coder12
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 259
- 2,433
Enzi hizo bado yanki, mwaka wa pili chuo nilipangwa field mkoani huko, bahati nzuri mkoa huo kuna mwanangu nlisoma nae advance anasoma chuo mkoa huo lakini yeye field alipata dar. So hakuwepo. Nlikua nshachonga nae aniachie funguo hapo home kwake. Nilivofika nlipambana na kuelekezwa mpaka nkafika. Faza hausi ndo alikua ameachiwa funguo na maagizo, so akanikaribisha vizuri na kunipa funguo. Palikua na nyumba kubwa ya faza house na familia yake af kuna ka fensi kakizushi af ndo nyumba ya kupanga ina kama apartments hivi, zipo mbili chumba na sebule na chumba na sebule, choo kipo kwa nje ni cha kushare. Jamaa alikua maisha bora, so geto lake lilikua si haba.
Katika zile wiki 8 nimekaa pale nmegonga pisi kadhaa, lakini zote nilisotea. Hii moja ndo ililiwa kimasikhara, ndo kisa chake hiki.
Kwenye hyo ofisi nliyokua nafanya field, kuna kipindi walikua wanatoa training kwa walimu, mchana na asubuhi kulikua na msosi. Hao walikua wanafanya catering ya msosi walikua wengi wengi wanakuja na ka noah wanatoa vyombo na misosi wanaseti kila kitu af muda wa ku serve msosi wanakuaga wadada wawili. Mmoja white hivi kiportable, mdogo mdogo around 20, mwingine mdada kabisa kama 32 hivi yupo bomba hatari. Niplan kumla yule mdogo mdogo so mara nyingi wakiwa wamemaliza kugawa msosi wanakua wamekaa wao wawili tu wanasubiri watu wale waanze kuosha vyombo, ndo kile ki noah kije kubeba vyombo nlikua naenda napiga nao story kizushi, kuomba namba nashindwa coz wanakua pamoja muda wote.
Imeenda hivyo wiki nzima mpaka ijumaa, na ndo ilikua mwisho. Ile siku nilikua desparate sana coz nlikua najua nkiikosa namba leo ndo imetoka hyo.
Baada ya lunch tu nkaenda kwenye training af nkatoka nkawafata walipo ili niforce nipate namba.
Nafika namkuta yule mwenzie mkubwa mkubwa, nkamsalimia af nkamuuliza mwenzio yuko wapi. Akajibu amewahi kuondoka kapata dharura. Ikabidi nibaki pale tupige pige story, ndo nkapata picha kuwa ile service ya catering ni ya kwake na hao wengine pamoja na ile.pisi ndogo ndogo ni wafanyakazi wake. Wakati naondoka nkamuomba namba yake, lengo ni baadae nimfungukie kuwa mwenzie nimemuelewa anisaidie nimpate, anipe na contact zake, manake nlishindwa kufunguka pale pale. Namba kanipa bila shida nkasepa.
Siku hyo hyo usiku nkamtext, kauliza nani nkamuambia tukaendelea kuchat. Kaniuliza maswali mengi sana kuhusu mimi, namjibu tunaendelea kuchat, natafuta upenyo wa kuanza kumuongelea yule mwenzie nakosa. Ikabidi niende na flow ya chats tu.
Kuna muda alinitumia msg anauliza kama siogopi kuchat na mke wa mtu. Nkamjibu kama ni chats tu hazina shida siogopi, akauliza na mengine je. Nkamjibu nayo fresh tu. Nlivomjibu hvyo tu akanipigia.
Tukaongea mambo ya kawaida tu, tukaagana siku ikaisha. Kesho yake nmeaka nakuta text zake kama 3 hivi. Nkajua tu yule mwingine simpati tena. Nshaopoa mke wa mtu.
Tatizo sijawahi kutoka na mke wa mtu na nishajiwekea kua sitafanya huo upuuzi.
Sasa kumkataa naanzia wapi?
Ikabidi niende nae hvyo hvyo. Anapiga sana simu, yupo caring sana. Ni kama alikua na mgogoro na mmewe so anatafuta faraja else where. Jamaa anasoma masters dodoma huko, demu anajua jamaa anacheat na kadent ka degree. So ugomvi kila siku.
Sikua na mpango wa kumla coz roho ilikua inanisuta sana. So kila akitaka tuonane nkawa napiga chenga.
Siku hiyo nachat na jamaa mwenye geto lake nkamsimulia hyo ishu. Akaniambia nitume picha zake kwanza. Nimetuma picha tu jamaa kapiga, kansema kichizi, zile story za ' umeona tako hilo, umeona sura hyo' maneno yakaniingia, wanaume tunajua kujazana ujinga sana.
Nkampigia, tumeongea ongea halafu nkamuuliza una ishu gani kesho, kajibu hana. Nkamuambia tuonane mchana nkitoka field kule. Akauliiza wapi nkamuambia nnapokaa, uje upaone pia. Kajibu poa.
Kesho yake nmempa location, uzuri yeye ni mwenyeji ule mji. Ile nafika mtaani tayari anansubiri kwenye kamgahawa. Nkamchukua yeye na maji makubwa nkazama nae geto.
Njia nzima namuangalia nna mawenge tu, roho inansuta naenda kutindua mke wa mtu, huku maneno ya jamaa yangu bado yapo kichwani, af alivovaa napata midadi tu.
Tumeingia ndani story mbili tatu tu nsharikiwa mtu anataka romance. Nmejilia mema ya nchi bila bugudha mpaka saa 11 jioni ndo kaoga kaenda kwake. Baada ya hapo akawa kama demu wangu kabisa. Na vile mme wake hayupo wana katoto kana kama 5 years hivi kanasoma hizi shule bora kanapelekwa na kurudishwa na schoolbus. So siku za wiki ile asubuhi na mchana kama hana kazi ya catering ni kuja geto kuchezea rungu tu. Muda huo tushakua wakongwe field ni kuseti mazingira tu nachomoka chap.
Vile nlivokua namkaza na kuwa nae, mawasiliano fresh, akawa na furaha. So akaacha kabisa kumsumbua mme wake. Jamaa likashtuka kama kuna kitu hakipo sawa. Likarudi home. Sikua na wasiwasi sana coz mimi nilikuaga simtafuti mpaka anitafute na kuchat huwa naenda na flow yake, kansave jina la kike na kwake sijawahi fika wala hata mitaa siijui so nkawa na amani kuwa nipo safe.
Jamaa likakaa mpaka namaliza field na nikasepa manake ilikua imebaki wiki moja na siku kadhaa nimalize, so sikuwahi kumla tena mpaka sasa. Now tunawasiliana mara moja moja kama marafiki. Mpaka leo hajawahi juaga why nlichukuaga namba yake.
Guys kama una mke make time for her aisee. Hata kama upo busy vipi au umefall vipi kwa mchepuko. Call, text, make her feel special, ajione yupo wanted. Na kama upo karibu mkaze vzuri. Usipo fanya hivi atakazwa tu nje, hata awe wife material kiasi gani. Hawa viumbe nao wana hisia.