Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Ikawaje mzeee...
Ngoja nami ntoe changu ss

Iko hiv nakumbuka ilikua mwaka 2017 nkiwa chuo kwenye mkoa flan maarufu,kwenye nyumba tulyopanga wanachuo kama mnavyojua tena mambo ya chuo baada ya kuzoea mazingra weng hua wanatoka na kupanga mtaan,bas cku moja nlikua nahama chumba kwenye nyumba hyo hyo ila bahat mbaya chumba nlichokua nahamia kitasa chake kilikua kibovu so nkawa naamisha kitasa cha chumba nlichotoka,wakat nko nafunga kitasa kuna manz aliingia akimuulizia mshkaj wa chumba cha jiran ambaye wakat huo alikua katoka yupo chuo ana discuss,alinikuta nakomaa na kitasa pale nkamjibu mwana hayupo ila chili hapo ktandan ukimsubria so manz alikubal kwakua aliona natengeneza kitasa akajua hakutakua na usumbufu wowote maana mlango ulikua waz,bhna manz alikua na sura ngumu ila hapo kuanzia kifuan had miguun alikua kauimbika balaa,mwana nkawa namezea mate tu maana lilala pale kwa bed akawa ananchek nnavyokomaa na kitasa,nlikua nawaza kufanya tu ufis mda huo yaan nafunga kitasa huku mzee yupo dede,nkafunga fresh nkamalza,nkasema ngoja nkatest zali so nkafunga mlango fresh nkajizogeza kwa bed,alijishtukia ila nkavunga sjaona me nkamkumbatia kiss za hapa na pale akawa analeta ubish ila nkaona nalegeza na kusema kwao ety ukimcheat bf wako utatokewa na kitu kibaya,me nlimjibu acha tu kitokee,so nkala tunda kimasihara fresh na bahat mbaya baada ya kumalza kama dk 5 mbele mchiz wake akarud ila manz alitoka akajifanya kamind ety kamsubria sana so walipishana mlangon wa kutokea nje manz kafura balaa.
Skubahatka hata kupata namba yake ila nlikua namuonaga tu akija kwa jamaa na ckumshobokea tena ila jamaa alikuja jua nmemla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana bwana!! Umenikumbusha mwaka 2013 Niko advance mwishoni mwishoni hivi mwezi wa march ndo tunajiandaa kupiga pepa mwezi wa tano tusepe maana maharage yalikua kero balaa,

Sasa bwana sisi tuliokua tunasoma kombi yenye somo la Kiswahili ndani yake tulikuwa tukifundishwa na madam fulani hivi ( jina kapuni) kusema kweli alikuwaga chuma balaa mweupe mnene hivi mzigo wa kutosha ila alikuwa mcheshi sana na mwongeaji mno.

Turudi nyuma kidogo pale shuleni tulikua na headmaster mnoko hasa juu ya masuala ya simu ilikuwa tu na simu balaha lake utalijua so Mimi sikupenda matata sana nikawa simu naenda kuomba kutumia ya yule madam wetu nikiwa na shida ya poket money home au shida yoyote, na kweli hakuwa mchoyo kutoa simu yake,


Sasa bwana picha linaanza pindi tunaelekea kupiga pepa kumaliza form six, nimekuta yule dada (MADAM) kumweleza shida yangu niombe pesa ya nauli pamoja na matumizi kumaliza muhula aisee nikawa nimeeongea na Mzee akawa amenitumia kama 250K Hivi ikizingatiwa nilikuwa nasomea mkoa wa mbali so nauli ilikuwa ikifika kama 100K na zaidi hivi hile pesa bwana ikatumwa kwenye simu ya madam wangu, sijui nini kilimponza yule dada JAMAN!! JAMANI!! JAMANI!! pesa kweli inamajaribu yake, huwezi amini yule dada akanipa 200K, akabki na kama elfu 50 hivi tena akaniita nende nikaifuate kwake (kitaa alikokua amepanga) chumba na sebule aisee akanieleza kabisa kuwa Mzee kanitumia 250K ila ana shida na 50K nimwachie nikaona siyo mbaya nilikaa pale kwake toka jion saa kumi hivi mpaka usiku saa nne hivi ndo nikarudi skonga (kuna njia chocho tulikua tukipita) shule haikua na uzio sio siri siku tulijikuta ghafula tunazini mtu na mwalimu (MADAME) wake kiutaniutani tu, nilipiga kitu sana mpaka hakuamini kuwa nilikuwa na uwezo ule wa kumpelekea mashambulizi mpaka akomba poo!! Baadae nikachuma pesa yangu 200K nikaondoka kufuru skul



Yaani baada ya pepa pia siku natoka skull kwenda home nilikaa siku nne ndani kwa madame nikawa najilia vyangu kwa sana ndo nikasafiri kwenda kwetu,


DAH!! AMA KWELI WEMA UNALIPA SIKUAMINI 50K YANGU ILINIPA UWEZO WA KUPIGA TOTO KALI LILE TENA MWALIMU WANGU.


POPOTE ULIPO MADAME "F" NAKUKUMBUKA SANA, SIJUHI KAMA BADO HUKO PALE NILIPOKUACHA.
Mwaka 2013 form 6 walimaliza mwezi wa pili. Ila kwa maelezo yako hapo naona unataka kutuaminisha kwamba mlimaliza mwezi wa 5... Hii chai haijakolea sukari vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joe alitaka kununua pikipiki. Alikuwa hana bahati ya kuzipata hadi, siku moja, alipokutana na San LG na imeandikwa "inauzwa" . pikipiki ilionekana bora zaidi kuliko mpya, ingawa ina umri wa miaka 10. inang'aa na iko katika hali nzuri kabisa. Akainunua mara moja, na kumwuliza muuzaji jinsi gani ameiweka katika hali nzuri kwa miaka 10.

"Kwa kweli, ni rahisi sana, kwa kweli," muuzaji akasema, "wakati wowote pikipiki ikiwa nje na mvua ikanyesha, chukua Mafuta ya Vaselini paka kwenye chrome. Inailinda kutokana na mvua." Akasema hivyo,huku anampa Joe chupa ya Vaselini.

Usiku huo, rafiki yake wa kike, Sandra, akamwalika akaonane na wazazi wake. Kwa kawaida, wanachukuaga pikipiki kwenda hapo. Mara tu kabla ya kuingia ndani ya nyumba, Sandra alimzuia na kusema, "Lazima nikwambie kitu kuhusu familia yangu kabla hatujaingia. Kwa kweli,huwa hatuzungumzi wakati wa kula, mtu wa kwanza ambaye atasema chochote wakati wa chakula cha jioni lazima aoshe vyombo. " "Hakuna shida," Joe alijibu. ila walipoanza kuingia. Joe alishtuka. katikati ya sebule ni wingi mkubwa wa sahani chafu. Jikoni kuna lundo lingine kubwa la vyombo vichafu. Vingine vimewekwa juu ya ngazi, katika ukanda, kila mahali panaonekana, vyombo vichafu.

Wakakaa chakula cha jioni na, hakika, hakuna mtu aliyesema neno Wakati chakula cha jioni kinapoendelea, Basi Joe akaamua kuchukua fursa hiyo na kuzunguka na kuanza kumbusu Sandra. Hakuna aliesema neno. Kwa hivyo akafika juu na kufungua matiti yake. Bado, hakuna mtu anaesema neno. akasimama, akamkamata, akararua nguo zake, akamtupa mezani hapo hapo, mbele ya wazazi wake. Akafanya mapenzi mbele yao,

ni wazi baba yake na mama yake walishtuka wakati anakaa chini, lakini hakuna mtu aliyesema neno.
Akamtazama mama yake. "Ana mwili mzuri," akafikiria. Kwa hivyo akamkamata mama, akamgonga juu ya meza ya chakula cha jioni, na akamgeuza katika kila nafasi hapo kwenye meza ya chakula cha jioni. Sasa mpenzi wake akakasirika na baba naye akawaka moto, lakini bado, kimya kabisa. Ghafla kuna kelele kubwa ya radi na mvua ikaanza kunyesha. Joe akakumbuka pikipiki yake, kwa hiyo akatoa kopo la Vaselini kutoka mfukoni mwake. Ghafla baba akaruka mbali na meza na kupiga kelele, "kumamae, hiyo inatosha. Nitaosha vyombo tu hamna namna."

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

I moved your cheese!
 
Now thats gangsta
Umetaja wambulu nimekumbuka kisa kimoja kilitokea maeneo ya karatu ila sio kula tunda kimasihara, nichomekea stori tuu.

Mwaka 2008 Tulienda kikazi karatu mimi na jamaa yangu, tukapata chumba kwenye gesti flani local. Hicho chumba kina vitanda viwili.

Mida flani ya jioni jamaa yangu akaniambia twende bar tukatafute malaya wa kulala nao. Nikamjibu mimi nimechoka nasikia usingizi wacha nipumzike. Jamaa akasepa zake.

Mida ya usiku jamaa akarudi na malaya hao wakajibwaga kitandani. Basi jamaa akaanza kumchezea demu akaanza kumla, mimi usingizi umekata nasikilizia tuu jamaa anavyokamua.

Jamaa akamaliza bao la kwanza. Basi nikashuka kitandani kwangu nikaenda mpaka kwenye kitanda kwake. Nikamgusa jamaa yangu taratibu huku namnon'goneza niachie basi demu nipige kimoja.

Dah jamaa akaropoka kwa nguvu NIKUACHE NINI, WEWE SI NILIKWAMBIA TWENDE TUKATAFUTE MADEMU UKAJIBU UNASIKIA USINGIZI, HAYA NENDA KAUTOMBE USINGIZI WAKO MBWA WEWE. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetaja wambulu nimekumbuka kisa kimoja kilitokea maeneo ya karatu ila sio kula tunda kimasihara, nichomekea stori tuu.

Mwaka 2008 Tulienda kikazi karatu mimi na jamaa yangu, tukapata chumba kwenye gesti flani local. Hicho chumba kina vitanda viwili.

Mida flani ya jioni jamaa yangu akaniambia twende bar tukatafute malaya wa kulala nao. Nikamjibu mimi nimechoka nasikia usingizi wacha nipumzike. Jamaa akasepa zake.

Mida ya usiku jamaa akarudi na malaya hao wakajibwaga kitandani. Basi jamaa akaanza kumchezea demu akaanza kumla, mimi usingizi umekata nasikilizia tuu jamaa anavyokamua.

Jamaa akamaliza bao la kwanza. Basi nikashuka kitandani kwangu nikaenda mpaka kwenye kitanda kwake. Nikamgusa jamaa yangu taratibu huku namnon'goneza niachie basi demu nipige kimoja.

Dah jamaa akaropoka kwa nguvu NIKUACHE NINI, WEWE SI NILIKWAMBIA TWENDE TUKATAFUTE MADEMU UKAJIBU UNASIKIA USINGIZI, HAYA NENDA KAUTOMBE USINGIZI WAKO MBWA WEWE. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikiaga Konyagi inamfanyaga mtu anasahau kabisa... Kuna jamaa ananihadithia eti alikula tunda la kademu flani then kesho yake hata hakajui nani alikapeleka nyumbani na hakajui kama kaliliwa....

Inawezekana kweli mtu akaliwa halafu akasahau kuwa aliliwa?
 
Heri ya mwaka mpya wakuu.

Wiki ya mwisho ya mwezi uliopita nilipata muda wa kutembelea rafiki na ndugu kadhaa waliopo mikoani.
Nilibahatika kupita morogoro, nikaona sio mbaya nikamcheki jamaa yangu mmoja wa enzi za chuo tupate chit chat za hapa na pale huku tukikumbushana mipango na mbinu mbalimbali za kusukuma mbele gurudumu la maendeleo hasa kwa sisi vijana.

Tulikutana na kwenda mgahawa mmoja wa chakula kupata misosi, ilikuwa mida ya saa 12 hivi huku tukicheki game ya arsenal vs chelsea ya majuzi. Tukiwa pale akampigia simu demu wake aje tujumuike naye, nadhani walikuwa na miadi ya kuonana kabla hata ya ujio wangu.

Baada ya kama lisaa limoja hivi demu wake aliwasili, ila alikuja na rafiki yake, ingawa sikusikia katika mazungumzo yao kuwa alimwambia aje na mwenzie ila ndo kama ujuavyo mademu wa siku hizi kwa kudandia outings hawajambo.
Piga sana story plus vyakula na kuku choma, kwa bahati mbaya situmii kilevi so ni soda, maji na juice tu huku wenzangu wakishtua oblangata kimtindo na beer.
After like 2 hours jamaa yangu na zigo lake wakatuaga kuwa wanaondoka ila wakaniomba nimsindikize yule rafiki wa demu wake kwao maana wao watachelewa kurudi na hawataweza kurudi pamoja. Nikasema hapana ukisikia karibu mgeni ndo hii, hili goma siliachi harudi mtu kwao wala nini tutamalizana hukuhuku.

Nikaanza kumchombeza yule :she: pale pale, na kumuomba anikirimu mgeni kwa siku ile cause nipo peke yangu na sina wa kunipa kampani. She thought for a while then she gave me a go. Yeap...! She was ready to take the meat that night.
Nikazama naye lodge nlipofikia, akaomba kuingia bafuni kuoga while akini insist nikatafute zana as she was in danger days and she was not ready to take the risks. Nikatoka fasta mzee nikannua mipira then vuuuup nikarudi location kumkuta mtoto yupo ready on bed,

Nikazama bafuni fasta kupunguza joto la mwili, then nikam- join mtoto kwenye eneo la tukio. Kiukweli mkaguru yule alikua vizuri, shanga za kutosha kwa kiuno na kitumbua mbate mbate ndani laini kama mkate. Piga romance plus finger za kutosha until she was ready to take the dickson, nikapiga hat trick yangu nzuri tu though show haikuchangamka sana cause dogo alikua hajanizoea na inaonekana sio muumini mzuri wa one night stand but we enjoyed and akani promise vitu vitamu zaidi as days go on tukizoeana.

Asubuhi nikamcheki jamaa angu, tukapongezana then nikaendelea na safari yangu. Huko nlikoenda pia nlikula matunda kadhaa ya viporo but hayakua ya kimasikhara so sitayarusha hewani.
.....ADIOS....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikupenda kuandika hii story ila nahisi kuna mtu inaweza ikaja kumuokoa na janga lililowahi kunikumba.
Mnamo mwaka 2009 nikiwa nipo zangu mkoa nikiwa almaharufu kama Ahmada au garimoshi sababu ya unywaji pombe uliotukuka na uvutaji sigara grade 1
Nilibahatika kuwa na marafiki wengi wa kufa na kuzikana katika ulevi.Basi bhana siku moja nikakutana na besti yangu wa kitambo bar, basi nakumbuka tulikunywa sana siku hiyo
Basi imefika saa 6 usiku jamaa akasema kalewa anataka asepe ila kuna muhudumu kamuelewa anataka kuondoka nae,
Basi kama kawaida ya mpambe kuwa shapu nikamfata yule manzi nikamueleza akaelewa ila akasema hawezikuondoka muda ule tusubiri mpaka wafunge au nikaongee na meneja
Faster nikamfata meneja nikamueleza akasema tumuachie 10 then tusepe na binti
Jamaa akalipa pale watu tukang'oa mrembo basi nikasema ngoja niwasindikize kimtindo aise ile kufika kwa jamaa nawaaga niondoke demu si akagoma kubaki akasema yeye hamtaki jamaa ananitaka mimi
Duh! Nikajisemea dodo hili ila kuzuga nikazuga kumsihi demu abaki pale ila akakataa katakata
Basi jamaa kiroho safi akasema dogo kapige tu sio kesi
Basi na pombe tena +mihemko demu nikamsogeza chocho nikachapa then nikamwambia sepa mi sina pakukupeleka bado naishi kwa wazazi
Basi bhana baada siku nne mashine ikaanza kuwasha muwasho mkali kiasi inapidi nikune kwa mtindo wa kuipekecha
Siku mbili mbele yakatoka mapele hatare afu yanawasha nikikuna yanapasuka aise acha tu
Basi mashine ikawa imejaa madonda yakikauka inaanza kuwasha tena muwasho mkali hauvumiliki nikikuna magamba yanabanduka inabaki mashine nyekuundu
Kiufupi nilikoma nilikunywa dawa za kuunga unga mpaka jasho likanukia dawa
Mwisho nikamfata mshua nikamueleza naumwa sana naweza kufa naulizwa nini shida namwambia huku chini kunauma kweli
Basi akaitwa rafiki yake ambae ni dokta alivyoicheki tu mashine akasema dah! Ungechelewa mwezi tu mashine ingelika yote huu ugonjwa mbaya sana unaitwa PANGUSA
But nashukuru Mungu mzee hakuwa na hiyana akagharamikia matibabu yote japo kwa masimango
N.b chunga sana hayo yanayoitwa masikhara kuna siku ita kucost dear

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom