Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,450
- 18,522
Yan we umekaa miezi miwili unakula nyama ya kondoo sasa madudu yamejaa kichwani ndo ukaamua uje utusumbue humu😎😎Nimesoma posts nyingi ktk huu uzi
Naomba kuwauliza waungwana
Kuna wengi naona wanamuelezea mtu kuwa alikuwa
DEMU WA KAWAIDA SANA
sasa hapa
Nawaza Je ni ktk kipimo kipi hasa ulitambua kiwango cha uzuri wake
au ni wa kawaida kwa macho yako tu?


