TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,185
- 18,201
...Sssshhhhhhhh!!!!!!....kimya kimya,....yule babu yako 'mwanga!' LOL!
Inabidi mfanye fasta kabla babu hajaibuka mzee, utashushwa busha asa hivi
...Sssshhhhhhhh!!!!!!....kimya kimya,....yule babu yako 'mwanga!' LOL!
this is very romantic.... please MJ say yesthis is sooo sweet, please MJ if you say yes i will definitely ask to be a floor manager, the most romantic thread so far
Second selection babu, jealous!!!
this is sooo sweet, please MJ if you say yes i will definitely ask to be a floor manager, the most romantic thread so far
Klorokwini in ze haus!!!...nakweli ulikuwa wapi siku zote!Karibu tena.
...Sssshhhhhhhh!!!!!!....kimya kimya,....yule babu yako 'mwanga!' LOL!
Nasikia harufu ya Conspiracy Klorokwini..........ulilianzisha ukadisapia...................limeendelea umekaa kipembeni, linakamilika ndo watokea?! mwe!!
Ulikuwa wapi siku zote weye?
Hivi nyie, mlikua wapi siku zote hizo hadi leo???Hah TF.....nawe waungana na Klorokwini!!..............tutawaweka kwenye kamati ya maandalizi!!
Sasa niseme yes to what? The romantic proposal or the ring??
Mbu ulikuwa wapi siku zote??
Hah TF.....nawe waungana na Klorokwini!!..............tutawaweka kwenye kamati ya maandalizi!!
Sasa niseme yes to what? The romantic proposal or the ring??
Mbu ulikuwa wapi siku zote??Inabidi mfanye fasta kabla babu hajaibuka mzee, utashushwa busha asa hivi
Lol hata wewe................!!
hii proposal ukikataa tunagoma kuquote post zako. Acha niwasiliane na kanumba ahuzurie hii shuhuli adhimu.Hah TF.....nawe waungana na Klorokwini!!..............tutawaweka kwenye kamati ya maandalizi!!
Sasa niseme yes to what? The romantic proposal or the ring??
Mbu ulikuwa wapi siku zote??
Lol hata wewe................!!blushes huh??.............. hahaaaaa... i can imagine,seriously this is romantic!!:bange:
Na silog out mpaka nishuhudie jibu laivu kama nilivyoshuhudia lunar eclipse majuzi....hapo anakaribia kuumaliza mti kwa kukata vijani na kuvishindilia vidoleni...
Jibu basi bana...kurudia proposal mwiko...LOL!
"Nimejikuta moyo wangu umependa!"
"nikatingishwa kaa kibuyu cha mganga!" (source: bongo fleva)
msiulize zaidi wakuu, maana kwasasa JF nitakuwa naingia kwa dharura tu kama msalani.
senks Moskwito, naomba michango ya halusi nizuwie mimi, fellow tablet aspirin sjawahi kumuamini kwa feza na vigori hata sekunde.
Na silog out mpaka nishuhudie jibu laivu kama nilivyoshuhudia lunar eclipse majuzi.
"Nimejikuta moyo wangu umependa!"
"nikatingishwa kaa kibuyu cha mganga!" (source: bongo fleva)
msiulize zaidi wakuu, maana kwasasa JF nitakuwa naingia kwa dharura tu kama msalani.
senks Moskwito, naomba michango ya halusi nizuwie mimi, fellow tablet aspirin sjawah
i kumuamini kwa feza na vigori hata sekunde.
Na silog out mpaka nishuhudie jibu laivu kama nilivyoshuhudia lunar eclipse majuzi.
mimi ndio lawyer wa Mbu, huyo soulmate unaemuongelea mbona hayuko kwenye file zangu?, sema Yes bana! kuna mdada hapa pembeni yangu anasubiri "Yes" tu alembee vigelegele hewani. hakyababu uswahilini kuna wambeya! khaaa!Hii post naisoma katikati ya herufi!!..........Klorokwini in Love?? au?
Hahhaha umenifurahisha ulivyojipigia pande....haya nisikunyime uhondo.... sasa hivi lol
(Ila nihakikishiwe tu kuwa huyu bwana kapata kibali toka kwa 'Souldmate' wake ..................lol
...hapo anakaribia kuumaliza mti kwa kukata vijani na kuvishindilia vidoleni...
Jibu basi bana...kurudia proposal mwiko...LOL!
Na silog out mpaka nishuhudie jibu laivu kama nilivyoshuhudia lunar eclipse majuzi.
aaah swahiba... hebu cheki video hiyo mtoto anavyong'aa... cant wait to hear this from MJ
YouTube - ‪Shania Twain - From This Moment On‬‏
mimi ndio lawyer wa Mbu, huyo soulmate unaemuongelea mbona hayuko kwenye file zangu?, sema Yes bana! kuna mdada hapa pembeni yangu anasubiri "Yes" tu alembee vigelegele hewani. hakyababu uswahilini kuna wambeya! khaaa!
aaah swahiba... hebu cheki video hiyo mtoto anavyong'aa... cant wait to hear this from MJ
YouTube - ‪Shania Twain - From This Moment On‬‏
Mbona napata hisia kuwa haki yangu inabakwa hapa??........sijui nimwamshe Babu?! lol.
Afu Klorokwini its not fair ujue.....................
Mbu nikikataa proposal itamaanisha sikupendi?? lol leo ninalo