Ulishawahi kukumbana na vitimbi vya kichawi? Soma hapa

Miaka ya nyuma tanga chumbageni, nilikuwa napiga kilaji mzee 1 akanizengua nikampa ngumi ya nguvu, that night sikufika hotelini nilikofikia nilipotea mpaka asubuhi ndo nikapaona. The next day nilimchapa kweli na keshoye nikaamkia baharin with bed!
 
Malizia stori nami nitoe visanga nilivyoshuhudia,sasa baada ya kuamkia baharini ulimdunda tena au ulinyoosha mikono..??
 
Niliamka 10 am jua kali na umati wananishangaa, niko naked 100% maji yanapita chni ya bed na kurudi baharini, nikatumia shuka kujistiri then nikarudisha bed ya hoteli, nikaoga na kuvaa then nikaenda buy jogoo nikaenda mwangukia yule mzee then Arusha.
 
Mniambie kama na hii ni mambo ya uchaù. Haikuwa ndoto. Mida ya saa saba usiku tulikuwa wawili nikidrive kurudi home. Mara mwili ukaanza kusisimka. Kando ya barabara nikaona mwanamke mnene mweupe amefunga kanga kiunoni, mikono kaichomeka ndani ya kanga, miguuni kasimama paka. Kilichonishangaza pamoja na kuwa nimepiga full light aliniangalia machoni bila kuonyesha kuumizwa na taa. Aligeuza shingo kwenye angle kubwa bila mwili kutingishika. Sikusimama. Baada ya kumpita na kutomuona kwenye sight mirror, nikamuuliza mwenzangu "umeona?" naye akajibu kuwa alikuwa kimya akiogopa. Ana uhakika yule si binadamu wa kawaida. Kumbe wote tuliona tukawa kimya.
 
mweee.....kwa wale tulioishi uswahilini....lazima kuna moja au mawili ya kusimulia.....hayo mambo ya vishindo juu ya bati....mchanga kutiririka juu ya bati....mapaka ya ajabu ajabu ni mambo ya kawaida sana.....
 
Preta yan mie kila siku nikitaka kulala huwa nasikia vishindo kama vinatoka upande 1 kuelekea mwingine. asubuh nikistuka tu vile vishindo vinakuwa kama vinarudi kutoka ule upande kuelekea mwngne. yan mpaka nimeshazoea. nimeshajiuliza maswal bila majibu!
 
Last edited by a moderator:

na ukijaribu kuangalia muda ni ule ule....haubadiliki......sijawahi kujua hasa ni nini......
 
Last edited by a moderator:
na ukijaribu kuangalia muda ni ule ule....haubadiliki......sijawahi kujua hasa ni nini......

me muda co ule ule, ila ni wakati nataka kulala haijalishi ni saa ngapi, na muda tu ninapostuka toka usingzni hata km ni saa 3. . .
 
Mi kuna mwanamke ameniendea kwa mganga, mganga kamwambia ataona matokeo baada ya siku tatu nitakuwa nimeshakufa!
baada ya siku tatu mnibeep, kama bado nipo simu itakuwa hewani, kama ipo out of reach ndiyo nitaamini shetani/wachawi wana nguvu!
 
mi nilipita mahala usiku sa7 nikakuta nyumba inateketea kwa moto kesho yake tukaikuta haijaungua ipo hadi leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom