika bomu (pasipokujua au kwa kujua) kwa muda wote uliokuwa naye pamoja na uwezekano wa kuambukizwa kwa njia ya sex, mtu mnaishi naye pamoja kwa Mazingira uliyoyaelezea, ana kuwa namna nyingi sana za kukuambukiza kwa makusudi au pasipokujua.
3. Tahadhari uliyotoa ni ya muhimu. Tuendelee kuzingatia.
Asante kwa wazo la sandaka ya shukrani hili nimeshalifanya nanitaendelea kulifanya kipekee sana niliiona niwasaidie nisiowajua kwa kuchangua damu ktk hospital zetu

Kuhusu kuambukiza makusudi angekua amevuka viwango vya ubinadamu na kuwa mnyama maana km mm tu sukuwahi kumwambia mtu yeyote hata ndugu zake kuwa anangoma, hapa jukwaani hakuna amjuae naamn Hilo
 
Kalosa

JF-Expert Member
Feb 22, 2017
1,914
2,000
nazijua nmezila sana toka wakate uzi

IMG_20210519_200529.jpg
 
medieval2april2021

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
320
500
Hii kwangu haiapply. Na mpk tukutane ni moyo wangu ukukubali. Kama vioi nacancel tu moyo wangu umekukataa. Yaan hata uimbe bob marley souljer sijui mimi malaika. Tena usishangae nikakusemesha na sauti ya kibezi... Sifa za kinafki nazijua. Anayetaka uzandiki najua. Sifa hazinipotezagi. Tutaonana endapo tu moyo wangu umekuerewa kwa kwenda mbere na hiyo haimaanishi ndo utanikula hapana. Nina roho mbaya sana na mbunye yangu
Miss Pablo nakusihi punguza roho mbaya kuiwekea masharti magumu sana mbunye, hakika wainyima haki ya kusosholaizi na Misonobari. Tumia Laissez Faire itakusaidia
 
nice v

Senior Member
Mar 30, 2014
181
500
Mwaka jana tu nilikuwa naenda mkoa flani sikuwahi kufika kule. Pembeni yangu nilikaa na kaka akaniambia ni mwenyeji kule ninapoenda. Tukawa tunapiga story za hapa na pale tukazoeana. Njia nzima tukawa tukishuka kupata chakula analipia yeye, safari ilikuwa ndefu sana. Basi kufika njiani bus lilipata shida ikasababisha tufike tunakoenda saa4 usiku.

Yule kaka aliniambia ana familia akaenilekeza lodge ili nikalale pale kesho asubuh nielekee ofisi nilokuwa naenda. Akachukua no ya simu. Ila akasema tukifika atapeleka mzigo kwake then atakuja pale lodge ahakikishe kama nimefika salama, nikasema poa. Akanipa hela ya room.

Tukashuka akachukua boda fasta akasepa. Nami nikachukua boda ghafla nkawaza huyu kaka nikikaa vibaya atakuja kunila kimasihara. Basi nkamwambia boda nipeleke lodge nzuri nikalale. Boda akanipeleka lodge nyingine kabisa kufika nikaona jina sio lile alonielekeza yule kaka. Nkasema poa!!!! Nikachukua room.

Baada ya dk 20 yule kaka kapiga simu nipo nje upo room no ngapi? nkamwambia no.... akasema poa nakuja...nikazima simu nikalala. Asubuh kuwasha simu ziliingia text kama 10 za matusi mfululizo, sikumjubu wala!!!!!! daaah wanaume nyie basi tu.
 
Kwekitui

JF-Expert Member
Oct 29, 2017
837
1,000
Mwaka jana tu nilikuwa naenda mkoa flani sikuwahi kufika kule. Pembeni yangu nilikaa na mkaka akaniambia ni mwenyeji kule ninapoenda. Basi kufika njiani bus lilipata shida ikasababisha tufike tunakoenda saa4 usiku.

Yule kaka aliniambia ana familia ila akaenilekeza lodge ili nikalale pale kesho asubuh nielekee ofisi nilokuwa naenda. Akachukua no ya simu. Ila akasema apeleke mzigo kwake then atakuja pale lodge ahakikishe kama nimefika salama, nikasema poa.

Tukashuka akachukua boda fasta akasepa. Nami nikachukua boda ila ghafla nkawaza huyu kaka nikikaa vibaya atakuja kunila kimasihara. Basi nkamwambia boda nipeleke lodge nzuri nikalale. Boda akanipeleka lodge nyingine kabisa kufika niona jina sio ile alonielekeza yule kaka. Nkasema poa!!!! Nikachukua room.

Baada ya dk 20 yule kaka kapiga simu nipo nje upo room no ngapi? nkamwambia no.... ajasema poa nakuja...nikazima simu nikalala. Asubuh kuwasha simu ziliingua text kama 10 za matusi mfululizo daaah wanaume nyie basi tu.
Daah
 
yellow eyes

JF-Expert Member
Mar 6, 2018
2,235
2,000
Mwaka jana tu nilikuwa naenda mkoa flani sikuwahi kufika kule. Pembeni yangu nilikaa na kaka akaniambia ni mwenyeji kule ninapoenda. Tukawa tunapiga story za hapa na pale tukazoeana. Njia nzima tukawa tukishuka kupata chakula analipia yeye, safari ilikuwa ndefu sana. Basi kufika njiani bus lilipata shida ikasababisha tufike tunakoenda saa4 usiku.

Yule kaka aliniambia ana familia akaenilekeza lodge ili nikalale pale kesho asubuh nielekee ofisi nilokuwa naenda. Akachukua no ya simu. Ila akasema tukifika atapeleka mzigo kwake then atakuja pale lodge ahakikishe kama nimefika salama, nikasema poa. Akanipa hela ya room.

Tukashuka akachukua boda fasta akasepa. Nami nikachukua boda ghafla nkawaza huyu kaka nikikaa vibaya atakuja kunila kimasihara. Basi nkamwambia boda nipeleke lodge nzuri nikalale. Boda akanipeleka lodge nyingine kabisa kufika nikaona jina sio lile alonielekeza yule kaka. Nkasema poa!!!! Nikachukua room.

Baada ya dk 20 yule kaka kapiga simu nipo nje upo room no ngapi? nkamwambia no.... akasema poa nakuja...nikazima simu nikalala. Asubuh kuwasha simu ziliingia text kama 10 za matusi mfululizo, sikumjubu wala!!!!!! daaah wanaume nyie basi tu.
Ulimfanyia ukatili, ujambazi,ukiritimba, yan ufisadi wa hatari sasa huyo mwamba.
 
Blessed

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
3,450
2,000
Asante kwa wazo la sandaka ya shukrani hili nimeshalifanya nanitaendelea kulifanya kipekee sana niliiona niwasaidie nisiowajua kwa kuchangua damu ktk hospital zetu

Kuhusu kuambukiza makusudi angekua amevuka viwango vya ubinadamu na kuwa mnyama maana km mm tu sukuwahi kumwambia mtu yeyote hata ndugu zake kuwa anangoma, hapa jukwaani hakuna amjuae naamn Hilo
Nimekusoma mkuu.
 
Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
17,877
2,000
Mwaka jana tu nilikuwa naenda mkoa flani sikuwahi kufika kule. Pembeni yangu nilikaa na kaka akaniambia ni mwenyeji kule ninapoenda. Tukawa tunapiga story za hapa na pale tukazoeana. Njia nzima tukawa tukishuka kupata chakula analipia yeye, safari ilikuwa ndefu sana. Basi kufika njiani bus lilipata shida ikasababisha tufike tunakoenda saa4 usiku.

Yule kaka aliniambia ana familia akaenilekeza lodge ili nikalale pale kesho asubuh nielekee ofisi nilokuwa naenda. Akachukua no ya simu. Ila akasema tukifika atapeleka mzigo kwake then atakuja pale lodge ahakikishe kama nimefika salama, nikasema poa. Akanipa hela ya room.

Tukashuka akachukua boda fasta akasepa. Nami nikachukua boda ghafla nkawaza huyu kaka nikikaa vibaya atakuja kunila kimasihara. Basi nkamwambia boda nipeleke lodge nzuri nikalale. Boda akanipeleka lodge nyingine kabisa kufika nikaona jina sio lile alonielekeza yule kaka. Nkasema poa!!!! Nikachukua room.

Baada ya dk 20 yule kaka kapiga simu nipo nje upo room no ngapi? nkamwambia no.... akasema poa nakuja...nikazima simu nikalala. Asubuh kuwasha simu ziliingia text kama 10 za matusi mfululizo, sikumjubu wala!!!!!! daaah wanaume nyie basi tu.
Hahahaha Nice V... Jamaaa ulimpa maumivu ya kisengee..hatosahau
 
akilinzuri

Senior Member
Dec 15, 2020
136
250

Wewe nitapeli ⅞ mwizi jangili
 
Stephen Chelu

Verified Member
Oct 31, 2017
6,714

Huna tofauti na wale wa ile tuma kwenye namba hii.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom