Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,588
- 7,965
Mimi karoti yangu ililiwa kimasikhara na demu wa hapa mtaani kwetu. Alinialika chakula cha usiku nami nikaenda na wine yangu kama zawadi becase naye pia anakunywa mvinyo. Nilishangaa baada ya glass mbili tu nikashikwa na usingizi pale pale kwake. Nikasinzia kidogo kwenye kochi lake, nashangaa nimeamka niko chumbani kwake nikiwa uchi wa mnyama na yeye akiwa uchi pia ananiambia niko tayari tuendelee tena kwani hajapata kufurahi namna ile kwa miaka 5. Nilichanganikiwa kishenzi kudu bila kinga, nikawa napima ngoma kila mwezi kwa miezi 4, nashukuru Mungu niko salama.