FRUIT TREE
JF-Expert Member
- Jun 7, 2018
- 701
- 838
Nahitaji kufika huko mkuu
Ndio kuna shinda mkuu?
Ndio kuna shinda mkuu?
Wewe huyo, sasa wivu wa nini hapo mzee mbona una akili ndogo hivyoWe kuna kitu huelewi na huezi elewa maisha yako yote kama hutàhitaji kueleweshwa, Mitandao ipo wazi sana, search "kejel exercise", afu ninamashaka kama unasimamisha kishababi, ukiwa mwanaume kamili lazima rungu livimbe na kunesanesa, angalia usijepewa watoto si wako mkuu,
Acha wivu wa kifikra
Mrudishie basi simu mkuu, mimi nisingeweza fanya hivyo nafsi ingeniumiza, nasoma post yako najua ulimla labda baada ya kumuonyesha simu yake kumbe umekomaa nayo duh kuna watu mna roho ngumu
Nimefichwa humu binamu, najifunza mbinu za kigaidi za kimasiharaBinamu umspotea sikuoni kbsaa
Nipo huku mkuu, nimekusoma mzee baba, naona unachunga mzigo wako binamu yangu anakuelewa sanaTofauti ni nini binamu, dondosha vitu nikamwambia shangazi unavyotafunwa kimasiharaIla uu uzi jmn sikuujua kbla ningeujua kipindi cha linah... wangeinjoy![]()



Enzi za ujana wa kuishi geto mitaa ya tukuyu mwisho wa mji .wanaopajua watakua wanaelewa nazungumzia nini.
Basi siku moja geto la jirani wadau waliibuka na demu mkali balaa.mimi nmetoka mizunguko yangu ile naingia geto nikaona sendo za kike mlango wa jirani na humo wanakaa wana tu.
Nikaona isiwe kesi nikaingia kama kawaida yetu.kufika kuna manzi anacheki tv.
Akili ya kazi ikaja.nikamwambia yani kumbe ni wewe? Akauliza kwani unanijua? Nikamwambia sikujui ila kuna jambo linaweza kukupata halafu mimi nakuonea huruma.
Akauliza kuna nini? Nikamwambia hawa jamaa wanataka wakupige mtungi/kolabo/future.demu akashtuka.akasema nisaidie.
Basi nikamtoa mule geto fasta sana na kwenda geto la bro alikuwa kasafiri.nikampitisha dirishani maana funguo hazikuepo.
Humo nikajilia vyote vya uvunguni na mezani.huko wana walinitafuta usiku kucha hadi home walifika.asubui walinitukana sana
Wewe ni baharia mwandamizi ki bingwa sana, huyo demu lazima akupe manyota sanaMkuu upo humu pia sio, lete kisanga mzeeMwanamke akiongea neno kutia huwa ananipa mzuka sana
Na ukauzu wote ukapotea, aisehhh na mbunye iheshimiweWanawake sometimes wana mambo!!!?
2015 nipo first year chuo fulani,sikutaka kuishi hostel za chuo na madogo,nkaamua kutafuta chumba mtaani.
Ile nyumba ilikuwa Mpya,kwahiyo wote tuliopanga pale tulikuwa wanafunzi,wakati nafika kwenye hiyo nyumba kulikuwa na vyumba viwili havijapata watu,nikachukua kimoja kikabaki kimoja.
Baadae nikapata jamaa mtu mzima ananizid Mimi kiumri tukaishi wote pale gheto.
Baada kama ya wiki mbili akahamia demu mmoja mzuri muislam aliyechangamka(Kuna siku alkuwa anatupia skin tight na shungi kama kawaida),Mtoto alkuwa kaumbika vizuri mno hipsi za kutosha,tako zuri,sura ipo na rangi pia.
Alihamia akiwa na vitu vichache sana na kigodoro kidogo cha 2.5*6,afu alkuwa mzuri hivyo lakin hakuwa mtu wakutaka vikubwa na alkuwa na marafiki wa kike wale washamba shamba na mshikaji mmoja wa kisukuma wa kupiga nae book,mwanzo nikihis jamaa anatumia Kumbe alkuwa mshika pembe tu.
Baadae baada ya huyo demu kuwa hapo nikaja kusikia kistory kuwa wakati anakuja chuo alikutana na mwanajeshi ndani ya basi,wakapangana huko mpaka mwanajeshi akampangia chumba na kumnunulia vitu vyote vya ndani,sijui baadae walizinguana nini demu akaamua kukimbia geto na kuacha kila kitu ndo akaja hapo tulipokuwa tunaishi kuanza maisha mapya.
Yule demu akaanza mazoea ya kutuomba jiko la gesi kila akitaka kupika,na akaanza kunizoea na kunitega,Mimi huwa nivigumu mtu kunizoea inabidi utumie nguvu za ziada maana sinaga story,ila tayari walikuwa wameshazoeana na mwenzangu sana na ndo Mara nyingi alkuwa anamwazima jiko,hiyo tabia nilikuwa siipendi maana alikuwa anatuongezea gharama sisi za kimaisha,siku moja akajichanganya jamaa yangu hakuwepo,akaja kuniomba Mimi jiko,nikaamua nimweleze kuwa "unachofanya sio poa,huoni kama unatuongezea gharama za kimaisha", akamaindi sana na kulirudisha jiko kwa kulirusha akaondoka,akaninunia nikasema fresh sina muda wa kuchekea kupe Mimi wakati inaninyonya damu,zikapita kama wiki 2 hakuna kusalimiana hakuna kusemezana.
Baadae akajirudi,akanisalimia,siku nyingine akaja gheto akatueleza kuwa tumpe jiko afu apike chakula cha pamoja,tukampatia jiko akapka msosi safi sana,siunajua tena watoto wa pwani jikoni hawakoseagi siyo hawa wa kwetu kanda ya ziwa hata hawajui carrot inawekwaje.tukapga msosi kila mtu akajua ratiba zake,
Katika kushare share vyombo,siku moja nilivyomaliza kuosha vyombo nikaona Kuna kijiko chake,nikaamua nimpelekee nikagonga hodi kama Mara tatu kimya,wakati najua yupo ndani,sinikaamua kufunua pazia,aisee! Nkamuona yupo na kyupi tu na anamalizia kufunga sindiria,nikamwambia Kumbe upo,nkamwambia nimekuletea kijiko akasema kiweke hapo nikakiweka nkarudi room,nikaanza kuwaza ina maana hakunisikia,alafu mbona nilivyofungua pazia hata hakushituka,nikajisemea kuwa inabid nirudi tena maana zile underwear zake na rangi yake vilinichanganya sana.
Nikapga hodi tena,akanikaribisha,nikamkuta kaweka khanga,nkaanza kumsifia pale yupo anatabasamu tu,akaamua kunisogelea na kunisukuma ili nitoke chumbani kwake,nikamkamata kwa nguvu,nkaanza kumpapasa akatulia na kuanza kuhema,nikala mzigo ingawaje sikupga vyema.
Kumbe demu mwenyew alkuwa alishantaman siku nyingi,maana anasema akiwa dar aliwah kuwa na mshikaji alkuwa anamkaza alkuwa mwenyej wa mwanza na jamaa alkuwa anamkaza vizur,kwahyo alitengeneza kitu kichwan kuwa wanaume wa kanda ya ziwa wanakaza haswa,ingawaje hata Mimi sikuiangusha lakezone tulipo-rematch nikiwa nimejiandaa mazoezi kama yote niliua
Mkuu umekua kama muinjilisti sasa, unasoma nyuzi kwa kukamata vifungu![]()
Kwenye visa karibu 70% Kuna huu mstari
"Mtoto alkuwa kaumbika vizuri mno hipsi za kutosha,tako zuri,sura ipo na rangi pia."
![]()
Tupo tumekaa kwa pattern tunasubiria kahawaMumejipangaje nataka kumalizia story
Tafdahli kwenyee hii part 2 nataka wanywa chai tu nyie wanywa uji hamruhusiwi kuoma
Now niko kazini hii itakuwepo leo saa 4:30 usiku ikifika saa tatu na nusu nione report kuwa mpo tyar
![]()
Hahaha......Binamu yako mzuri mno mkuu.![]()
![]()
Nipo huku mkuu, nimekusoma mzee baba, naona unachunga mzigo wako binamu yangu anakuelewa sana

Mkuu umekua kama muinjilisti sasa, unasoma nyuzi kwa kukamata vifungu
Uni tag binamu, picha la kihindi hilo sio la kukosaMumejipangaje nataka kumalizia story![]()
Tafdahli kwenyee hii part 2 nataka wanywa chai tu nyie wanywa uji hamruhusiwi kuoma
Now niko kazini hii itakuwepo leo saa 4:30 usiku ikifika saa tatu na nusu nione report kuwa mpo tyar
![]()
Yako ipo wapi mkuu, angalau hata mimi nina kisanga humuStory moja, udambwi.
Leteni stori basi![]()
Ni hatari sana hyu jamaa
Ikoga hvo mara ya kwanza kwa mtoto wa kiume kwanza aga kutia anakuwa ajui
Pale alikuwa natumia uzoefu wa kuadisiwa maan uo ukizidisha kiwango unaboa kbsaaamapenzi hayataki pupa




Mkuu umeponea chupu chupu.. Ilibak kidogo ungeungwa kwenye grid ya taifaNgoja nishare kisa changu labda kina kijana itamsaidia
Kuna sehemu nilikua nimepanga kipindi hiko
Kutokana na tabia yangu ya kutoshinda nyumbani na kutopenda kujichanganya so nikawa sijazoena kabisa na watu wa mtaani kwahyo huwa wananionaga mkimya na mwenye majivuni
Siku moja weekend asubuhi naenda dukani njiani nikaitwa kugeuka akaja sister flani hv sio mkubwa kivile mzuri kuanzia sura mpaka umbo
Akaniambia samahani kaka nakuonaga sana asubuhi unaenda dukani kununua soda mi natengeneza juice ni tam sana Yani
Hapa nlikua naenda dukani kununua vocha lakini nikaona sio mbaya kumuungisha
Nikamwambia sawa Kuna kitu naenda kununua dukani kwani unakaa wapi nikirudi niipitie?? Akaniambia Yani kila siku unapitaga hunionagi??
Nikamjibu tatizo watu wengine tunatembea na stress kwahyo Yani tunatembea Kama maroboti
Akacheka sana alafu akanionyesha
Tukaagana mi nikaingia shop kurudi nikapitia kwake nikanunua then nikaondoka
Kuanzia hapo tukaanza kuzoeana na nikawa mteja wake mzuri tu
Lakini sikuwahi kufikiria mambo ya kula tunda
Siku nikamwambia anipe no zake niwe nampigia amtume mtoto aniletee maana mda mwingine naonaga uvivu kutoka
Akanipa fresh sometmz tukawa tunachat Mambo ya kawaida tu akianza kuniulza kuhusu Mambo ya mahusiano huwaga simjibu au nakwepesha so akajiogeza kuwa sipendi maswali hayo na hakuwahi kunigusia tena
Siku nikampigia aniletee juice nikashangaa kaja mwenyewe
Nikamuuliza mbona hujamtuma mtoto??
Akaniambia hawapo wote akaona aje mwenyewe
Nikamwambia samahani nimekusumbua mdada mrembo
Akatabasam tu huku ananiangalia
Basi nikamkaribisha ndani akaingia tukakaa kochi moja
Muda huo alinikuta naangalia movie zangu pendwa za kutisha
Nakumbuka nilikua naangalia kuna movie inaitwa A quite place
Sasa kwenye kuangalia akawa anaogopa kuangalia mi nikamwambia sogea karibu ukiona unaogopa nikumbatie
Kama utani kweli kanisogelea akapitisha mkono wake mmoja kiunoni kwangu alafu kaniegemea
Nikashutuka ila nikatulia Kama hamna nilichotokea
Kimoyo moyo nasema
"MUNGU MBONA UMENIPA JARIBU KUBWA HIVI??"
Nikaona huyu asinitanie nikamgeukia piga sana romance
Nikamlaza hapo hapo kwenye kochi chezea sanaa nikamchojoa nguo zote mda huo nikajua kabisa cna condom ndani nikawaza nichape kavu nini? Ila nikaona nisifosi
Nikamwambia ngoja nikannue ndom akaniambia hata ivyo muda umeenda atakuja siku nyingine muda 4g imekomaa
Kila nikimfoc hataki kinisubiri nikaona sio kesi nikamwacha huku roho inaniuma balaa
Nilionyesha nimekasirika nae hakujisumbua kunibembeleza akaondoka
SIKU KADHAA MBELE KUNA WASHKAJI WAKAJA KUNICHANA HUYO SISTER ANA NGOMA KUWA NAE MAKINI AU PIGA NA NDOM
Yani siku ile ilikua ndefu sanaa kwanguu mitungi iheshimiwe
Nikawa najiuliza hata kwa zile romance c naweza kuwa nishaukwaa
Ilikua hata nikikohoa nahc ndo tayar
Nashukuru Mungu nilikuja kupima niko fresh kabisa
WAKUU STAREHE YA SIKU MOJA/LISAA TU INAWEZA KUKUHARIBIA MAISHA YAKO YOTE TUWENI MAKINI
(Uandishi wangu sio mzuri but hope nimeeleweka)